Tunamchukulia poa lakini ukweli ametushika pabaya, tena pabaya sana

wengi hawatambui labda hii vita imekuwa ikipiganwa kwa zaidi ya miaka 100 sasa, muslims wamekuwa vitani against "mfumo Kristo" na wengi bila ya kujua walishirikiana na muslims kuwafanikishia ushindi, sasa wote tunaumizwa walioshirikiana nao na waliowapinga hakuna tofauti.

kama mnafikri kuondoka kwa Nyerere, Mkapa na Magufuli (hao wawili wa mwisho waliongozana kuondoka) imetokea tu, think again, lkn bado i see the light at the end of the tunnel wataanguka tu lkn swali ni kwamba and its rhetorical Mungu akiturudishia nchi yetu mtakuwa mmemtambua adui shetani na kumuweka sehemu yake kama adui forever au bado atawalaghai na kuwarudisha hapa hapa tulipo tena ...
 
Kwa nini udhani kuna nchi ya ahadi? Kwanini tuishi kwa matumaini?

Hope is another hindrance kwa wamatumbi wengi. Kama umeeshajua mpasuko ulipo kwanini ukae kusubiri miracle?
 
na hapo ndipo unapopotea, hautashinda hii vita kama hata adui haujamjua bado, kwani adui anakujua.

Waefeso 6:12 ...
Waefeso 6
12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
 
Ila mnyonge mnyongeni.....bi Kidude amefanya homework yake vyema!
Kwanza kimya kimya alikusanya ushauri kwa Waarabu (Hawa ni katika majahili wa kutisha duniani). Kisha akaenda Uganda, na akamalizia kwa PaKa. PaKa bado ana bifu na Msoga!

Ndipo akaweza ku 'block' matundu yote ya kutokea Msoga, baada ya kuzisoma mbinu zake zilizofanikiwa sana Chato. Ndiyo maana Msoga sasa hana chake- jeshini, Usalama wa Taifa- kote kumeshikwa na 'Choggoless'.
Si umeona Msoga amesusia kupokea tuzo kule maporomoko ya maji kutokana na 'frustrations'? Wakati mwingine bi Kidude alitembeza 'fezwa' tu akawageuza wale wale wa Msoga, wakamtumikia yeye! (mbona Bongo hata maiti hununuliwa, ukitaka)?
Hakuna wa kutunusuru. Hili linabingiria bila pancha hadi 2030!
Hii Jamii ya Kimataifa ni walaji rushwa tu kama wengine, usitarajie chochote. Trump kaishachapwa $ 4, 000,000 cash, imethibitishwa.
Maandamano? Atapiga 'masasi' tena na hakuna nywinywi wala nywanywanywa! Si unaona Israeli bwana? Basi ndio mtandao huo huo wa Epstein na bi Kidude aidha ameuingia au yuko njiani kuu..
Msoga akifurukuta tu, atakiona kilichomfanya mbuzi akojoe wima!
Matumaini pekee ni atokee chizi mmoja aliye 'frustrated'!
Hii sasa ni ' Choggoless century'
 
Nahuu ndio ukweli , japo ni mchungu
 

Hakika inasikitisha sana😔😔,
But nadhani kunakaribia kupambazuka💪💪
 
Hizi ni hisia tu...🤗
 
Niliwahi kuhisi kuwa bi mdashi akisha secure 2025 ata dumb Ndugu yetu ukwereni atakuwa under her watch now very closely, wanasema Muosha nae huoshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…