GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama asingekuwa mbinafsi kama mchezaji ninayemchukia kupita kiasi kwa sasa ndani ya Simba SC Sakho kutokana na utoto na upuuzi wake usiyobadilika, leo Okra alikuwa anatoa pasi kama tatu hivi za magoli.
Na kwa uwezo mkubwa na kipaji cha mwenye timu yake Clatous Chama, nina uhakika zote angefunga au hata kumuwekea mtu (hasa Phiri), na hii sare inayofurahiwa na Wachunba wa Wasudani isingekuwepo.
Tafadhali mrekebisheni upesi sana.