Tunamshukuru Okra ila aambiwe tu kuwa Derby ya Tanzania ni zaidi ya uchoyo/ubinafsi wake

Tunamshukuru Okra ila aambiwe tu kuwa Derby ya Tanzania ni zaidi ya uchoyo/ubinafsi wake

Mchezaji unafunga kagoli kamoja unavua shati unalambwa kadi ya njano na timu yako aishindi hii inaitwaje? Alijua mechi kamaliza na goli lake ndo spesho sana kuliko magoli yote duniani? Mbona Aziz ki kaweka freekik ya viwango lakini ata akuvua jezi? Uyo mchezaji wenu mwambieni aache utoto na kutaka sifa za kiboya mwambieni anapocheza na yanga awe na adabu kama mpira aujaisha asiwe kama mwehu ajue anakuwa anakutana na timu ya wababe wa dabi na sio ihefu wala dodoma jiji kwamba wamefunga wamemaliza mchezo
Sasa huyo ki avue jezi atuonyeshe mbavu zake changa
We nawe vipi
 
Hizo siku kila siku kuna mechi? Ujinga sana aisee kuwa na waandishi na wachambuzi wa kipumbavu hivi. Hapo ni mechi 6 tuu ila utopolo wanaoandika utashangaa tena na ndani kuna madroo ya kutosha sasa jiulize hao Yanga nao wamewafunga Simba? Kwanini wasiendeleze kuwafunga sasa.
Cry baby, he's just writing [emoji3]
 
Back
Top Bottom