Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
- #321
Kama ni kuwa aliuliwa vile vile kuna possibility ya kuwa aliuliwa na watu wa nje ya nchi si lazima wawe wa ndani wenye chuki naye tu.
bado ni kazi kweli kujenga hoja ya kuuliwa..
a. Unahitaji coordination ya hali ya juu sana kumuua Waziri Mkuu wa Nchi
b. Unahitaji utii wa hali ya juu sana kuweza kuficha ushahidi wote (siyo sehemu tu ya ushahidi huo)
c. Unahitaji utaalamu wa juu kabisa kuweza kufanya watu waamini ajali.
Kama aliuawa masalia yake bado yanabeba ushahidi huo; je tuko tayari afukuliwe na kuangaliwa kuona kama kuna alama za risasi? Zisipoonekana nadharia mpya itakuja kuwa aliuawa kwa sumu akiwa amelala, na wakichunguza na kukuta sumu, watasema alirogwa.. which means case closed.