Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani embu mtujuze ukweli kuhusu kifo cha edward moringe sokoine wengine ndiyo tulikuwa wadogo wengine hata kuzaliwa ilikuwa bado wenye kufahamu watujuze
Hvi kuna mtu mwenye repot ya uchunguzi wa kifo cha moringe, kama yupo aimwage plz.
Nendeni mkamuulize Profesa Shaba anajua ukweli . Yeye ndo aliufanyia uchunguzi mwili wa sokoine .
,Edo,alitaka cheo cha katibu mkuu wa CCM kipigiwe kura na siyo mtu kupewa bila ya idhaa ya wananchi! unajua wakati ule katibu mkuu wa ccm alikuwa mara mbili ya waziri mkuu kwa cheo. mshikaji wake Yona mwakasendo naye alipigwa sindano ya sumu ! nakuambia heri kufa kwa ukomunisti maana nchi hii ilikuwa inatisha kwa watu kupotea kisirisiri. wewe ona kifo cha kanali Andrew Shija mpaka leo hakieleweki! KIfo cha koliimba kutetetmeka katika spika wakati anajieleza! KIfo cha sokoine kupata ajali hakieleweki! Haya yote yatakuja eleweka tuu na wahusika kuanikwa wazi wapende wasipende!
me nasikia aliuliwa akiwa dodoma wakamsafirisha mpaka dumila wakatengeneza ajali ili aonekane amekufa kwa ajali..ila yamesemwa mengi sana kuhusu kifo hiko baadhi ya wanaohusishwa ni salim a salim, kawawa,aboud jumbe.
Miaka mingi imepita bado watanganyika tunaendelea kufichwa ukweli wa kifo hiko.
than nyerere?
na mengi aliyokuwa akipingana nayo ndo hawa jamaa wakayafanya baada ya kifo chake.Lakini km kumbukumbu zangu ziko sawa HK aliondoka kwnda exile.
Kolimba na Sokoine walikuwa marafiki na walikuwa wote Dodoma siku Sokoine aliyouawa.
Kolimba alikataa kurudi Dar na msafara wa Sokoine akidai yeye alikuwa na tiketi ya ndege.
Ni wazi alijua kinachokwenda kumsibu mwenzie ila akapiga kimya.
Ndicho kilichompa kiburi cha kuweza kujibishana na Nyerere katika miaka ya 93 na 94.
na si ajabu ndicho kilichomuua baadae alipojaribu kuwa blackmail ccm kuwa angetoa hiyo siri. akapigwa kaput chimwanga ukumbi ule ule alimouawa Sokoine.
Mzimu wa rafiki yake ulimfuata na kumsuta ukisema, "walichonifanyia 1984 na wewe ukanyamaza ndicho kinachokupata sasa! "
kwahiyo mauaji ya sokoine yalipangwa na kolimba?? Maana kuna watu wanasema kolimba ndie aliyekuwa mkuu wa msafara siku ya ajali
nenda kwenye jukwa la intdelligence kuna watalamu wameidadavua vya kutosha huko utatoka umeshiba