1.Mkuu, jaribu kuwa na heshima kwa majina ya watu kama tulivyofundishwa darasa la pili!Nimejifunza mambo mengi juu mzee jumbe ningependa kujua tena kuhusu sokoine.mara uliuliwa lakin inasemekana ni mwanamapinduzi wa ukweli kwa nin aliuliwa? Alikuwa anapinga ufisadi wa enzi hizo
subiri kampeni na uchaguzi mkuu uishe kwanza then tutalijadili hili
kumbe mkuu edson umejua eeh?
I dont put a damn trust on the augustees!...wengine kazi yao ni diversion ya mada-moto!
Samahan kama nitakuwa nimewakwanza hili ni jukwaa la uchaguz 2010 au jukwaa la siasa? Hivi hatutakiwi kujia mambo ya wazee wetu.Nilithan mwanamapinduz wa kwel ni lazima ujue utokako.samahan kwa kutoanza na herufi kubwa katika majina ya watu so sorry
Unaishi nchi gani ndugu yangu ?Ivi sokoine hakuacha watoto?
Unaishi nchi gani ndugu yangu ?
This could be true!!Do you remember this:
First day at the court Dumisani Dube was required to plea guilty or not guilty if he was involved in reckless driving and other five counts on reckless driving and causing the death of Edward Moringe Sokoine. Dube pleaded no guilty and begged to tell the truth. The case was adjounered for 5 days.
After 5 days Dube without even being questioned pleaded guilty on all counts. He was on the same day sentenced to 5 years in Prison.
The truth is Mr. Dube never even stayed in a prison in Tanzania. He was sent to UK, where he stayed part of his life.
He is now back in South Africa!
From the above I believe he [Sokoine] was killed!!!