Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

Find out about Prof Shaba...the truth is simple and is out there.. The soon to be saint was the one responsible..
 
Huyo saint ni Nyerere au?

Jamani semeni kila mnalolifahamu, kuogopa kusema vitu, haviwafanyi kuwa mashujaa wala hakuleti uungwana, nimesikia tangu utotoni kuwa Nyerere ndie aliepanga kila kitu ''eti aliogopa jamaa angemfunika vibaya vibaya'' personally siamini!! nabaki kusikia

Ninachoamini ni kuwa Nyerere asingeweza kufanya hivyo kwani Sokoine wa ''only true son''' ambapo wote waliobaki sasa ni watoto wa kambo! kama Jakaya utasema anafuata siasa au hata mawazo ya Nyerere?
 
Mimi nalifahamu vema eneo ilipotokea 'ajali' pale mkoani morogoro. Mazingira ya ajali kusema ukweli yalikuwa yanatatanisha sana! Kwanza kwa kipindi hiyo PM alikuwa na msafara mkubwa tu na isingalikuwa rahisi kwa dumisani dube kugonga/gongana na gari la PM. Pili eneo lenyewe ilipotokea 'ajali' ni sehemu ambayo ipo clear kabisa (hakuna kona wala junction), dereva anaweza kuona mbele kwa zaidi ya mita 300. Nashindwa kuelewa ilikuwaje magari yaliyokuwa yanaongoza msafara yaklishindwa kulizuia gari la dube.

Binafsi siamini kabisa kama ilikuwa ajali ya kawaida ya magari. Whether saint alihusika ama la nadhani ni suala la logic zaidi hasa ukitizama uchunguzi ulivyofanyika na jinsi kesi zilivyoendeshwa. Angekuwa hakujua chochote au hakuhusika nadhani pangekuwa hapatoshi (tuliaminishwa kwamba Sokoine alikuwa mtu wake!).
 
If nay of you is a part-time film critic/ enthusiast, you will know of an animated film known as The Prince of Egypt and the line "Ask the Man you call father"

That line directly applies here. Unfortunately in this case the answer might not come so directly for obvious reasons however saints, if they really exist have a way of getting around mortis and delivering msgs to their intended. SO maybe prayer will convince "his-soon-to-beNESS" to clear things up. I mean whats murder when ur a saint! Minor things sio...lol
 
team up between KAWAWA and CLEOPA...succession politics ,coupled with ufisadi[uhujumu wa uchumi]....finish!!!....mwalimu hahusiki kabisa...,alilia sana kwa sababu alijuwa amepoteza mrithi ...mafisadi walijuwa msimamo wa sokoine ulikuwa mkali zaidi ya wa mwalimu..wakajuwa akichukua nchi basi baada ya sokoine karata ya mwalimu ikaangukia kwa SALIM naye pia akapigwa jungu kilichoendelea sio siiri tena!
 
Wakati tunajadili kifo cha Sokoine baba, naomba mwenye taarifa za kama ni kweli kuna mwanae wa kike aliyekufa katika ajali nyingine yenye utata na akafia hospitali ya Mount Meru Arusha, akisema, "Mume wangu wameniua" akiwa na chuma kichwani.

Hiyo itatusaidia kujua mengi na pengine kujua kama kuna mwanae wa kiume ambaye anakuja Tanzania kuingia katika siasa. Huyo wa kike anaelezwa kwamba alikuwa anania ya/ au anagombea ubunge kupitia wanawake wa CCM mwaka 2005.
 
Je madereva hawa wanaouwa watu kibao kila kukicha basi zima watu kumi ,saba,hamuwasemi ila wa viongozi ndo tu wanasababishiwa vifo?

Mkuu nakuunga mkono 75%. Kuna uzembe mkubwa wa madereva wetu. Halafu nyie kumwendesha mkubwa kazi. Inawezekana hata ajali ya Mwakyembe imesababishwa na yeye mwenyewe katika kum-force dereva wake awahi. Wakubwa wanaboa nyie, dereva anakuwa kama anamwendesha Mhindi bwana.

Mwacheni Sokoine apumzike kwa amani
 
Mkuu nakuunga mkono 75%. Kuna uzembe mkubwa wa madereva wetu. Halafu nyie kumwendesha mkubwa kazi. Inawezekana hata ajali ya Mwakyembe imesababishwa na yeye mwenyewe katika kum-force dereva wake awahi. Wakubwa wanaboa nyie, dereva anakuwa kama anamwendesha Mhindi bwana. Mwacheni Sokoine apumzike kwa amani

wewe wacha ubishi kama ungeliona hilo shati la mzee acagoda chiledi lilivyokuwa limejaa damu ndio ungeelewa ninasema nini...
mimi nimeliona lakini kwa wakati huo nilikuwa mdogo na uwezo wangu wa kufikiria ulikuwa mdogo
kwa ajili ilikuwa inajulikana wazi kuwa nyerere anamaliza mda wake na kulikuwa na kampeni nani atamrithi

kuna hawa watu 4 watakuwa ndio wahusika wakuu
1. cleopa msuya
2.kawawa
3.sas
4. mwinyi
 
wewe wacha ubishi kama ungeliona hilo shati la mzee acagoda chiledi lilivyokuwa limejaa damu ndio ungeelewa ninasema nini...
mimi nimeliona lakini kwa wakati huo nilikuwa mdogo na uwezo wangu wa kufikiria ulikuwa mdogo
kwa ajili ilikuwa inajulikana wazi kuwa nyerere anamaliza mda wake na kulikuwa na kampeni nani atamrithi

kuna hawa watu 4 watakuwa ndio wahusika wakuu
1. cleopa msuya
2.kawawa
3.sas
4. mwinyi
Katika nafasi ya Mwinyi weka jina Jumbe. Mwinyi hakuwa karibu kabisa kwenye mpangilio wa urithi.
 
But why was he killed?
Do you remember this:
First day at the court Dumisani Dube was required to plea guilty or not guilty if he was involved in reckless driving and other five counts on reckless driving and causing the death of Edward Moringe Sokoine. Dube pleaded no guilty and begged to tell the truth. The case was adjounered for 5 days.

After 5 days Dube without even being questioned pleaded guilty on all counts. He was on the same day sentenced to 5 years in Prison.

The truth is Mr. Dube never even stayed in a prison in Tanzania. He was sent to UK, where he stayed part of his life.

He is now back in South Africa!

From the above I believe he [Sokoine] was killed!!!
 
He had to go because he did not deserve to be the next president of Tanzania. if the're thinking of making Mwalimu a saint i couldn't be happier. Sokoine was obsessed with socialism at a time when Mwalimu had figured out it was an error that was digging tanzania and its people deep in poverty. During that time people where queing just for sugar, a tv was seen such an extavagant to own it, you had to be special.

Remember Mwalimu volunteered for his resignation and he was not under any pressure to do so. If he'd chose to he could have been the president till his death. Though he was a proud man, he was also a realist instead of publicly admitting the socialist ideas he had embraced for over twenty five years were unfruitful he chose to step down and allow the next president to change the course of the ship god bless him.

But at the time Sokoine was seen as his natural succesor by Tanznanians and we know how that dumb loved his Socialist ideas. rember at the time the citizens only thought on the propaganda that was fed to them by the media. Clever Mwalimu had to take him out so that me and you could fly out oneday and be educated and make up our own my minds based on our independent reasoning.

Stupid Masai Rot in Hell for wanting Tanzanians to queue just for sugar.
 
Last edited by a moderator:
wewe wacha ubishi kama ungeliona hilo shati la mzee acagoda chiledi lilivyokuwa limejaa damu ndio ungeelewa ninasema nini...
mimi nimeliona lakini kwa wakati huo nilikuwa mdogo na uwezo wangu wa kufikiria ulikuwa mdogo
kwa ajili ilikuwa inajulikana wazi kuwa nyerere anamaliza mda wake na kulikuwa na kampeni nani atamrithi

kuna hawa watu 4 watakuwa ndio wahusika wakuu
1. cleopa msuya
2.kawawa
3.sas
4. mwinyi

Si tu kulikuwa na kampeini nani atamrithi bali pia uadui mkubwa uliojengeka kati yake na wote waliotuhumiwa kuhusika na (ufisadi wa wakati ule) kwenda kinyume na matakwa ya Azimio la Arusha wakiwa viongozi chini ya JKN. Ukiondoa Na.4 hapo juu, wote walikuwa na uadui naye tena wa wazi hata Mwalimu alilijua hilo. Hao walituhumiwa na wengine walipekuliwa!

Hakika Sokoine alikuwa mwiba kwa wanafiki wa siasa ya ujamaa.

Rejea picha ya magari yaliyohusika kwenye hajali ile yakiwa bado eneo la tukio, Daily News ya siku hiyo.

Kwenye nyongeza ya kilichosemwa na Prof Shaba, Pata orodha ya majina ya escort team yake siku hiyo na yote yaliyojiri baada ya hajali utapata mwanga wa kilichosababisha hajali hii.

Kwenye sherehe moja huko kusini mwa Tanzania, Rais Samora Maschel alialikwa, kwenye hotuba yake aliwataka watanzania kuendelea kumchagua Nyerere kutokana na uongozi wake imara. Sokoine wakati anajibu hotuba ile alimwambia Samora, kuwa pamoja na ushauri wake, jukumu la kumchagua rais wa Tz lilikuwa ni la watz wenyewe.

Kumbuka kipindi hicho hali ya uchumi ilikuwa mbaya sana na Nyerere watu walishamchoka sana, kung'atuka kwake alisoma alama za nyakati.
 
Katika nafasi ya Mwinyi weka jina Jumbe. Mwinyi hakuwa karibu kabisa kwenye mpangilio wa urithi.


kabisa ,...mwinyi hakutegemea kabisa ...na ndio maana nyerere akamuweka awe rais zanziba akijuwa kwa upole wake hakuwa na presidential ambition...pia ondoa jina la SAS....,

mwinyi alikuja kubadilishwa mawazo na kina SHEIKH THABIT KOMBO....waliposikia nyerere amemuweka SAS waziri mkuu [wa kwanza kutoka znz-kinyume cha utaratibu ambapo waziri mkuu anatakiwa awe wa bara]....wakajuwa mwalimu anamuandaa SAS..,Sasa kule zanzibar waliapizana kuwa mtu yeyote ambaye kabla ya mapinduzi hakuwa afro hawezi kuwa rais...salim kabla ya mapinduzi alikuwa kwenye chama cha mrengo wa kushoto [kijamaa] cha UMMA party..kwenye umoja wa vijana....umma badaye waliungana na afro......lakini watu wa umma wameendelea kutengwa tangu hapo...hata watoto wao.

SASA Kina kombo na hassan nassor moyo ,kanali seif ,natepe na wenzake ....wakamjaza upepo mwinyi .....kuwa kwa kuwa kwenye mchakato atakuwa mwinyi,salim na kawawa....nyerere akimlenga salim.....wao wakaamua kumuambia mwalimu wazi kuwa wao wanamtaka mwinyi......[badaye mwinyi alimfanya salim waziri wa ulinzi na naibu waziri mkuu,chini ya warioba]...kabla ya uchaguzi wa 1990 ...salim alipendekezwa na mwinyi aende ADIS....yote hiyo ukiwa mkakati ili asiwepo...,1990..hata mwaka 1995..muda wake ADIS uliongezwa ..hakuweza kukatisha aje kugombea[kama mwalimu alivyotaka ...ikabidi karata imuangukie BEN]

mwaka 2005 ......mwalimu hakuwepo na salim hakuliweza jungu la MAPINDUZI DAIMA ....amabao waliamua kuliko SALIM bora muungano uvunjike....if zanzibar could put there weight behind salim...kikwete would not win..!!...Upemba ukaingia..but zanzibar lost there last opportunity ever to produce the union president!!
 
Behind the making of this death were:

1. Mustafa Nyang'anyi
2. Rashidi Mfaume Kawawa
3. Cleopa Msuya

These guys are now wondering how they can meet this guy, as he is waiting for them; the days are numbered!
 
Do you remember this:
First day at the court Dumisani Dube was required to plea guilty or not guilty if he was involved in reckless driving and other five counts on reckless driving and causing the death of Edward Moringe Sokoine. Dube pleaded no guilty and begged to tell the truth. The case was adjounered for 5 days.

After 5 days Dube without even being questioned pleaded guilty on all counts. He was on the same day sentenced to 5 years in Prison.

The truth is Mr. Dube never even stayed in a prison in Tanzania. He was sent to UK, where he stayed part of his life.

He is now back in South Africa!

From the above I believe he [Sokoine] was killed!!!

Yes,but why?

What I have gathered so far:

1.One side says:Msuya,Kawawa,SAS wanahusika kwa sababu walidhani yeye ndiye angemrithi mwalimu.Hawakutaka the maasai aukwae u-prez kutokana na chuki zao dhidi ya the maasai's war on wahujumu uchumi.

2.The other side says Mwl. aliona ujamaa umefail and so he made his mind to step down but wanted to get someone who could lead the country kwa mwelekeo mwingine.So,he had to do the maasai kwa kuwa alijua the maasai was soo into ujamaa than him and he was his obvious successor(watu walimpenda)!

Both 1&2 suggest that the maasi was killed.Who actually did it and why?
 
No need to insult the long dead, a distasteful choice of words... But your analysis is spot-on. Kina msuya could have never acted alone because Mwalimu's wrath would have left them in pieces.

Hii kitu ilikua kazi ya Julius for what he saw as the greater good. About his sainthood. I know sainthood is an improvised doctrine, more traditional than anything but prima facie, it would be wrong even for the catholic church whose reputation in the past 1000 years has been nothing less than contraversial on a cosmic scale, to name someone ambae alikuwa mchawi na ambae wanajua kaua kuwa katika 'nyumba ya mungu'..

This just reinforces the argument that faith is politicized these days, its better to have non and you might be in God's good faivours rather than being an open accomplist in blatent hypocrisy. Anywa regarding Sokoine ndio hivyo. He was unlucky lakini nae angetuvuruga tuu maana he was not a visionary, he was just another populist telling the masses wha they wanted to hear, regarless of the good intentions, I mean we all know intentions that dont turn into actions amount to nothing.

SO mzee J maybe did do the right thing. His wisdom in this might be argreeable.
 
Behind the making of this death were:

1. Mustafa Nyang'anyi
2. Rashidi Mfaume Kawawa
3. Cleopa Msuya

These guys are now wondering how they can meet this guy, as he is waiting for them; the days are numbered!
IO
I was wondering about Mustafa Nyang'anyi. What was his beef? Mbona Jumbe humweki kwenye hili kundi maana na yeye nilishasikia akitajwa tajwa?
 
Mbona Nyerere mnamuacha? kama aliuawa haiingii akilini Nyerere asijue kwani kipindi cha Mwalimu ndio kinahesabika kuwa na best UWT ever!

Hao akina Kawawa na Msuya mnaowapakazia hawakuwa na ubavu wa kufanya jambo kubwa kama hili bila ya knowledge ya Mwalimu.

Having saying that utaona hiyo mihoja yenu haina mpango ilikuwa ajali kama ajali nyingine tu acheni ku spin mambo
 
Back
Top Bottom