Tunamtaka Hersi ampe mshahara mzuri Mudathir Yahya

Wewe mkewe?
 
Hebu usituvuruge na usimvuruge Mudah...mlianza hivi hivi kwa FEI Toto!
Kaongea ukweli. Maslahi bora ni muhimu kwa mchezaji anapofanya vizuri. Unaboresha mkataba wake na maslahi yake. Kinyume na hapo unaacha mlango wa vishawishi wazi.
 
contribution kwa wazawa. sio kwa mchezaji. ata maliza mpira awe economical well.
Yaani hayo mambo unayaongelea mzee hata ukisema uyalete kwenye practical implementation of your own life, utaonekana kichekesho na one of the worst financial manager kwenye dunia hii. Kwanza unachokiongelea hapo sijui wazawa nini nini, unatengeneza classes, pili unahamasisha watu wasiheshimu mikataba, anajua akipambana kidogo anakuja kukubana umpe contribution, ukikosa hizo hela underperformance hizi hapa, Uongozi kazi sana, sio kama mnavyodhani.
 
Kaongea ukweli. Maslahi bora ni muhimu kwa mchezaji anapofanya vizuri. Unaboresha mkataba wake na maslahi yake. Kinyume na hapo unaacha mlango wa vishawishi wazi.
Kwani amekwambia maslahi yake sio bora..?
 
I heard ni 3m
Sasa 3M unaona ni ndogo..??
I know players wanaolipwa chini ya laki 5 kwenye league yetu. Nyie hamuitakii mema Yanga. Yeye mchezaji kama anaona ndogo asubiri muda wa ku renew mkataba ukifika atanye bargaining.
 
true. but he showed consistency. bila kelele nyingi. that's very important in a player. ameona life bila team ilivyo . pia anakiwango kizuri anaweza uzwa fresh kabisa. a great player. sema wampe hela. that's all I want.
 
Contribution si bonus zipo wanapewa, kesho akianza kucheza makida makida mtasema apunguziwe mshahara au..? Alipwe kulingana na mkataba
Mikataba yetu huwa ikizidi sana miaka 3. Mara nyingi ni miwili. Mchezaji anapokuwa kaonyesha kiwango ambacho ni zaidi ya matarajio hiyo ni asset inayopaswa kulindwa na ulinzi ni kupitia maboresho ya mkataba na mshahara. Hii inamuongezea thamani kwa vilabu vya nje kuliko usubiri bado miezi 3 mkataba uishe ndo uanze kukaa nae chini. Hapa unakuwa umeacha gap kubwa sana la vishawishi kutoka nje bila wewe kupata maslahi.
 
Sasa 3M unaona ni ndogo..??
I know players wanaolipwa chini ya laki 5 kwenye league yetu. Nyie hamuitakii mema Yanga. Yeye mchezaji kama anaona ndogo asubiri muda wa ku renew mkataba ukifika atanye bargaining.
he is a big player. afcon. cafcfl, cafcl, world cup qualifications. what else do you want. from him.
 
Kwani amekwambia maslahi yake sio bora..?
Kwanini unapatwa na hasira linapokuja suala la kusapoti mchezaji wa ndani kulipwa vizuri? Unawalipa wewe mshahara? Yaani mtu katoa mawazo mazuri tu kuwa mchezaji sababu ya kiwango chake atunzwe sababu ni asset wewe unakasirika.
 
Kwanini unapatwa na hasira linapokuja suala la kusapoti mchezaji wa ndani kulipwa vizuri? Unawalipa wewe mshahara?
Mimi Mwanachama mzee na ada nimelipia, alafu pia mimi ni kiongozi irl, kwahyo najua demerits za hicho mnachotaka kukitengeneza.
 
ampe tu kwasababu ni mtanzania mwenzetu pia.
 
Mimi Mwanachama mzee na ada nimelipia, alafu pia mimi ni kiongozi irl, kwahyo najua demerits za hicho mnachotaka kukitengeneza.
but he deserves it. sio kwa kitu kibaya. ila hard work must pay.
 
Mimi Mwanachama mzee na ada nimelipia, alafu pia mimi ni kiongozi irl, kwahyo najua demerits za hicho mnachotaka kukitengeneza.
Mchezaji bora anastahili mkataba bora na maslahi bora kwa usalama wa club yake. Wewe kama kiongozi hili hulitaki?
 
Wewe unavyoona Muda anaenda club gani ya nje sasa..?
Mnakuwa kama mpira wa Tanzania hamuujui bhn, hao wenzenu washaridhika na kucheza Kariakoo. 3M kwanza nyingi sana kwake, atulie acheze mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…