PreGE2025 Tunamshukuru rais Samia Kwa uongozi Bora vijana tumetajirika na wananchi tunafuraha na wewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Introvert Music

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
2,044
Reaction score
2,831
Huyu ni rais Bora sana Africa nzima ndio maana oktoba nitaenda kumpigia kura sababu vijana Sasa tunapesa nyingi sababu ya uongozi Bora wa mama anaetujali raia wake

2025 tunaenda na mama Samia ingekua uwezo wangu ningempa miaka 50 mbele ya kuiongoza tunafuraha na mama tunakula Bata na mama Samia mitano tena CCM mbele Kwa mbele
 
Jinga moja hili. Siku ukianza kufuatiliwa usije kulia mpuuzi wewe
 
1000030756.jpg
 
Huyu ni rais Bora sana Africa nzima ndio maana oktoba nitaenda kumpigia kura sababu vijana Sasa tunapesa nyingi sababu ya uongozi Bora wa mama anaetujali raia wake

2025 tunaenda na mama Samia ingekua uwezo wangu ningempa miaka 50 mbele ya kuiongoza tunafuraha na mama tunakula Bata na mama Samia mitano tena CCM mbele Kwa mbele
Fedha haitaki kelele
 
Wengi tutampa kura za kishindo.
 
Bora kwako
Not our choice
Akajibu Ile hoja ya Dr Malisa mahakamani
 
Sasa sikia nikueleze. Wewe ni mpuuzi, hujui unalofanya hapa duniani na uwepo wako haujawahi kuwa na faida kwako ama kwa kizazi chako. Mjinga mmoja wew
Huyo ni chief au jamaa ameamua kujiita hivyo?
 
Huyu ni rais Bora sana Africa nzima ndio maana oktoba nitaenda kumpigia kura sababu vijana Sasa tunapesa nyingi sababu ya uongozi Bora wa mama anaetujali raia wake

2025 tunaenda na mama Samia ingekua uwezo wangu ningempa miaka 50 mbele ya kuiongoza tunafuraha na mama tunakula Bata na mama Samia mitano tena CCM mbele Kwa mbele
Chawa mwingine. Sijui kama hata atakusikia wala kukukumbuka. Kwanini mnapoteza muda kusifia visivyosifiwa na kupamba visivyopambika? Tafuteni shughuli za maana mfanye badala ya kuendekeza uchawa.
 
Huyu ni rais Bora sana Africa nzima ndio maana oktoba nitaenda kumpigia kura sababu vijana Sasa tunapesa nyingi sababu ya uongozi Bora wa mama anaetujali raia wake

2025 tunaenda na mama Samia ingekua uwezo wangu ningempa miaka 50 mbele ya kuiongoza tunafuraha na mama tunakula Bata na mama Samia mitano tena CCM mbele Kwa mbele
Chawa naona mnazidi kuwa wengi inchi hii...njaa kweli ni kali.
 
Back
Top Bottom