Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

Weeee who told u?? Wakat Joh anahangaika kuomba a-record Chid Benz alkuwa tayar ana track zake kadhaa

Katafte goma ya hawapendi kuniona kwenye Tv ya John tena hiyo ngoma imepigwa sana kwenye media au ulikua ujaja mjini 2004 hiyo
 
Kumbe wengi tumeliona hili, Joh makini kapotea sana, mashahiri Uchwaram
Si yeye tu, hata Roma nae anaiacha reli.

Nay wa mitego nae haeleweki, Fid q ndo kabisaaa kawa boya
Bongo hip hop inazidi kupwayaa.

Bora niki mbishi na One Incredible na Nash MC na pide MC joh anazingua ngoma ya mwisho ya John karibu tena angalau
 
Siku hizi hata stamina anajitahidi
 
Eti”Nikiona kibinda mi nadinda nakitia mimba”ahahaaahaahhaahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama kubadilika si kwa ujinga huo.Ptuh.
Haloo
nmecheka hatariiiiii
 
Jay Moe naye namuona anaanza kuja taratiibu ndani ya vibinda na muda si mrefu ataanza kudinda.
Huyo nilimuona kitambo tu anapotea! Tangu Juma Mchopanga atoe FAMOUS, sikumbuki ngoma yoyote ya maana kutoka kwake!
 
Alikataa haandikiwi mashairi na Mdogo wake sasa na ajiandikie mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…