Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

Kwa kweli ni bora alipotezwa, maana nyerere alishajua ameboronga, na alikuwa anatafuta pa kutokea, lakini hii kenge ikataka kuharibu mipango yake, akaona isiwe tabu
Kama vile karume alivyokuwa anapiga mikwara na kuvua koti, nyerere alikuwa ni mnyama
 
Muwe na umri wa kujua sio mambo ya kusikia uzushi
 
Muwe na umri wa kujua sio mambo ya kusikia uzushi
Nimeiona miaka ya 70 na 80
Huyo moringe nakumbuka alivyokuwa anazunguka nchi nzima kukamata watu wenye colgate za kenya
Kwa kweli alistahili tamati....
 
Kwa mema yepi?

Mnapiga porojo tu, huna hata moja jema ulilolitaja la kumkumbuka.

Siasa za wajinga ndiyo waliwao tu, hakuna zaidi.

Watu wanajitengenezea matukio wapige pesa.
 
Imepita miaka mingi sana. Apumzike kwa amani
 
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayari kumpa % kadhaa katika mshahara kama shukurani
 
Asa

japokuwa sikuzaliwa wakati wa utawala wake na kifo chake. Anastahili pongezi mpaka hivi leo. Nifahari ya Africa na TANZANIA
 
This means more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…