Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #321
Kama ni kuwa aliuliwa vile vile kuna possibility ya kuwa aliuliwa na watu wa nje ya nchi si lazima wawe wa ndani wenye chuki naye tu.
bado ni kazi kweli kujenga hoja ya kuuliwa..
a. Unahitaji coordination ya hali ya juu sana kumuua Waziri Mkuu wa Nchi
b. Unahitaji utii wa hali ya juu sana kuweza kuficha ushahidi wote (siyo sehemu tu ya ushahidi huo)
c. Unahitaji utaalamu wa juu kabisa kuweza kufanya watu waamini ajali.
Kama aliuawa masalia yake bado yanabeba ushahidi huo; je tuko tayari afukuliwe na kuangaliwa kuona kama kuna alama za risasi? Zisipoonekana nadharia mpya itakuja kuwa aliuawa kwa sumu akiwa amelala, na wakichunguza na kukuta sumu, watasema alirogwa.. which means case closed.
a.Kama ina hitajika coordination ya hali ya juu iweje waziri mkuu afe kwa kugongwa na gari kihivyo? Kwa sababu hapo you made it seem ni kitu kigumu sana wakati mazingira ya ajali yenyewe inaonyesha kuwa hao wenyewe waliokua wana paswa kumlinda na kuongoza msafari hawakua na coordination ndiyo maana akafa kizembe.
b.Who is to say who ever was involved haku command utii wa hali ya juu?
c.Obviously haihitaji utalaamu sana kushawishi watu ni ajali kwa sababu kama unavyo ona sasa bado kuna watu wanaamini ni ajali.
tuchukulie mfano wa Kennedy, the last assasinated president of the U.S. Wote tunajua U.S. ina intelligence ya hali ya juu hata kwa miaka hiyo Kennedy aliyo uliwa. Marekani the movement of the president is very well monitored na haendi sehemu pasipo his security detail kuhakikisha ni salama kwake. Pamoja na ulinzi wote, coordination yote na attention to details zote za wamarekani bado the president was killed by a bullet from a rooftop. Ninacho jaribu kuonyesha ni kwamba hata nchi za wenzetu ambao wameendelea kuliko sisi in terms ya security kwa viongozi bado wanauliwa. Kama Kennedy, raisi wa Marekani aliweza kuuliwa in those circumstances whose to say it would have been that hard kwa waziri mkuu wa nchi kama Tanzania.
Don't get me wrong, sisemi ni kweli kauliwa ila nasema tu sababu ulizo zitaja hapo juu isingekua kikwazo kama wangeamua kumuua.
sasa Wamarekani walitangaza kuwa Kennedy hajafa au hakuuliwa?
He was a Prime Minister of the United Republic of Tanzania, URT. He was knocked by a car (involved in a car accident): Yes: Who where there?
1. Mr. Mustafa Nyang'anyi - Leader wa msfara
2. Mr. Chuma - The driver who had a passenger in his passenger sit; Mr. Edward Sokoine. Had suffered a broken leg, where he is? He never testified!!!
3. Acadogo Chiledi - was sitting beside Mr. Sokoine during the accident!
4. The circumstance that Mr. Dube crashed the PM car, was not valid, another car was crashed; and even pictures are showing that the car which Mr. Sokoine was in was knocked from the back. His own Usalama wa Taifa knocked him from behind. But Mr. Dube was coming in an opposite direction, and then this car didn't show that it was knocked on the side (ubavuni).
5. A Prime Minister with such a popurality dies; at least there should be an investigation carried. A Task Force, Tume, or anything to investigate on the cirumstances of the death.
Let us be serious!!
Ofcoarse it was obvious aliuliwa mkuu na wakakubali. What I was trying to point out ni kwamba kama ulinzi wote alio nao raisi wa Marekani akaweza kuuliwa basi hata Tanzania kiongozi kuuliwa it is not impossible. Kumbuka nimesema kuwa sija kubali bado kuwa Sokoine aliuliwa kutokana na ushahidi watu waliotoa hapa ila nilicho jaribu kusema ni kiongozi kuuliwa Tanzania napo ni possible na hizo sababu ulizo taja wewe zisinge zuia kitu kama kunge kuepo na nia ya kumuondoa. Ndiyo maana nikatoa mfano wa Kennedy.
unachosema ndicho kinachofanya nadharia ya kuuliwa sokoine kuwa ngumu kuikubali. Wanahitajika mashahidi wengi kweli kuficha ushahidi wa kifo, maana kama kifo kilikuwa that obvious hao mashahidi wako wapi?
Sisemi ni vigumu kumuua kiongozi lakini kuweza kufanikisha ukimya baada ya tukio la namna hiyo inahitaji uwezo mkubwa mno. Bado burden of proof ni kubwa mno kwa wale wanaoamini aliuawa.
Kukata mzizi wa fitina itabidi mwili wa marehemu ufukuliwe ufanyiwe uchungzi tena.
wakiufukua itabidi wachunguze nini hasa na wasipokikuta itakuwa ni uthibitisho kuwa hakuuawa?
Kuna mdau uko juu kadai kuwa Prof Shaba aliropoka kuwa mwili wa Sokoine ulikuwa na tundu la risasi, hapo ndio pakuanzia.
Hakuna chakujadili. The autopsy was conducted by Prof Shaba and after many years kuna siku alilewa chakari akaanza kuropoka akasema jamaa alikuwa na bullet holes. Sokoine was killed by the Stalin/Mao/Lennin side of our soon to be saint... U know WHO.. Simple as.. The Saint has ultimate power within the country at the time and no one could have acted without his knowledge or approaval. Thats what it is.
huyo mdau alisema hivi (msisitizo wangu):
sasa kweli tuanzie hapo? Nilidhani tuanzie kwenye ripoti yake ya autopsy aliyoitoa akiwa sober, ama?
Kuna mtu aliniambia kuwa "walevi wanasema vitu wakiwa wamelewa ambavyo hawawezi kusema wakiwa sober"
Kuna mtu aliniambia kuwa "walevi wanasema vitu wakiwa wamelewa ambavyo hawawezi kusema wakiwa sober"
kama anaweza kupasua maiti akiwa mtungi na watu wanamuamini kupasua vizuri, itakuwaje usimuamini akisema hayo maneno.......na ushahidi wa mlevi haujatimia, lakini Profesa yeye kila wakati yupo mtungi mtu...sijui inakuwaje hii!