Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

la ..kubadilika ni muhim...

Kutokana na masikio ya mashbiki yanataka nini....

Wewe hakubambi ila wengine ndo anawakamata sasa.

Kizazi hiki cha leo ktk burudani kinataka vitu rojorojo..
 
Eti”Nikiona kibinda mi nadinda nakitia mimba”ahahaaahaahhaahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama kubadilika si kwa ujinga huo.Ptuh.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ukimbetua nambenta. Hunitii sikutii nakutia adabu! Ndo mashairi yake ya sasa!
 
Leila ni ya mwaka gani? na aliyoimba na mwasiti? Joh kaanza kuimba kitambo ila 2006 chochote ilimpa shavu.
Mwasiti na Leila nadhani ni 2007 au 2008 chidi alitokea na nyimbo moja inaitwa sitopenda mwingine Zaidi yako kuhusu joe kwa kweli mi nilianza kumsikia na chochote popote
 
Kumbe wengi tumeliona hili, Joh makini kapotea sana, mashahiri Uchwaram
Si yeye tu, hata Roma nae anaiacha reli.

Nay wa mitego nae haeleweki, Fid q ndo kabisaaa kawa boya
Bongo hip hop inazidi kupwayaa.
 
Duh kwl nilifikili ni Mimi tu kumbe tupo wengi kiukweli hiphop yabongo wamwachie fid tu wengine ni upumbavu tu Ku switch sio kosa but kupotea kwa kubadili mwelekeo we ukidhani ni kutafuta soko ndo kupotea zaidi.
Joh alikuwa my icon bt the way ana move now atapotea mapema sana ht km hatapotea legacy yake itakuwa cheap sana ukilinganisha na wasanii waliopotea km chid Benz nasema hivo kwa sababu moja tu hiphp ni muziki WA movement pia wenye utiifu mkubwa mno kihisia na kiuwezo unapoanza kuloose ni wachache sana wanao ona .
Joh kipind kile alikuwa so focused sana cohistance yake kwenye lines,rhythm NA flow na ideas sikutegemea tutakuja kuwa na joh WA kuimba "nikiona kimbinda me nadinda sijui nakitia mimba'
"Kata kata kata leta
Yan ovyo kabisa halafu cha kushangaza tittle za nyimbo mpk matukio flani yatokee ndo waimbe yan wamaprove kabisa Luna lack of creativity in hip hop nowadays .
Anyway tusiseme BT I miss that joh bhana wa sasa hv mhhhh aniache kidogo.....
[HASHTAG]#hphpScientist[/HASHTAG]
 
Hahaaa joh ataree😉😉 wananita Mzee wa vibunda na mbele zikivimba nazitoa mimba😵😵Mke wangu kila siku namtoa mapovu 😵kila nikiona dem mkali me narukia😵😳Aisee 🙄Weusiiii nomaa ,naliemusha dudeee😡😡 matusi mwanzo mwisho...tatizo ukiimba mambo ya maana apa bongo unapotea kwenye map😵mwangalie kara,Roma,😵 ukiimba upuuzi ndo unatokaa
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ukimbetua nambenta. Hunitii sikutii nakutia adabu! Ndo mashairi yake ya sasa!

Siku hizi Joe Brain yake inatoa maneno ambayo hata Alikiba na Diamond wanaona haya kuyaandika.Hata kama anaimba ki-Alikiba issue ni kuwa na mashairi yanayoendana na heshima yake.Nitarudi mkuu maana naona kuna kibinda kinapita hapa kimeharibu hali ya hewa.[emoji120]
 
Hahaaa joh ataree😉😉 wananita Mzee wa vibunda na mbele zikivimba nazitoa mimba😵😵Mke wangu kila siku namtoa mapovu 😵kila nikiona dem mkali me narukia😵😳Aisee 🙄Weusiiii nomaa ,naliemusha dudeee😡😡 matusi mwanzo mwisho...tatizo ukiimba mambo ya maana apa bongo unapotea kwenye map😵mwangalie kara,Roma,😵 ukiimba upuuzi ndo unatokaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Joh Makuni...
 
Duh kwl nilifikili ni Mimi tu kumbe tupo wengi kiukweli hiphop yabongo wamwachie fid tu wengine ni upumbavu tu Ku switch sio kosa but kupotea kwa kubadili mwelekeo we ukidhani ni kutafuta soko ndo kupotea zaidi.
Joh alikuwa my icon bt the way ana move now atapotea mapema sana ht km hatapotea legacy yake itakuwa cheap sana ukilinganisha na wasanii waliopotea km chid Benz nasema hivo kwa sababu moja tu hiphp ni muziki WA movement pia wenye utiifu mkubwa mno kihisia na kiuwezo unapoanza kuloose ni wachache sana wanao ona .
Joh kipind kile alikuwa so focused sana cohistance yake kwenye lines,rhythm NA flow na ideas sikutegemea tutakuja kuwa na joh WA kuimba "nikiona kimbinda me nadinda sijui nakitia mimba'
"Kata kata kata leta
Yan ovyo kabisa halafu cha kushangaza tittle za nyimbo mpk matukio flani yatokee ndo waimbe yan wamaprove kabisa Luna lack of creativity in hip hop nowadays .
Anyway tusiseme BT I miss that joh bhana wa sasa hv mhhhh aniache kidogo.....
[HASHTAG]#hphpScientist[/HASHTAG]

Kale Kamsemo ka watu kuwa anaandikwa naanza kuisikia harufu yake.
 
Back
Top Bottom