Niko poa mkuuSiku mingi, Hujambo weye
Umepotea au umepotezwa?Niko poa mkuu
AiseeSahihi kabisa, ametushika masabauri na hakuna tunachoweza kumfanya, huenda kwa hali hii hata watanganyika hawapo kwenye ile meza ya kuamua nini kifanywe nini kiachwe, we are doomed!
Ikitokea wote tukafika 2030, ahakikishe anayeingia baada yake anamlimda na kulinda legacy(we all know her legacy) yake. Otherwise utakuwa wakati wa kulipiza visasi.
We kilaza upo bize na udiniii! Hata huyo Nchimbi mlikuwa mnamjaza upepo utadhani ile nafasi ya VICE PRESIDENT kajiteua mwenyewe na hakuna wa kumtoa! Yaani mlishampachika Nchimbi urais kabisa nakumuona boss wake ni puppet! kisa mkristo mwenzenu! Hatma yake nayeye Nchimbi alijua nyie wakristo wenzie ambao ni mazuzu labda mna jeuri ya kumlinda au alidhani kweli hamna wa kuweza kumpoka mamlaka! Leo Kiko wapi??wengi hawatambui labda hii vita imekuwa ikipiganwa kwa zaidi ya miaka 100 sasa, muslims wamekuwa vitani against "mfumo Kristo" na wengi bila ya kujua walishirikiana na muslims kuwafanikishia ushindi, sasa wote tunaumizwa walioshirikiana nao na waliowapinga hakuna tofauti.
kama mnafikri kuondoka kwa Nyerere, Mkapa na Magufuli (hao wawili wa mwisho waliongozana kuondoka) imetokea tu, think again, lkn bado i see the light at the end of the tunnel wataanguka tu lkn swali ni kwamba and its rhetorical Mungu akiturudishia nchi yetu mtakuwa mmemtambua adui shetani na kumuweka sehemu yake kama adui forever au bado atawalaghai na kuwarudisha hapa hapa tulipo tena ...
Kwaiyo ulitaka mumeo ndio awe vice president? au angepewa Kitima?“Teuzi” ya Deo ni marudio ya makosa yale yale yaliyofanyika wakati wanampendekeza Mama kuwa VP
Yaani Deo ndio awe Amiri Jeshi mkuu kama likitokea la kutokea?
Hii dhana ya kuteua watu ambao ni “dhaifu” na ambao hawawezi kuchallenge udwanzi ni tatizo. Katiba ya sasa imemfanya aliyeshika kiti kuwa Dictator na mwamuzi wa mwisho wa kila jambo
Bado hadi maji muite mma!!Hapa ndio unaelewa kikwe, rosta na CCM mtandao ndio wameshika hatamu.
🙁🙁“A cornered animal is the most dangerous.”
Tangu Oktoba 29, 2025, Bi Kobe amekuwa akiishi katika hali ya mashaka na hofu kubwa. Chuki inayoongezeka miongoni mwa wananchi dhidi ya serikali yake, uwezekano wa mashitaka ya kimataifa, vikwazo na mashinikizo kutoka kila kona ya dunia—vyote vinaonekana kutomlegeza, bali kumfanya awe sugu na hatari zaidi.
Kwa sasa, Bi Kobe anaonekana kufika point of no return. Ameingia katika hali ya kuona kwamba ni ama maslahi yake yalindwe kwa gharama yoyote, au Watanganyika ndio walipe gharama. Kwa mwenendo wa mambo, ni vigumu kukataa kwamba ametushika pabaya.
Kuanzia vigogo na wapambe wa CCM hadi sisi makonki wapenda haki, sote tunajikuta tukicheza mdundo wake. Hakuna anayeonekana kuwa tayari au mwenye uwezo wa kumgusa. Amegeuka oil chafu: ukimgusa, unachafuka; ukimwacha, anaendelea kusambaa.
Kikosi chake maalumu cha makachinja “wasio na visogo”—(Dula Army) kinaonekana kuvishikilia mateka vyombo vyote vya dola. Hawacheki na kima wala kunguni; hawaogopi mkubwa wala mdogo. Kwa sasa, tunachoonekana kubaki nacho ni maneno, matumaini na ramli chonganishi.
Tunaweza kuongea, kujipa moyo na kutengeneza matumaini tunayoyataka, lakini ukweli mchungu unabaki pale pale: Bi Kobe ametushika pabaya.
Hata yule mstaafu wa Msoga, ambaye baadhi ya watu bado wanaamini ana ushawishi mkubwa juu yake, kwa sasa haonekani kuwa lolote wala chochote mbele ya Bi Kobe. Akijaribu kuleta ujuaji, hawa “wasio na visogo” wanaweza kuruka nae wakati wowote.
Historia inaonyesha kwamba hakuna utawala wa hofu unaodumu milele. Lakini katika kipindi hiki, huenda ikahitajika zaidi ya maneno kutuokoa kutoka katika mkono wa chuma wa jamii ya wasio na visogo.
Mmejaribu kuimeza Zanzibar sasa imewakwama kooni.“A cornered animal is the most dangerous.”
Tunaweza kuongea, kujipa moyo na kutengeneza matumaini tunayoyataka, lakini ukweli mchungu unabaki pale pale: Bi Kobe ametushika pabaya.
Hata yule mstaafu wa Msoga, ambaye baadhi ya watu bado wanaamini ana ushawishi mkubwa juu yake, kwa sasa haonekani kuwa lolote wala chochote mbele ya Bi Kobe. Akijaribu kuleta ujuaji, hawa “wasio na visogo” wanaweza kuruka nae wakati wowote.
We kilaza upo bize na udiniii! Hata huyo Nchimbi mlikuwa mnamjaza upepo utadhani ile nafasi ya VICE PRESIDENT kajiteua mwenyewe na hakuna wa kumtoa! Yaani mlishampachika Nchimbi urais kabisa nakumuona boss wake ni puppet! kisa mkristo mwenzenu! Hatma yake nayeye Nchimbi alijua nyie wakristo wenzie ambao ni mazuzu labda mna jeuri ya kumlinda au alidhani kweli hamna wa kuweza kumpoka mamlaka! Leo Kiko wapi??
Huyo mama nae ni mafia sio boya! Na kikawaida hakunaga mzenji boya au bwege! Mimi sio mzenji ila nawajua sio mabwege ! Sasa Nchimbi atabakia kuwa Rais wa miogo yenu tu .......na kwa ufupi nyie matahila ndio mmemuharibia mwenzenu.
Yuko serious hatanii“A cornered animal is the most dangerous.”
Tangu Oktoba 29, 2025, Bi Kobe amekuwa akiishi katika hali ya mashaka na hofu kubwa. Chuki inayoongezeka miongoni mwa wananchi dhidi ya serikali yake, uwezekano wa mashitaka ya kimataifa, vikwazo na mashinikizo kutoka kila kona ya dunia—vyote vinaonekana kutomlegeza, bali kumfanya awe sugu na hatari zaidi.
Kwa sasa, Bi Kobe anaonekana kufika point of no return. Ameingia katika hali ya kuona kwamba ni ama maslahi yake yalindwe kwa gharama yoyote, au Watanganyika ndio walipe gharama. Kwa mwenendo wa mambo, ni vigumu kukataa kwamba ametushika pabaya.
Kuanzia vigogo na wapambe wa CCM hadi sisi makonki wapenda haki, sote tunajikuta tukicheza mdundo wake. Hakuna anayeonekana kuwa tayari au mwenye uwezo wa kumgusa. Amegeuka oil chafu: ukimgusa, unachafuka; ukimwacha, anaendelea kusambaa.
Kikosi chake maalumu cha makachinja “wasio na visogo”—(Dula Army) kinaonekana kuvishikilia mateka vyombo vyote vya dola. Hawacheki na kima wala kunguni; hawaogopi mkubwa wala mdogo. Kwa sasa, tunachoonekana kubaki nacho ni maneno, matumaini na ramli chonganishi.
Tunaweza kuongea, kujipa moyo na kutengeneza matumaini tunayoyataka, lakini ukweli mchungu unabaki pale pale: Bi Kobe ametushika pabaya.
Hata yule mstaafu wa Msoga, ambaye baadhi ya watu bado wanaamini ana ushawishi mkubwa juu yake, kwa sasa haonekani kuwa lolote wala chochote mbele ya Bi Kobe. Akijaribu kuleta ujuaji, hawa “wasio na visogo” wanaweza kuruka nae wakati wowote.
Historia inaonyesha kwamba hakuna utawala wa hofu unaodumu milele. Lakini katika kipindi hiki, huenda ikahitajika zaidi ya maneno kutuokoa kutoka katika mkono wa chuma wa jamii ya wasio na visogo.
Nimepotea mkuu☹️Umepotea au umepotezwa?