Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

Nimejifunza mambo mengi juu mzee jumbe ningependa kujua tena kuhusu sokoine.mara uliuliwa lakin inasemekana ni mwanamapinduzi wa ukweli kwa nin aliuliwa? Alikuwa anapinga ufisadi wa enzi hizo
1.Mkuu, jaribu kuwa na heshima kwa majina ya watu kama tulivyofundishwa darasa la pili!
2.Hivi maana ya neno KUULIWA ninini?...nilikuwa nalisikia zamani uswahilini tukiwa kwenye vibanda vya mabanzi vya sinema, wakati huo video za kuhesabika.
 
Hivi ni kwel sokoine aliuwawa kisa ni nin wana jf tunapata mafunzo sana juu ya waasisi na wazalendo wa nchi yetu.Haya yanatupa uwezo wa kujua nchi yetu tusaidien jaman
 
subiri kampeni na uchaguzi mkuu uishe kwanza then tutalijadili hili
 
subiri kampeni na uchaguzi mkuu uishe kwanza then tutalijadili hili

Kumbe mkuu Edson umejua eeh?

I dont put a damn trust on the Augustees!...wengine kazi yao ni diversion ya mada-moto!
 
kumbe mkuu edson umejua eeh?

I dont put a damn trust on the augustees!...wengine kazi yao ni diversion ya mada-moto!

ahaaa kumbe wanatuondoa kwenye reli kwa malengo maalum, 2010 hatudanganyikiiiii
 
Kwani waliofanya ndiyo waliopo?

Ndiyo hawa hawa ambao bado wanatusumbua mpaka leo hii!kwa kweli bado tunasafari ndefu!
 
Samahan kama nitakuwa nimewakwanza hili ni jukwaa la uchaguz 2010 au jukwaa la siasa? Hivi hatutakiwi kujia mambo ya wazee wetu.Nilithan mwanamapinduz wa kwel ni lazima ujue utokako.samahan kwa kutoanza na herufi kubwa katika majina ya watu so sorry
 
Samahan kama nitakuwa nimewakwanza hili ni jukwaa la uchaguz 2010 au jukwaa la siasa? Hivi hatutakiwi kujia mambo ya wazee wetu.Nilithan mwanamapinduz wa kwel ni lazima ujue utokako.samahan kwa kutoanza na herufi kubwa katika majina ya watu so sorry

Kazi ipo.

Tafadhali jitahidi kurudia kuyasoma maandishi yako kabla ya kuyaposti.
 
tafuta gazeti la africa now, la may au april 1984, walindika hivi the mysterious death of sokoine, kuhusu kawawa na mdogo wake aitwaye jamsheed kawawa ambaye alikamatwa na sokoine kwenye vita ya uhujumu uchumi
 
Habari za Sokoine maisha yake anayajua vizuri Former Prime Minister Edward Lowasa alikuwa mtu wa karibu sana.

Sokoine kutoka uwaziri mkuu hadi uwanafunzi huko Yugoslavia na kurudia uwaziri mkuu.
 
hakuna linalo jificha mbele za mungu.:A S 13:
 
Mungu atawahukumu wote walioshiriki kumuua Sokoine!mpaka sasa naamini sehemu kuwa ya watu walioshiriki kumuua sokoine,walishatangulia mbele ya haki wakisubiri hukumu ya mungu!
 
Tangu nisome thread JF hii sredi inanitia machungu ...jinsi watu wanavyochambua hili sakata lilivyotokea labda iko siku uweli utajitenga
RIP Sokeoine wetu
 
93sokoine1a.jpg

Mama Napono Sokoine’s two decades of loneliness and modesty.

It is almost twenty years now, since the death of the former Tanzanian prime Minister, the late Edward Moringe Sokoine who was also the Parliamentary representative (MP), for Monduli constituency.

Last week, The Arusha Times had the opportunity to visit the late premier’s residency at Monduli Juu village and had a chat with his first wife, Mama Napono Sokoine.

By Staff Writer - 2003

QUESTION: What have you been doing all these years?
93sokoine1a.jpg
ANSWER: Involving myself in agricultural activities, but mainly farming. I grow maize, beans, sunflower and a variety of other local farm produce. I also keep a few livestock.

Q: But in Maasai culture, "few livestock" may actually mean, large herds of cattle?
A: I just own a few cattle and they are all at our Makuyuni farm. Here is mostly farming. I also run that maize mill you saw on your way here.

Q: How old are you now?
A: I don’t know. In our times knowing our ages wasn’t very important, but as far as I am concerned, the late Sokoine was about two years older than me!
(The inscription at the former premier’s grave indicates that Sokoine, who died on the 12th of April 1984. He was born on the 1st of August 1938. So, if he had lived to-date, Edward Moringe Sokoine would have been 65.)

Q: How many children and grand children do you have now?
A: Six children and five grand children. However, one of my children died many years ago. The remaining ones are five males and the one and only female child who happens to be the last born.

Q: And who are they?
A: There is Lazaro, married with one child. Joseph, the second born is married but no child yet, Edward, Ibrahim who is also married and has two children, Kereto, married with one child and the last born Namelo also known as Toto, the young lady you see on the picture there, who also has one child.

Q: What about your co-wife?
A: That is Nekiteto, she lives at Makuyuni. She five children, four of whom are all female and the last born is the only male .... The other way round.
Nekiteto’s children are; Seki, Toel, Chichi, Tini and Babuu. All the four ladies are married with a child each except Chichi who has two children. Babuu is also married but has not had a child yet.

Q: Sokoine was such a great figure, you must be getting plenty of visitors here.
A: I still get visitors, but then I am very much used at handling people, including the press.

Q: This house looks new, was it recently constructed?
A: No! Only refurbished and well kept. This house was built by Sokoine himself when he was still a young person. In fact, even before he joined politics.
The house is of the same age as our eldest son Lazaro. It is the only house that Sokoine had. The other one that he built, was for his mother.

Q: Are you facing any problems here?
A: Not much, only ordinary ones. Right now it’s transport, the former Tanzanian President, Ali Hassan Mwinyi had given me a Toyota Land Cruiser vehicle, however after much use the car is tied now, it keeps breaking down. However, President Benjamin Mkapa has just promised me another one.

Q: Didn’t Sokoine leave you a car?
A: No! He had no car of his own, never bought any. In fact, Sokoine didn’t have much property of his own, he dedicated all his life serving the country.

Q: What about communication, you don’t seem to have a telephone here.
A; There used to be one but got broken down. My children never seem to be bothered about that, because each of them has a mobile phone nowadays.

Q: What about security?
A There is a Police post just adjacent to the house. It was purposely built to provide security for the late prime minister’s residence.
However, it was stationed such that, the Police officers could easily take care of the entire village as well. But there aren’t much security problems here you know.
 
Do you remember this:
First day at the court Dumisani Dube was required to plea guilty or not guilty if he was involved in reckless driving and other five counts on reckless driving and causing the death of Edward Moringe Sokoine. Dube pleaded no guilty and begged to tell the truth. The case was adjounered for 5 days.

After 5 days Dube without even being questioned pleaded guilty on all counts. He was on the same day sentenced to 5 years in Prison.

The truth is Mr. Dube never even stayed in a prison in Tanzania. He was sent to UK, where he stayed part of his life.

He is now back in South Africa!

From the above I believe he [Sokoine] was killed!!!
This could be true!!
 
Let's wait for the truth, meanwhile working on current problem.

All I can say this is a puzzle to believer of "monkeyed" death and skeptics as well.

When the missing piece is discovered, everything will be crystal clear :A S thumbs_up:
 
Back
Top Bottom