Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

Umeandika uzi mrefu ila nimejitahidi kusoma kwa kiasi chake, Mrema na Lowassa wakifariki utakuwa wakwanza kuwapa sifa.

Sheria ya Ulanguzi na uhujumu uchumi ulilenga kufifisha uchumi wa mikoa kinzani na Nyerere wa kwanza ni KAGERA, Sokoine aliopofika Kagera kujiridhisha na taarifa zilizokuwa zinatolewa na radio ya Taifa hakuamini alivyokuta JW walivyokuwa wanawapiga na kuwanyang'anya raia mali zao alimwamlisha mkuu wa mkoa kwenda kujieleza Bungeni lakini kwakuwa ulikuwa ni mkakati wa Nyerere Sokoine hakufika Dodoma na uyo Mkuu wa mkoa wa Kagera hakwenda Bungeni ata tume iliyoundwa haikuwahi kutoa mrejesho mpaka kesho.

So ile sheria ya uhujumu uchumi iliundwa kwa kukurupuka ikiwa na lengo ovu. Mzee Mwanakijiji
 
Umeandika uzi mrefu ila nimejitahidi kusoma kwa kiasi chake, Mrema na Lowassa wakifariki utakuwa wakwanza kuwapa sifa.
Sheria ya Ulanguzi na uhujumu uchumi ulilenga kufifisha uchumi wa mikoa kinzani na Nyerere wa kwanza ni KAGERA, Sokoine aliopofika Kagera kujiridhisha na taarifa zilizokuwa zinatolewa na radio ya Taifa hakuamini alivyokuta JW walivyokuwa wanawapiga na kuwanyang'anya raia mali zao alimwamlisha mkuu wa mkoa kwenda kujieleza Bungeni lakini kwakuwa ulikuwa ni mkakati wa Nyerere Sokoine hakufika Dodoma na uyo Mkuu wa mkoa wa Kagera hakwenda Bungeni ata tume iliyoundwa haikuwahi kutoa mrejesho mpaka kesho.
So ile sheria ya uhujumu uchumi iliundwa kwa kukurupuka ikiwa na lengo ovu.
Kwa hiyo unachotaka kusema kuwa sheria ile ya uhujumu uchumi ilikuwa temporary, yaani baada ya kudhibiti mikoa kinzani na JKN ikafia pale? Sijaelewa mkuu
 
Jumapili ya leo, tarehe 12.4.2020, Taifa letu linatimiza miaka 36 toka kipenzi cha Watanzania, Mh. EDWARD MORINGE SOKOINE afariki kwa ajali ya gari siku ya Alhamis, tarehe 12.4.1984 eneo la Dakawa, wilayani Mvomero, mkoani Morogoro.

Taarifa hii inamuelezea Kiongozi huyu shupavu toka alipozaliwa hadi alipofariki. Hii itawasaidia wengi, hasa The Dot.Com Generation_, kuelewa kwanini Taifa linamuenzi Kiongozi huyu ambaye alikuwa ni Zawadi ya Mungu kwa Watanzania.

Jumatatu ya tarehe 1.8.1938, katika kitongoji cha Kilasho, kijiji cha Emairete, Monduli Juu, Arusha, huku mvua kubwa na radi vikirindima, alizaliwa mtoto wa kiume buheri wa afya, aliyeitwa EDWARD MORINGE SOKOINE. Baba yake aliitwa SOKOINE OLE SEVERE na mama yake aliitwa NAPELEL SINYATI NOOMAYAKI.

Mwaka 1949, akiwa na miaka 11, wazazi wa wake walimpeleka shule ya msingi Monduli. Mwaka 1953, alifanya mtihani wa kitaifa _"STD Four Territorial Examinations"_ na baada ya kufaulu akajiunga na "Monduli Middle School " hadi mwaka 1956 na baadaye akajiunga na shule ya sekondari Umbwe.

Tarehe 1.1.1961, SOKOINE alijiunga na chama cha (TANU) kilichokuwa kikipigania uhuru wa Tanganyika.

Tarehe 25.10.1965, SOKOINE, akiwa kijana mdogo tu wa miaka 27, lakini mwenye akili na ubunifu mwingi, aligombea na kushinda ubunge kwa kishindo jimbo la Monduli.

Mwaka 1967, SOKOINE akiwa na miaka 29 tu, aliteuliwa na Rais NYERERE kuwa Naibu Waziri, Wizara ya Mawasiliano, Uchukuzi na Kazi.

Katika uchaguzi mguu, tarehe 25.10.1970, Mh. SOKOINE aligombea tena ubunge jimbo la Manduli na kushinda kwa kishindo.

Mwaka 1970, baada ya Uchaguzi Mkuu, Rais NYERERE alimteua Mh. SOKOINE kuwa Waziri wa Nchi. Aidha, mwaka 1972, baada ya kuvutiwa na uchapakazi wake usio wa kawaida, Rais NYERERE alimteua SOKOINE kuwa Waziri katika Wizara nyeti ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Baada ya TANU na ASP kuungana tarehe 5.2.1977 huko Zanzibar, Mh. SOKOINE akawa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (CC)

Kutokana na uchapakazi wake tarehe 13.2.1977, Rais NYERERE, baada ya kulifumua Baraza la Mawaziri, akamteua Mh. SOKOINE kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa TZ.

Tarehe 7.11.1980, Mh. SOKOINE alijiuzulu Uwaziri Mkuu na kwenda masomoni Yugoslavia. Rais NYERERE akamteua Mh. CLEOPA DAVID MSUYA kuwa Waziri Mkuu.

Mh. SOKOINE alirejea nchini mwaka 1983. Kutokana na imani kubwa aliyokuwa Rais NYERERE kwa Mh SOKOINE, mara moja akamteua tena kushika wadhiwa wake wa Waziri Mkuu, tarehe 24.2.1983.

Mh. SOKOINE aliwasili bungeni Dodoma mwezi Machi 1984 na kama Kiongozi wa Serikali bungeni, aliliongoza Bunge kwa umahiri na weledi wa hali ya juu.

Jumatatu ya tarehe 9.4.1984, Mh. SOKOINE alijumuika na wabunge waliokwenda kusali asubuhi kanisa la Mt. Paul.

Usiku wa Jumanne, tarehe 10.4.1984, Mh. SOKOINE aliandaa karamu kabambe Cocktail party" na kuwaalika Mawaziri na Wakuu wa Mikoa. Katika dhifa hiyo, Mh. SOKOINE alizunguka na kuongea na kila mmoja wao.

Kesho yake jioni, siku ya Jumatano, tarehe 11.4.1984, Mh. SOKOINE, aliyekuwa mtu mwema na mwenye utu, aliandaa karamu kwaajili ya wabunge wa mkoa wa Arusha ambapo aliwasisitizia kuhakikisha wanafanya kila wawezalo ili kuwasaidia Wamasai kuondokana na ufukara mkubwa walionao.

Siku ya Jumatano, tarehe 11.4.1984, Mh. SOKOINE alilivunja bunge na kuliaga ambapo alisema yafuatayo:-

Ndugu Spika, ningependa kumalizia kwa kukubaliana na wabunge kuwa lazma tutafute njia ya kuikomesha tabia hii ya kutumia fedha bila ya idhini ya Bunge........ Mungu akipenda tutakutana katika kikao kijacho. Mimi nitasafiri kwa njia ya barabara ili nijionee hali ya mazao ya wakulima wetu.!

Alhamis, tarehe 12.4.1984, Mh. SOKOINE aliondoka Dodoma na msafara wake akiwa ndani ya Mercedes Benz yake huku msafara huo ukiongozwa na gari la polisi. Magari yote yaliyokuwa yakikutana na msafara huo, yalikuwa yakipaki pembeni kuupisha, baada ya kuamriwa na gari la mbele la polisi.

Baada ya msafara huo kufika Dakawa, kilometa 30 toka Morogoro, ghafla kilisikika kishindo kikubwa sana!. Mercedes Benz ya Mh. SOKOINE iligongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Landcruiser lililokuwa likiendeshwa na DUMISAN DUBE(23), mpigania uhuru wa ANC aliyekuwa akiishi Mazimbu, Morogoro.

Alasiri ya siku hiyo ya Alhamis, Radio Tanzania Dsm ilisitisha ghafla vipindi vyake na kupiga wimbo wa Taifa. Rais NYERERE, mara tu baada ya wimbo wa Taifa, kwa uchungu mkubwa lakini kwa ujasiri wa hali ya juu, akalitangazia Taifa kuhusu kifo hicho cha kipekee, ambapo alisema-:

"Ndugu wananchi, leo mnamo saa saba mchana, ndugu yetu na kijana wetu, Edward Sokoine, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipokuwa akirudi Dar Es Salaam kutoka Dodoma, gari lake lilipata ajali na amefariki dunia. Naomba muamini Edward amefariki kwa ajali na si kitu kingine"

Baada tu ya taarifa hiyo vilio vilitamalaki na wananchi walikumbwa na simanzi kubwa kwa kuondokewa na kipenzi chao na kupelekea kazi na shughuli zote kusimama. Kikao cha UWT kilichokuwa kikifanyika ofisi ya CCM Lumumba kilisambaratika mara tu baada ya Mwenyekiti wa UWT, Mh. Mama SOPHIA KAWAWA alipowatangazia wajumbe habari hizo za kusikitisha.

Aidha, watanzania waliokuwa nje ya nchi nao walimlilia

Kufuatia kifo hicho cha Jemedali SOKOINE, serikali ilitangaza maombolezo ya wiki mbili na bendera kupeperushwa nusu mlingoti nchi nzima.

Mwili wa marehemu SOKOINE ulifikishwa Ikulu, saa 11 jioni ya siku hiyo hiyo ukiwa umefunikwa kwa bendera ya Taifa.

Mwili wa marehemu SOKOINE uliwekwa sehemu maalum Ikulu. Rais NYERERE, akiambatana na mama MARIA, alijongea kwenye mwili huo na kuifunua bendera ya Taifa. Kisha akaweka mikono yake miwili kwenye paji la uso wa SOKOINE.

Rais NYERERE na mama MARIA, aliyekuwa ameshika kitambaa cheupe, walishindwa kuvumilia na wakalia kwa uchungu mno hadi walinzi wao walipowaondoa. Rais NYERERE alikuwa na huzuni kubwa na ilikuwa ni mara ya kwanza kwa watu kumuona akilia hadharani!.

Jioni hiyo ya Alhamis, mwili wa SOKOINE ukapelekwa hospitali ya Lugalo kuhifadhiwa.

Jeneza la marehemu Sokoine lilitengenezwa pale chang'ombe na kiwanda cha Hemsingh chini ya ndugu Paul Mkanga ambaye alikuwa katibu wa wizara ya ujenzi.

Ijumaa, tarehe 13.4.1984, wakazi wa jiji la Dsm, ZNZ na mikoa ya jirani walifurika kumuaga kipenzi chao. Kwa hakika, ulikuwa ni umati mkubwa ambao ulikuwa haujawahi kuonekana toka tupate uhuru. Rekodi ya umati huo ilikuja kuvunjwa na umati uliojitokeza kumuguaga Baba wa Taifa, Octoba 1999.

Jumamosi ya
14.4.1984
Daladala zote Dsm ziliwachukua wananchi na kuwapeleka bure "Airport" , ukiwa ni mchango wao kwa kipenzi chao, marehemu SOKOINE.

Mh. SOKOINE, mwaka 1983, Ndiye alianzisha moango wa usafiri mbadala yaani dala dala baada ya kuona UDA wamelewa madaraka.

Jenerali JOHN BUTLER WARDEN "Black Mamba", Mtanzania chotara, akisaidiwa na Vijana wa TPDF alijenga kaburi la aina yake kama nyumba ya milele ya mh Sokoine.

Mh. SOKOINE alipofariki aliacha wake wawili (NAPONO na NAKITETO) na watoto 11, wakiwemo wawili ambao walikuwa kuwa viongozi ie Balozi JOSEPH na mbunge NAMELOK

Tarehe 12.6.1984, DUMISAN DUBE alifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Morogoro, mbele ya Mh. Mh. SIMON KAJI (PRM). Upande wa Mashtaka uliongozwa na JOHNSON MWANYIKA (SSA) ambaye alikuwa na mashahidi 21, aliwemo mkulima aliyeshuhudia ajali hiyo.

DUBE aliposomewa mashtaka 7, alikiri hivyo Mh. KAJI akampa kifungo cha miaka 3.

Msibani Monduli, Rais NYERERE alieleza- Marehemu Edward alichukia na kupambana na rushwa kwa dhati kabisa. Hakuwa na mali yoyote ukiachilia ng'ombe wa urithi. Alikuwa na suti 3 na viatu pea 2 tu

Mh. SOKOINE alianzisha Mfuko Maalum yaani The Presidential Trust Fund Ikulu, ambapo kila mwezi alikuwa akiweka sehemu ya mshahara wake ili kuwasaidia akina mama kukopa!. Wakinamama wengi walinufaika kwa mfuko huo.

Mh. SOKOINE alikuwa mchamungu sana. Alikuwa Mkristu Mkatoliki na Mwanachama wa Utawa wa Tatu wa Mt. Francisca.

Mh. SOKOINE alifanya kazi hadi mara nyingine usiku wa maanani. Aliwachagua vijana 2 hodari MARTENS LUMBANGA na PHILLEMON LUHANJO waliokuwa chini ya Katibu Mkuu, HORRACE KOLIMBA. Hawa watatu walibatizwa jina Wafuasi wa SOKOINE kwani nao walikuwa waadilifu na wachapakazi makini na waliongozana nae kila alikokwenda.

SOKOINE alichukia sana Viongozi Wazembe

Mh. SOKOINE hakuwa na simile na Viongozi wazembe, kama alivyoeleza tarehe 26.3.1983 Ole wake Kiongozi mzembe nitakayemkuta. Viongozi wazembe na wabadhilifu wahesabu siku zao"

Tarehe 12.4.1984, Mh. Edward Sokoine alipofariki kwa ajali ilikuwa huzuni kubwa sana nchini. marehemu Sokoine alipiga vita rushwa, wizi na unyonyaji. Marehemu Sokoine alikuwa Mzalendo kwelikweli na kamwe hatasahaulika Tanzania.

Marehemu EDWARD MORINGE SOKOINE alikuwa ni Zawadi ya Mungu kwa Watanzania.

Aprili 12, 2020.

Maelezo Pichani
Screenshot_20200412-230122.jpeg

In God we Trust
 
Leo ni miaka 23 tangu Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine atutoke ghafla na kuacha simanzi na wingu la huzuni. Siku ile ya machozi na majonzi imebakia katika kumbukumbu za Watanzania wengi kama vile jana. Mfano wake ni kumbukumbu ya Wamarekani waliposikia habari za kuuawa kwa Rais John F. Kennedy. Kila mtu aliyekuwa mtu mzima wakati ule anakumbuka vizuri siku hiyo alikuwa wapi na alikuwa anafanya nini. Je pengo aliloliacha marehemu limeanza kuzibwa?

Je, kuna kiongozi yoyote ambaye anakaribia sifa na utendaji kazi wa Marehemu Sokoine? Leo tunamkumbuka Edward Sokoine.

Pata kidogo chini hapa toka kwa mkuu Kyoma:
Maandishi huwa hayapotei
 
Maelezo PichaniView attachment 1417741

In God we Trust

We lost an important leader. A leader who was training tanzanians to find local ways and using resources in addressing their economic challenges
Kama tungeenda na Sokoine, naamini leo pengine yale manguo mabovu ya urafiki, Mwatx na Arusha yangekuwa yako first class na tungewazidi wote EA kwenye fursa ya AGOA, sabuni zingekuwa ni brand za kwetu, na viwanda vidogo vidogo vingi.
Hima tunamkumbuka Hayati Sokoine. Anayefikiri kuna shortcut ya maendeleo atuonyeshe nini tumefanya toka 1984 mpaka leo ambacho kinathibitisha tuna brands na viwanda vya kueleweka Tanzania.
badala yake viwanda vikauzwa na vingine vingi vimeishia kuwa godowns za watanzania wa kiasia
 
Ushujaa wake ni nini?

Hata hizo Karume Day na Nyerere day ni wastage of time and respources tu, zina faida gani?
Kumbe muda mwingine huwa huna akili kiasi hiki?

Palipo na watu jaribu kutizama sana maneno yako.....
 
Huyo Dumisani Dube kwa sasa yuko wapi na anajihusisha na nini??je katika ajali hiyo alikufa Sokoine tu au walikufa na watu wengine??na kwanini bwana dube alifungwa miaka michache sana?
Jumapili ya leo, tarehe 12.4.2020, Taifa letu linatimiza miaka 36 toka kipenzi cha Watanzania, Mh. EDWARD MORINGE SOKOINE afariki kwa ajali ya gari siku ya Alhamis, tarehe 12.4.1984 eneo la Dakawa, wilayani Mvomero, mkoani Morogoro.

Taarifa hii inamuelezea Kiongozi huyu shupavu toka alipozaliwa hadi alipofariki. Hii itawasaidia wengi, hasa The Dot.Com Generation_, kuelewa kwanini Taifa linamuenzi Kiongozi huyu ambaye alikuwa ni Zawadi ya Mungu kwa Watanzania.

Jumatatu ya tarehe 1.8.1938, katika kitongoji cha Kilasho, kijiji cha Emairete, Monduli Juu, Arusha, huku mvua kubwa na radi vikirindima, alizaliwa mtoto wa kiume buheri wa afya, aliyeitwa EDWARD MORINGE SOKOINE. Baba yake aliitwa SOKOINE OLE SEVERE na mama yake aliitwa NAPELEL SINYATI NOOMAYAKI.

Mwaka 1949, akiwa na miaka 11, wazazi wa wake walimpeleka shule ya msingi Monduli. Mwaka 1953, alifanya mtihani wa kitaifa _"STD Four Territorial Examinations"_ na baada ya kufaulu akajiunga na "Monduli Middle School " hadi mwaka 1956 na baadaye akajiunga na shule ya sekondari Umbwe.

Tarehe 1.1.1961, SOKOINE alijiunga na chama cha (TANU) kilichokuwa kikipigania uhuru wa Tanganyika.

Tarehe 25.10.1965, SOKOINE, akiwa kijana mdogo tu wa miaka 27, lakini mwenye akili na ubunifu mwingi, aligombea na kushinda ubunge kwa kishindo jimbo la Monduli.

Mwaka 1967, SOKOINE akiwa na miaka 29 tu, aliteuliwa na Rais NYERERE kuwa Naibu Waziri, Wizara ya Mawasiliano, Uchukuzi na Kazi.

Katika uchaguzi mguu, tarehe 25.10.1970, Mh. SOKOINE aligombea tena ubunge jimbo la Manduli na kushinda kwa kishindo.

Mwaka 1970, baada ya Uchaguzi Mkuu, Rais NYERERE alimteua Mh. SOKOINE kuwa Waziri wa Nchi. Aidha, mwaka 1972, baada ya kuvutiwa na uchapakazi wake usio wa kawaida, Rais NYERERE alimteua SOKOINE kuwa Waziri katika Wizara nyeti ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Baada ya TANU na ASP kuungana tarehe 5.2.1977 huko Zanzibar, Mh. SOKOINE akawa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (CC)

Kutokana na uchapakazi wake tarehe 13.2.1977, Rais NYERERE, baada ya kulifumua Baraza la Mawaziri, akamteua Mh. SOKOINE kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa TZ.

Tarehe 7.11.1980, Mh. SOKOINE alijiuzulu Uwaziri Mkuu na kwenda masomoni Yugoslavia. Rais NYERERE akamteua Mh. CLEOPA DAVID MSUYA kuwa Waziri Mkuu.

Mh. SOKOINE alirejea nchini mwaka 1983. Kutokana na imani kubwa aliyokuwa Rais NYERERE kwa Mh SOKOINE, mara moja akamteua tena kushika wadhiwa wake wa Waziri Mkuu, tarehe 24.2.1983.

Mh. SOKOINE aliwasili bungeni Dodoma mwezi Machi 1984 na kama Kiongozi wa Serikali bungeni, aliliongoza Bunge kwa umahiri na weledi wa hali ya juu.

Jumatatu ya tarehe 9.4.1984, Mh. SOKOINE alijumuika na wabunge waliokwenda kusali asubuhi kanisa la Mt. Paul.

Usiku wa Jumanne, tarehe 10.4.1984, Mh. SOKOINE aliandaa karamu kabambe Cocktail party" na kuwaalika Mawaziri na Wakuu wa Mikoa. Katika dhifa hiyo, Mh. SOKOINE alizunguka na kuongea na kila mmoja wao.

Kesho yake jioni, siku ya Jumatano, tarehe 11.4.1984, Mh. SOKOINE, aliyekuwa mtu mwema na mwenye utu, aliandaa karamu kwaajili ya wabunge wa mkoa wa Arusha ambapo aliwasisitizia kuhakikisha wanafanya kila wawezalo ili kuwasaidia Wamasai kuondokana na ufukara mkubwa walionao.

Siku ya Jumatano, tarehe 11.4.1984, Mh. SOKOINE alilivunja bunge na kuliaga ambapo alisema yafuatayo:-

Ndugu Spika, ningependa kumalizia kwa kukubaliana na wabunge kuwa lazma tutafute njia ya kuikomesha tabia hii ya kutumia fedha bila ya idhini ya Bunge........ Mungu akipenda tutakutana katika kikao kijacho. Mimi nitasafiri kwa njia ya barabara ili nijionee hali ya mazao ya wakulima wetu.!

Alhamis, tarehe 12.4.1984, Mh. SOKOINE aliondoka Dodoma na msafara wake akiwa ndani ya Mercedes Benz yake huku msafara huo ukiongozwa na gari la polisi. Magari yote yaliyokuwa yakikutana na msafara huo, yalikuwa yakipaki pembeni kuupisha, baada ya kuamriwa na gari la mbele la polisi.

Baada ya msafara huo kufika Dakawa, kilometa 30 toka Morogoro, ghafla kilisikika kishindo kikubwa sana!. Mercedes Benz ya Mh. SOKOINE iligongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Landcruiser lililokuwa likiendeshwa na DUMISAN DUBE(23), mpigania uhuru wa ANC aliyekuwa akiishi Mazimbu, Morogoro.

Alasiri ya siku hiyo ya Alhamis, Radio Tanzania Dsm ilisitisha ghafla vipindi vyake na kupiga wimbo wa Taifa. Rais NYERERE, mara tu baada ya wimbo wa Taifa, kwa uchungu mkubwa lakini kwa ujasiri wa hali ya juu, akalitangazia Taifa kuhusu kifo hicho cha kipekee, ambapo alisema-:

"Ndugu wananchi, leo mnamo saa saba mchana, ndugu yetu na kijana wetu, Edward Sokoine, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipokuwa akirudi Dar Es Salaam kutoka Dodoma, gari lake lilipata ajali na amefariki dunia. Naomba muamini Edward amefariki kwa ajali na si kitu kingine"

Baada tu ya taarifa hiyo vilio vilitamalaki na wananchi walikumbwa na simanzi kubwa kwa kuondokewa na kipenzi chao na kupelekea kazi na shughuli zote kusimama. Kikao cha UWT kilichokuwa kikifanyika ofisi ya CCM Lumumba kilisambaratika mara tu baada ya Mwenyekiti wa UWT, Mh. Mama SOPHIA KAWAWA alipowatangazia wajumbe habari hizo za kusikitisha.

Aidha, watanzania waliokuwa nje ya nchi nao walimlilia

Kufuatia kifo hicho cha Jemedali SOKOINE, serikali ilitangaza maombolezo ya wiki mbili na bendera kupeperushwa nusu mlingoti nchi nzima.

Mwili wa marehemu SOKOINE ulifikishwa Ikulu, saa 11 jioni ya siku hiyo hiyo ukiwa umefunikwa kwa bendera ya Taifa.

Mwili wa marehemu SOKOINE uliwekwa sehemu maalum Ikulu. Rais NYERERE, akiambatana na mama MARIA, alijongea kwenye mwili huo na kuifunua bendera ya Taifa. Kisha akaweka mikono yake miwili kwenye paji la uso wa SOKOINE.

Rais NYERERE na mama MARIA, aliyekuwa ameshika kitambaa cheupe, walishindwa kuvumilia na wakalia kwa uchungu mno hadi walinzi wao walipowaondoa. Rais NYERERE alikuwa na huzuni kubwa na ilikuwa ni mara ya kwanza kwa watu kumuona akilia hadharani!.

Jioni hiyo ya Alhamis, mwili wa SOKOINE ukapelekwa hospitali ya Lugalo kuhifadhiwa.

Jeneza la marehemu Sokoine lilitengenezwa pale chang'ombe na kiwanda cha Hemsingh chini ya ndugu Paul Mkanga ambaye alikuwa katibu wa wizara ya ujenzi.

Ijumaa, tarehe 13.4.1984, wakazi wa jiji la Dsm, ZNZ na mikoa ya jirani walifurika kumuaga kipenzi chao. Kwa hakika, ulikuwa ni umati mkubwa ambao ulikuwa haujawahi kuonekana toka tupate uhuru. Rekodi ya umati huo ilikuja kuvunjwa na umati uliojitokeza kumuguaga Baba wa Taifa, Octoba 1999.

Jumamosi ya
14.4.1984
Daladala zote Dsm ziliwachukua wananchi na kuwapeleka bure "Airport" , ukiwa ni mchango wao kwa kipenzi chao, marehemu SOKOINE.

Mh. SOKOINE, mwaka 1983, Ndiye alianzisha moango wa usafiri mbadala yaani dala dala baada ya kuona UDA wamelewa madaraka.

Jenerali JOHN BUTLER WARDEN "Black Mamba", Mtanzania chotara, akisaidiwa na Vijana wa TPDF alijenga kaburi la aina yake kama nyumba ya milele ya mh Sokoine.

Mh. SOKOINE alipofariki aliacha wake wawili (NAPONO na NAKITETO) na watoto 11, wakiwemo wawili ambao walikuwa kuwa viongozi ie Balozi JOSEPH na mbunge NAMELOK

Tarehe 12.6.1984, DUMISAN DUBE alifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Morogoro, mbele ya Mh. Mh. SIMON KAJI (PRM). Upande wa Mashtaka uliongozwa na JOHNSON MWANYIKA (SSA) ambaye alikuwa na mashahidi 21, aliwemo mkulima aliyeshuhudia ajali hiyo.

DUBE aliposomewa mashtaka 7, alikiri hivyo Mh. KAJI akampa kifungo cha miaka 3.

Msibani Monduli, Rais NYERERE alieleza- Marehemu Edward alichukia na kupambana na rushwa kwa dhati kabisa. Hakuwa na mali yoyote ukiachilia ng'ombe wa urithi. Alikuwa na suti 3 na viatu pea 2 tu

Mh. SOKOINE alianzisha Mfuko Maalum yaani The Presidential Trust Fund Ikulu, ambapo kila mwezi alikuwa akiweka sehemu ya mshahara wake ili kuwasaidia akina mama kukopa!. Wakinamama wengi walinufaika kwa mfuko huo.

Mh. SOKOINE alikuwa mchamungu sana. Alikuwa Mkristu Mkatoliki na Mwanachama wa Utawa wa Tatu wa Mt. Francisca.

Mh. SOKOINE alifanya kazi hadi mara nyingine usiku wa maanani. Aliwachagua vijana 2 hodari MARTENS LUMBANGA na PHILLEMON LUHANJO waliokuwa chini ya Katibu Mkuu, HORRACE KOLIMBA. Hawa watatu walibatizwa jina Wafuasi wa SOKOINE kwani nao walikuwa waadilifu na wachapakazi makini na waliongozana nae kila alikokwenda.

SOKOINE alichukia sana Viongozi Wazembe

Mh. SOKOINE hakuwa na simile na Viongozi wazembe, kama alivyoeleza tarehe 26.3.1983 Ole wake Kiongozi mzembe nitakayemkuta. Viongozi wazembe na wabadhilifu wahesabu siku zao"

Tarehe 12.4.1984, Mh. Edward Sokoine alipofariki kwa ajali ilikuwa huzuni kubwa sana nchini. marehemu Sokoine alipiga vita rushwa, wizi na unyonyaji. Marehemu Sokoine alikuwa Mzalendo kwelikweli na kamwe hatasahaulika Tanzania.

Marehemu EDWARD MORINGE SOKOINE alikuwa ni Zawadi ya Mungu kwa Watanzania.

Aprili 12, 2020.

Maelezo PichaniView attachment 1417741

In God we Trust
 
Mungu a
Leo ni miaka 23 tangu Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine atutoke ghafla na kuacha simanzi na wingu la huzuni. Siku ile ya machozi na majonzi imebakia katika kumbukumbu za Watanzania wengi kama vile jana. Mfano wake ni kumbukumbu ya Wamarekani waliposikia habari za kuuawa kwa Rais John F. Kennedy. Kila mtu aliyekuwa mtu mzima wakati ule anakumbuka vizuri siku hiyo alikuwa wapi na alikuwa anafanya nini. Je pengo aliloliacha marehemu limeanza kuzibwa?

Je, kuna kiongozi yoyote ambaye anakaribia sifa na utendaji kazi wa Marehemu Sokoine? Leo tunamkumbuka Edward Sokoine.

Pata kidogo chini hapa toka kwa mkuu Kyoma:
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
 
Nakumbuka kifo cha huyu mwamba.

Nakumbuka walivyosema hakufa ila waliongeza nguvu kufa kwake.

Nakumbuka Dumisian Dube, alipofungwa ila ni kama amefariki miaka michache iliyopita.

Pia walihamisha mabaki ya mwili wa Moringe Sokoine baada ya boma kuhama.

Pumzika Edward Moringe Sokoine.
 
Jumapili ya leo, tarehe 12.4.2020, Taifa letu linatimiza miaka 36 toka kipenzi cha Watanzania, Mh. EDWARD MORINGE SOKOINE afariki kwa ajali ya gari siku ya Alhamis, tarehe 12.4.1984 eneo la Dakawa, wilayani Mvomero, mkoani Morogoro.

Taarifa hii inamuelezea Kiongozi huyu shupavu toka alipozaliwa hadi alipofariki. Hii itawasaidia wengi, hasa The Dot.Com Generation_, kuelewa kwanini Taifa linamuenzi Kiongozi huyu ambaye alikuwa ni Zawadi ya Mungu kwa Watanzania.

Jumatatu ya tarehe 1.8.1938, katika kitongoji cha Kilasho, kijiji cha Emairete, Monduli Juu, Arusha, huku mvua kubwa na radi vikirindima, alizaliwa mtoto wa kiume buheri wa afya, aliyeitwa EDWARD MORINGE SOKOINE. Baba yake aliitwa SOKOINE OLE SEVERE na mama yake aliitwa NAPELEL SINYATI NOOMAYAKI.

Mwaka 1949, akiwa na miaka 11, wazazi wa wake walimpeleka shule ya msingi Monduli. Mwaka 1953, alifanya mtihani wa kitaifa "STD Four Territorial Examinations" na baada ya kufaulu akajiunga na "Monduli Middle School " hadi mwaka 1956 na baadaye akajiunga na shule ya sekondari Umbwe.

Tarehe 1.1.1961, SOKOINE alijiunga na chama cha (TANU) kilichokuwa kikipigania uhuru wa Tanganyika.

Tarehe 25.10.1965, SOKOINE, akiwa kijana mdogo tu wa miaka 27, lakini mwenye akili na ubunifu mwingi, aligombea na kushinda ubunge kwa kishindo jimbo la Monduli.

Mwaka 1967, SOKOINE akiwa na miaka 29 tu, aliteuliwa na Rais NYERERE kuwa Naibu Waziri, Wizara ya Mawasiliano, Uchukuzi na Kazi.

Katika uchaguzi mguu, tarehe 25.10.1970, Mh. SOKOINE aligombea tena ubunge jimbo la Manduli na kushinda kwa kishindo.

Mwaka 1970, baada ya Uchaguzi Mkuu, Rais NYERERE alimteua Mh. SOKOINE kuwa Waziri wa Nchi. Aidha, mwaka 1972, baada ya kuvutiwa na uchapakazi wake usio wa kawaida, Rais NYERERE alimteua SOKOINE kuwa Waziri katika Wizara nyeti ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Baada ya TANU na ASP kuungana tarehe 5.2.1977 huko Zanzibar, Mh. SOKOINE akawa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (CC)

Kutokana na uchapakazi wake tarehe 13.2.1977, Rais NYERERE, baada ya kulifumua Baraza la Mawaziri, akamteua Mh. SOKOINE kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa TZ.

Tarehe 7.11.1980, Mh. SOKOINE alijiuzulu Uwaziri Mkuu na kwenda masomoni Yugoslavia. Rais NYERERE akamteua Mh. CLEOPA DAVID MSUYA kuwa Waziri Mkuu.

Mh. SOKOINE alirejea nchini mwaka 1983. Kutokana na imani kubwa aliyokuwa Rais NYERERE kwa Mh SOKOINE, mara moja akamteua tena kushika wadhiwa wake wa Waziri Mkuu, tarehe 24.2.1983.

Mh. SOKOINE aliwasili bungeni Dodoma mwezi Machi 1984 na kama Kiongozi wa Serikali bungeni, aliliongoza Bunge kwa umahiri na weledi wa hali ya juu.

Jumatatu ya tarehe 9.4.1984, Mh. SOKOINE alijumuika na wabunge waliokwenda kusali asubuhi kanisa la Mt. Paul.

Usiku wa Jumanne, tarehe 10.4.1984, Mh. SOKOINE aliandaa karamu kabambe Cocktail party" na kuwaalika Mawaziri na Wakuu wa Mikoa. Katika dhifa hiyo, Mh. SOKOINE alizunguka na kuongea na kila mmoja wao.

Kesho yake jioni, siku ya Jumatano, tarehe 11.4.1984, Mh. SOKOINE, aliyekuwa mtu mwema na mwenye utu, aliandaa karamu kwaajili ya wabunge wa mkoa wa Arusha ambapo aliwasisitizia kuhakikisha wanafanya kila wawezalo ili kuwasaidia Wamasai kuondokana na ufukara mkubwa walionao.

Siku ya Jumatano, tarehe 11.4.1984, Mh. SOKOINE alilivunja bunge na kuliaga ambapo alisema yafuatayo:-

Ndugu Spika, ningependa kumalizia kwa kukubaliana na wabunge kuwa lazma tutafute njia ya kuikomesha tabia hii ya kutumia fedha bila ya idhini ya Bunge........ Mungu akipenda tutakutana katika kikao kijacho. Mimi nitasafiri kwa njia ya barabara ili nijionee hali ya mazao ya wakulima wetu.!

Alhamis, tarehe 12.4.1984, Mh. SOKOINE aliondoka Dodoma na msafara wake akiwa ndani ya Mercedes Benz yake huku msafara huo ukiongozwa na gari la polisi. Magari yote yaliyokuwa yakikutana na msafara huo, yalikuwa yakipaki pembeni kuupisha, baada ya kuamriwa na gari la mbele la polisi.

Baada ya msafara huo kufika Dakawa, kilometa 30 toka Morogoro, ghafla kilisikika kishindo kikubwa sana!. Mercedes Benz ya Mh. SOKOINE iligongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Landcruiser lililokuwa likiendeshwa na DUMISAN DUBE(23), mpigania uhuru wa ANC aliyekuwa akiishi Mazimbu, Morogoro.

Alasiri ya siku hiyo ya Alhamis, Radio Tanzania Dsm ilisitisha ghafla vipindi vyake na kupiga wimbo wa Taifa. Rais NYERERE, mara tu baada ya wimbo wa Taifa, kwa uchungu mkubwa lakini kwa ujasiri wa hali ya juu, akalitangazia Taifa kuhusu kifo hicho cha kipekee, ambapo alisema-:

"Ndugu wananchi, leo mnamo saa saba mchana, ndugu yetu na kijana wetu, Edward Sokoine, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipokuwa akirudi Dar Es Salaam kutoka Dodoma, gari lake lilipata ajali na amefariki dunia. Naomba muamini Edward amefariki kwa ajali na si kitu kingine"

Baada tu ya taarifa hiyo vilio vilitamalaki na wananchi walikumbwa na simanzi kubwa kwa kuondokewa na kipenzi chao na kupelekea kazi na shughuli zote kusimama. Kikao cha UWT kilichokuwa kikifanyika ofisi ya CCM Lumumba kilisambaratika mara tu baada ya Mwenyekiti wa UWT, Mh. Mama SOPHIA KAWAWA alipowatangazia wajumbe habari hizo za kusikitisha.

Aidha, watanzania waliokuwa nje ya nchi nao walimlilia

Kufuatia kifo hicho cha Jemedali SOKOINE, serikali ilitangaza maombolezo ya wiki mbili na bendera kupeperushwa nusu mlingoti nchi nzima.

Mwili wa marehemu SOKOINE ulifikishwa Ikulu, saa 11 jioni ya siku hiyo hiyo ukiwa umefunikwa kwa bendera ya Taifa.

Mwili wa marehemu SOKOINE uliwekwa sehemu maalum Ikulu. Rais NYERERE, akiambatana na mama MARIA, alijongea kwenye mwili huo na kuifunua bendera ya Taifa. Kisha akaweka mikono yake miwili kwenye paji la uso wa SOKOINE.

Rais NYERERE na mama MARIA, aliyekuwa ameshika kitambaa cheupe, walishindwa kuvumilia na wakalia kwa uchungu mno hadi walinzi wao walipowaondoa. Rais NYERERE alikuwa na huzuni kubwa na ilikuwa ni mara ya kwanza kwa watu kumuona akilia hadharani!.

Jioni hiyo ya Alhamis, mwili wa SOKOINE ukapelekwa hospitali ya Lugalo kuhifadhiwa.

Jeneza la marehemu Sokoine lilitengenezwa pale chang'ombe na kiwanda cha Hemsingh chini ya ndugu Paul Mkanga ambaye alikuwa katibu wa wizara ya ujenzi.

Ijumaa, tarehe 13.4.1984, wakazi wa jiji la Dsm, ZNZ na mikoa ya jirani walifurika kumuaga kipenzi chao. Kwa hakika, ulikuwa ni umati mkubwa ambao ulikuwa haujawahi kuonekana toka tupate uhuru. Rekodi ya umati huo ilikuja kuvunjwa na umati uliojitokeza kumuguaga Baba wa Taifa, Octoba 1999.

Jumamosi ya
14.4.1984
Daladala zote Dsm ziliwachukua wananchi na kuwapeleka bure "Airport" , ukiwa ni mchango wao kwa kipenzi chao, marehemu SOKOINE.

Mh. SOKOINE, mwaka 1983, Ndiye alianzisha moango wa usafiri mbadala yaani dala dala baada ya kuona UDA wamelewa madaraka.

Jenerali JOHN BUTLER WARDEN "Black Mamba", Mtanzania chotara, akisaidiwa na Vijana wa TPDF alijenga kaburi la aina yake kama nyumba ya milele ya mh Sokoine.

Mh. SOKOINE alipofariki aliacha wake wawili (NAPONO na NAKITETO) na watoto 11, wakiwemo wawili ambao walikuwa kuwa viongozi ie Balozi JOSEPH na mbunge NAMELOK

Tarehe 12.6.1984, DUMISAN DUBE alifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Morogoro, mbele ya Mh. Mh. SIMON KAJI (PRM). Upande wa Mashtaka uliongozwa na JOHNSON MWANYIKA (SSA) ambaye alikuwa na mashahidi 21, aliwemo mkulima aliyeshuhudia ajali hiyo.

DUBE aliposomewa mashtaka 7, alikiri hivyo Mh. KAJI akampa kifungo cha miaka 3.

Msibani Monduli, Rais NYERERE alieleza- Marehemu Edward alichukia na kupambana na rushwa kwa dhati kabisa. Hakuwa na mali yoyote ukiachilia ng'ombe wa urithi. Alikuwa na suti 3 na viatu pea 2 tu

Mh. SOKOINE alianzisha Mfuko Maalum yaani The Presidential Trust Fund Ikulu, ambapo kila mwezi alikuwa akiweka sehemu ya mshahara wake ili kuwasaidia akina mama kukopa!. Wakinamama wengi walinufaika kwa mfuko huo.

Mh. SOKOINE alikuwa mchamungu sana. Alikuwa Mkristu Mkatoliki na Mwanachama wa Utawa wa Tatu wa Mt. Francisca.

Mh. SOKOINE alifanya kazi hadi mara nyingine usiku wa maanani. Aliwachagua vijana 2 hodari MARTENS LUMBANGA na PHILLEMON LUHANJO waliokuwa chini ya Katibu Mkuu, HORRACE KOLIMBA. Hawa watatu walibatizwa jina Wafuasi wa SOKOINE kwani nao walikuwa waadilifu na wachapakazi makini na waliongozana nae kila alikokwenda.

SOKOINE alichukia sana Viongozi Wazembe

Mh. SOKOINE hakuwa na simile na Viongozi wazembe, kama alivyoeleza tarehe 26.3.1983 Ole wake Kiongozi mzembe nitakayemkuta. Viongozi wazembe na wabadhilifu wahesabu siku zao"

Tarehe 12.4.1984, Mh. Edward Sokoine alipofariki kwa ajali ilikuwa huzuni kubwa sana nchini. marehemu Sokoine alipiga vita rushwa, wizi na unyonyaji. Marehemu Sokoine alikuwa Mzalendo kwelikweli na kamwe hatasahaulika Tanzania.

Marehemu EDWARD MORINGE SOKOINE alikuwa ni Zawadi ya Mungu kwa Watanzania.

Aprili 12, 2020.

Maelezo PichaniView attachment 1417741

In God we Trust
Hiyo haikuwa ajali ya kufa waziri mkuu.

Je dereva wake alipona ?
 
Jamani ukweli kuhusu kifo cha Sokoine usemwe maana walioshuhudia wengine wanazeeka na kufa. Tuweke sawa historia, after all hata kama kuna siri kwenye secret files miaka zaidi ya 20 imepita tayari.

Ule uvumi kuwa alikuwa na majeraha ya risasi kifuani uwekwe wazi ,kwa nini dube hakuchukuliwa hatua? kuna tetesi kuwa maelezo ya Dube yalikuwa mwiba kuendelea kuwepo nchini, wanadai yeye alisema baada ya ajali alishuhudia mtu mrefu mweusi akiongozwa na askari ku-escape akitembea mwenyewe na alishangaa kusikia huyo mtu alikufa. Je, waliomuhamisha kwenye gari lingine walifanyaje?

Ni wakati wa kusafisha hali iliyokuwepo, na kama hizi ni imani potofu ziondoke masikioni mwa watu..kwa nini isiundwe tume ili ukweli ujulikane na kama kuna waliotuhumiwa waweze kusafishika if possible?

Nawasilisha!
Hii itakuwa ndo ilileta ukakasi kufukua mwili.

Je walipofanikiwa kuufukua mwili walau mifupa ile waliona hii kitu?
 
Leo ni miaka 23 tangu Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine atutoke ghafla na kuacha simanzi na wingu la huzuni. Siku ile ya machozi na majonzi imebakia katika kumbukumbu za Watanzania wengi kama vile jana. Mfano wake ni kumbukumbu ya Wamarekani waliposikia habari za kuuawa kwa Rais John F. Kennedy. Kila mtu aliyekuwa mtu mzima wakati ule anakumbuka vizuri siku hiyo alikuwa wapi na alikuwa anafanya nini. Je pengo aliloliacha marehemu limeanza kuzibwa?

Je, kuna kiongozi yoyote ambaye anakaribia sifa na utendaji kazi wa Marehemu Sokoine? Leo tunamkumbuka Edward Sokoine.

Pata kidogo chini hapa toka kwa mkuu Kyoma:
Kazi ya Mungu hana makosa.

Sokoine ni dikteta aliyeondoshwa na Mungu mapema.
 
Back
Top Bottom