Tunamchukulia poa lakini ukweli ametushika pabaya, tena pabaya sana

Aisee
 
“Teuzi” ya Deo ni marudio ya makosa yale yale yaliyofanyika wakati wanampendekeza Mama kuwa VP

Yaani Deo ndio awe Amiri Jeshi mkuu kama likitokea la kutokea?

Hii dhana ya kuteua watu ambao ni “dhaifu” na ambao hawawezi kuchallenge udwanzi ni tatizo. Katiba ya sasa imemfanya aliyeshika kiti kuwa Dictator na mwamuzi wa mwisho wa kila jambo
 
We kilaza upo bize na udiniii! Hata huyo Nchimbi mlikuwa mnamjaza upepo utadhani ile nafasi ya VICE PRESIDENT kajiteua mwenyewe na hakuna wa kumtoa! Yaani mlishampachika Nchimbi urais kabisa nakumuona boss wake ni puppet! kisa mkristo mwenzenu! Hatma yake nayeye Nchimbi alijua nyie wakristo wenzie ambao ni mazuzu labda mna jeuri ya kumlinda au alidhani kweli hamna wa kuweza kumpoka mamlaka! Leo Kiko wapi??

Huyo mama nae ni mafia sio boya! Na kikawaida hakunaga mzenji boya au bwege! Mimi sio mzenji ila nawajua sio mabwege ! Sasa Nchimbi atabakia kuwa Rais wa miogo yenu tu .......na kwa ufupi nyie matahila ndio mmemuharibia mwenzenu.
 
Kwaiyo ulitaka mumeo ndio awe vice president? au angepewa Kitima?
 
🙁🙁
 
Mmejaribu kuimeza Zanzibar sasa imewakwama kooni.
 

siyo kweli, zanzibar has one of the lowest iqs in the world, baada ya somalia (somalia wana iq ya 68 vs rest of the world >80), wanaweza kutawala kwa sababu ni psycopaths, wengi hawajui tofauiti kati ya psychopathy vs high intelligence, psycos hawako intelligent ingawaje wanajiona kama ni smart klk wengine wote kinachowafanya psychopaths waonekane kama wanashinda (rejea usemi wako siyo mabwege) ni kwamba hawana (psyco) mipaka pale ambapo binadamu wa kawaida hawezi kuvuka kwa sababu binadamu wa kawaida anakuwa na ubinadamu na huruma wao psychos hawana huo uwezo na ndio maana psycos hana rafiki wa kudumu bali ana maslahi tu i.e watu ni kama vitu kwa psycos na anawatumia tu lkn mwisho wa siku psycopaths wote hujikaanga kwa mafuta yao wenyewe, hivyo hata hawa wako pia things will come to a full circle soon.

btw utakuja kushangaa hata huyu deo mnayempigia matarumbeta leo hii (wako wapi akina nape, makamba, zito & co.?) pia wakatibuana na kumalizana usisahau walimuondoa P.Mpango(PhD) kwa kejeli nyingi pia walikuwa wanamsema na kumzushia mengi kila siku mara siyo raia sijui burundi ila kwa kuwa Mpango is Christian na humble man hakupenda makuu akaamua kwenda na wakamuweka E.Nchimbi kwa mbwembwe kama zote kama tu huyu deo leo hii tena Nchimbi alisema kwamba yeye siyo kama wengine (akimaansiha Mpango) na hatakuwa mshindani wake its on records alisema hayo maneno wakati wa kampeni alipotambulishwa haijawahi kutokea ktk historia ya republic yetu mgombea mwenza wa ccm kutamka maneno kama hayo wakati wa kampeni kumsema aliyemrithi siwezi ku-imagine hayo maneno na masimango yalimuumiza vipi Mpango, haya fast forward sasa tumerudi kule kule maneno aliyoyatamka kumsema na kumkejeli P.Mpango(PhD) yameishia wapi?

bottomline: psycopaths hana rafiki na anaona watu kama vitu i.e una umuhimu tu akikuhitaji na pale tu hitaji lake kwako likiisha ni lazima akubomoe kwa maana anakuaona ni tishio, subiri utakuja kuona sitaki kuwa mtabiri kwenye hili lkn najua psychos hana rafiki na hata huyu deo watatimuana pia na kumalizana.

pale walipomuhitaji Tundu Lisu wali-fake huruma, leo hii wamemfunga pamoja na matatizo yake yote ya kiafya yaliosababishwa na kushambuliwa kwa risasi nyingi ...
 
Yuko serious hatanii
 
Kende zetu WADANDANYIKA zimeshikwa ki sawa sawa huku macho yakitutoka kama dungu!
Kazikamata kende za WADANDANYIKA mpaka twashindwa kupumuwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…