PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
1.Mkuu, jaribu kuwa na heshima kwa majina ya watu kama tulivyofundishwa darasa la pili!Nimejifunza mambo mengi juu mzee jumbe ningependa kujua tena kuhusu sokoine.mara uliuliwa lakin inasemekana ni mwanamapinduzi wa ukweli kwa nin aliuliwa? Alikuwa anapinga ufisadi wa enzi hizo
2.Hivi maana ya neno KUULIWA ninini?...nilikuwa nalisikia zamani uswahilini tukiwa kwenye vibanda vya mabanzi vya sinema, wakati huo video za kuhesabika.