Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

Leo 2022
Kifo -1984
38 miaka mpaka sasa imepita
Dunia kweli mapito [emoji848]
 
Muheshimiwa El, hajawahi, wala hatawahi kufanana na Sokoine, Sokoine, alikuwa moto wa kuotea mbali.
 
Ukitaka kujuwa nenda manyara mwilayani kiteto ndiyo utajuwa masai walivyo wanakuja usiku kwenye shamba lako wanaingiza mifugo usiku kwa makusudi kabisa kwakuwa viongozibwote ni masai
 
Nyakati zimebadilika sana. Nimesoma 50% ya huu uzi, kuna hoja, hoja zinapanguliwa, kwa staha kabisa. Jamboforums ilikuwa na heshima sana.
 
Kwa issue ya sabaya ni yake sio ya kabila mambo ya kusema wamasai hiyo iache tena ifutilie mbali kwa sababu viongozi wapo wengi ambao sio wamasai na wanatumia madaraka kama watakavyo .
Sabaya ndo nani tena wa kumfananisha na icon kama sokonei.
 
Leo ni miaka 23 tangu Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine atutoke ghafla na kuacha simanzi na wingu la huzuni. Siku ile ya machozi na majonzi imebakia katika kumbukumbu za Watanzania wengi kama vile jana. Mfano wake ni kumbukumbu ya Wamarekani waliposikia habari za kuuawa kwa Rais John F. Kennedy.

Kila mtu aliyekuwa mtu mzima wakati ule anakumbuka vizuri siku hiyo alikuwa wapi na alikuwa anafanya nini. Je pengo aliloliacha marehemu limeanza kuzibwa?

Je, kuna kiongozi yoyote ambaye anakaribia sifa na utendaji kazi wa Marehemu Sokoine? Leo tunamkumbuka Edward Sokoine.

Pata kidogo chini hapa toka kwa mkuu Kyoma:
Miaka 40 sasa bila majibu
 
Leo nimemuona Joseph Sokoine akitoa machozi baada ya kusema baba alifariki kwa ajari ya gari. Nimesikia huzuni sana.
Back then, Mwalimu alikuwa Rais. Na wengine kadhaa walikuwa wasaidizi akiwemo Hayati Sokoine.
Mungu Mwenyezi ampe pumziko la amani. He was a really soldier. Sometimes it takes ages to realise in order to make forward steps, people like Sokoine were dearly needed. The process cannot be completed without them.

Let's pray to have them live longer
 
Back
Top Bottom