version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 841
- 2,004
ila hatujui sasahivi analipwaje ili kujenga hoja ya kwamba alipwe zaidi.I demand. suggestion is odd. huyu wa kwetu huyu. mpira una isha. apewe tu hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila hatujui sasahivi analipwaje ili kujenga hoja ya kwamba alipwe zaidi.I demand. suggestion is odd. huyu wa kwetu huyu. mpira una isha. apewe tu hela
Wewe mkewe?Mudathir Yahya: Nyota Inayong'ara wa Young Africans SC
here is why??
## Uwanjani: Uchezaji wa Kusisimua
Mudathir Yahya amekuwa akiwasha moto uwanjani. Uwezo wake wa kubadilisha mwelekeo, kuona vizuri uwanjani, na kudhibiti kiungo cha kati unamfanya kuwa mchezaji wa pekee. Kuanzia kuzuia pasi, kugawa mpira, hadi kuanzisha mashambulizi, Yahya anafanya kazi kwa bidii. Bidii yake na azma yake inaweka mfano kwa wenzake, na amekuwa nguzo katika kiungo cha Young Africans.
## Umuhimu kwa Timu
1. Mkufunzi wa Kiungo: Yahya anaongoza mchezo kutoka katikati ya uwanja. Ufanisi wake wa kutoa pasi na uwezo wake wa kusoma mchezo unamruhusu kudhibiti kasi ya mchezo. Anapokuwa uwanjani, Young Africans hufanya mashambulizi kwa urahisi.
2. Uongozi: Licha ya umri wake mdogo, Yahya anaonyesha uongozi. Anawasiliana vizuri, kuhamasisha wenzake, na kuwa kielelezo. Uwepo wake katika vyumba vya kubadilishia nguo unawapa wenzake imani.
3. Ujanja: Yahya anaweza kucheza nafasi mbalimbali katika kiungo cha kati. Awe kama kiungo wa kushambulia au kiungo wa kuzuia, anafanya vizuri. Ujanja wake unatoa mabadiliko ya kimbinu kwa timu.
## Wito wa Malipo Bora
Kutokana na jukumu lake muhimu, ni haki Mudathir Yahya apate malipo bora zaidi. Mchango wake haupimwi tu uwanjani, bali pia katika morali ya timu na matokeo ya mechi. Young Africans SC inapoelekea kwenye mafanikio ndani na nje ya nchi, kuwekeza katika wachezaji wake muhimu ni jambo la msingi.
Hitimisho
Safari ya Mudathir Yahya kutoka Jang'ombe hadi kuwa nyota katika Young Africans SC ni ushuhuda wa kipaji chake na juhudi zake. Tunatumai kuwa klabu itatambua thamani yake na kumlipa kwa haki. Baada ya yote, mchezaji wa kiwango chake anastahili zaidi ya pongezi; anastahili kutambuliwa kwa kiasi cha mshahara wake.
Acha ujinga ni ku improve local players salary scale. who are doing great. unawaza ngono. 🚮Wewe mkewe?
I heard ni 3mila hatujui sasahivi analipwaje ili kujenga hoja ya kwamba alipwe zaidi.
Kaongea ukweli. Maslahi bora ni muhimu kwa mchezaji anapofanya vizuri. Unaboresha mkataba wake na maslahi yake. Kinyume na hapo unaacha mlango wa vishawishi wazi.Hebu usituvuruge na usimvuruge Mudah...mlianza hivi hivi kwa FEI Toto!
Yaani hayo mambo unayaongelea mzee hata ukisema uyalete kwenye practical implementation of your own life, utaonekana kichekesho na one of the worst financial manager kwenye dunia hii. Kwanza unachokiongelea hapo sijui wazawa nini nini, unatengeneza classes, pili unahamasisha watu wasiheshimu mikataba, anajua akipambana kidogo anakuja kukubana umpe contribution, ukikosa hizo hela underperformance hizi hapa, Uongozi kazi sana, sio kama mnavyodhani.contribution kwa wazawa. sio kwa mchezaji. ata maliza mpira awe economical well.
Kwani amekwambia maslahi yake sio bora..?Kaongea ukweli. Maslahi bora ni muhimu kwa mchezaji anapofanya vizuri. Unaboresha mkataba wake na maslahi yake. Kinyume na hapo unaacha mlango wa vishawishi wazi.
Sasa 3M unaona ni ndogo..??I heard ni 3m
true. but he showed consistency. bila kelele nyingi. that's very important in a player. ameona life bila team ilivyo . pia anakiwango kizuri anaweza uzwa fresh kabisa. a great player. sema wampe hela. that's all I want.Yaani hayo mambo unayaongelea mzee hata ukisema uyalete kwenye practical implementation of your own life, utaonekana kichekesho na one of the worst financial manager kwenye dunia hii. Kwanza unachokiongelea hapo sijui wazawa nini nini, unatengeneza classes, pili unahamasisha watu wasiheshimu mikataba, anajua akipambana kidogo anakuja kukubana umpe contribution, ukikosa hizo hela underperformance hizi hapa, Uongozi kazi sana, sio kama mnavyodhani.
I heard ni 3 mKwani amekwambia maslahi yake sio bora..?
Mikataba yetu huwa ikizidi sana miaka 3. Mara nyingi ni miwili. Mchezaji anapokuwa kaonyesha kiwango ambacho ni zaidi ya matarajio hiyo ni asset inayopaswa kulindwa na ulinzi ni kupitia maboresho ya mkataba na mshahara. Hii inamuongezea thamani kwa vilabu vya nje kuliko usubiri bado miezi 3 mkataba uishe ndo uanze kukaa nae chini. Hapa unakuwa umeacha gap kubwa sana la vishawishi kutoka nje bila wewe kupata maslahi.Contribution si bonus zipo wanapewa, kesho akianza kucheza makida makida mtasema apunguziwe mshahara au..? Alipwe kulingana na mkataba
he is a big player. afcon. cafcfl, cafcl, world cup qualifications. what else do you want. from him.Sasa 3M unaona ni ndogo..??
I know players wanaolipwa chini ya laki 5 kwenye league yetu. Nyie hamuitakii mema Yanga. Yeye mchezaji kama anaona ndogo asubiri muda wa ku renew mkataba ukifika atanye bargaining.
Harry Redknapp: "I signed a player once. Top player. Fantastic player. We'd done the deal, then he wanted a goal bonus. He was a striker. I said 'What do you think we're paying you 50 grand a week for, to miss them?'"
View: https://twitter.com/i/status/1091814342700470273
Kwanini unapatwa na hasira linapokuja suala la kusapoti mchezaji wa ndani kulipwa vizuri? Unawalipa wewe mshahara? Yaani mtu katoa mawazo mazuri tu kuwa mchezaji sababu ya kiwango chake atunzwe sababu ni asset wewe unakasirika.Kwani amekwambia maslahi yake sio bora..?
Mimi Mwanachama mzee na ada nimelipia, alafu pia mimi ni kiongozi irl, kwahyo najua demerits za hicho mnachotaka kukitengeneza.Kwanini unapatwa na hasira linapokuja suala la kusapoti mchezaji wa ndani kulipwa vizuri? Unawalipa wewe mshahara?
ampe tu kwasababu ni mtanzania mwenzetu pia.Mudathir Yahya: Nyota Inayong'ara wa Young Africans SC
here is why??
## Uwanjani: Uchezaji wa Kusisimua
Mudathir Yahya amekuwa akiwasha moto uwanjani. Uwezo wake wa kubadilisha mwelekeo, kuona vizuri uwanjani, na kudhibiti kiungo cha kati unamfanya kuwa mchezaji wa pekee. Kuanzia kuzuia pasi, kugawa mpira, hadi kuanzisha mashambulizi, Yahya anafanya kazi kwa bidii. Bidii yake na azma yake inaweka mfano kwa wenzake, na amekuwa nguzo katika kiungo cha Young Africans.
## Umuhimu kwa Timu
1. Mkufunzi wa Kiungo: Yahya anaongoza mchezo kutoka katikati ya uwanja. Ufanisi wake wa kutoa pasi na uwezo wake wa kusoma mchezo unamruhusu kudhibiti kasi ya mchezo. Anapokuwa uwanjani, Young Africans hufanya mashambulizi kwa urahisi.
2. Uongozi: Licha ya umri wake mdogo, Yahya anaonyesha uongozi. Anawasiliana vizuri, kuhamasisha wenzake, na kuwa kielelezo. Uwepo wake katika vyumba vya kubadilishia nguo unawapa wenzake imani.
3. Ujanja: Yahya anaweza kucheza nafasi mbalimbali katika kiungo cha kati. Awe kama kiungo wa kushambulia au kiungo wa kuzuia, anafanya vizuri. Ujanja wake unatoa mabadiliko ya kimbinu kwa timu.
## Wito wa Malipo Bora
Kutokana na jukumu lake muhimu, ni haki Mudathir Yahya apate malipo bora zaidi. Mchango wake haupimwi tu uwanjani, bali pia katika morali ya timu na matokeo ya mechi. Young Africans SC inapoelekea kwenye mafanikio ndani na nje ya nchi, kuwekeza katika wachezaji wake muhimu ni jambo la msingi.
Hitimisho
Safari ya Mudathir Yahya kutoka Jang'ombe hadi kuwa nyota katika Young Africans SC ni ushuhuda wa kipaji chake na juhudi zake. Tunatumai kuwa klabu itatambua thamani yake na kumlipa kwa haki. Baada ya yote, mchezaji wa kiwango chake anastahili zaidi ya pongezi; anastahili kutambuliwa kwa kiasi cha mshahara wake.
but he deserves it. sio kwa kitu kibaya. ila hard work must pay.Mimi Mwanachama mzee na ada nimelipia, alafu pia mimi ni kiongozi irl, kwahyo najua demerits za hicho mnachotaka kukitengeneza.
Mchezaji bora anastahili mkataba bora na maslahi bora kwa usalama wa club yake. Wewe kama kiongozi hili hulitaki?Mimi Mwanachama mzee na ada nimelipia, alafu pia mimi ni kiongozi irl, kwahyo najua demerits za hicho mnachotaka kukitengeneza.
Wewe unavyoona Muda anaenda club gani ya nje sasa..?Mikataba yetu huwa ikizidi sana miaka 3. Mara nyingi ni miwili. Mchezaji anapokuwa kaonyesha kiwango ambacho ni zaidi ya matarajio hiyo ni asset inayopaswa kulindwa na ulinzi ni kupitia maboresho ya mkataba na mshahara. Hii inamuongezea thamani kwa vilabu vya nje kuliko usubiri bado miezi 3 mkataba uishe ndo uanze kukaa nae chini. Hapa unakuwa umeacha gap kubwa sana la vishawishi kutoka nje bila wewe kupata maslahi.
Ndo kazi ya bonus mzee. Hard work pays na i am sure remunerations zao za bonus wanalipwa vizuri kabisa.but he deserves it. sio kwa kitu kibaya. ila hard work must pay.