PreGE2025 Tunamshukuru rais Samia Kwa uongozi Bora vijana tumetajirika na wananchi tunafuraha na wewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu ni rais Bora sana Africa nzima ndio maana oktoba nitaenda kumpigia kura sababu vijana Sasa tunapesa nyingi sababu ya uongozi Bora wa mama anaetujali raia wake

2025 tunaenda na mama Samia ingekua uwezo wangu ningempa miaka 50 mbele ya kuiongoza tunafuraha na mama tunakula Bata na mama Samia mitano tena CCM mbele Kwa mbele
20250211_191743.jpg
 
Stupid Idiot huo ushamba wako peleka Facebook
 
Huyu ni rais Bora sana Africa nzima ndio maana oktoba nitaenda kumpigia kura sababu vijana Sasa tunapesa nyingi sababu ya uongozi Bora wa mama anaetujali raia wake

2025 tunaenda na mama Samia ingekua uwezo wangu ningempa miaka 50 mbele ya kuiongoza tunafuraha na mama tunakula Bata na mama Samia mitano tena CCM mbele Kwa mbele
Kawaachia mwanya wa kuuza unga sio
 
Never argue with stupid People. They will drag you down to their level and beat you with experience."
 
Ebu heshim watu wazima bhasi hasa wanawake ni Mama zako hao.
 
Back
Top Bottom