Jamani mnajuwa tunaweza kufunga macho nakuwa watu tunapenda kutukuza viongozi nakudharau uhalisia wa uku chini kwa kuwa na agenda binafsi ambayo mwisho wake waweza kuwa mbaya kwa chama na taifa kuliko kifo cha hayati Joseph Pombe Magufuli.
Watanzania huku chini wenyewe kwa wenyewe kwenye vikundi pasipo chakachua report ya siri ya usala wa Taifa kuhusu siasa yani Mh Rais watu hawapo na yeye yani watanzania wachache sana wana amini anapo tupeleka ndiko.
Nahili linasababishwa na hali ya maisha imekuwa ngumu kutokana na kupanda kwa bei ya vitu na hili lina wagusa maraia wa chini kuliko raia wa juu hii imesababishwa na ubadilikaji wa ghafla wa physical and monetary policy ilio kuwa kipindi cha hayati JPM.
Ukiangalia kwa haraka hizi sera za sasa utaona zina wa saidia matajiri kuwa matajiri na masikini kuwa masikini. Hakuna nia ya dhati kwa utawala huu kumkwamua mtu wa chini. Ila kuna kula kwa urefu wa kamba yako na kutumia pesa. Ukiangalia kwa undani utagunduwa kitu walikifanya baada ya JPM kufariki walikuja na sera ya ku spend yes hii ilikuwa na nia njema kwa serikali kwamba ukikusanya lazima utumie na ukitumia maana yake una ongeza PP ktk soko jambo ambalo kweli ndio ilikuwa issue kipindi cha Mzee wetu.
Shida imekuja pale watu wameamua serikali kutumia ila pesa nyingi ina enda kwa matajiri while masikini wa chini haoni thamani ya huwo mzunguko bad enough some very high leader there inaonyesha kwa kuona utam wa hii mechanism yaku pampu pesa kwenye mzunguko wana mwambia Mkuu asisikilize kelele yeye asonge mbele. Mimi sina shida kwa hilo ila kwangu naona such physical measure haimpi mtu wa chini kula na kupata utam wa nationa cake. Why wanaopata pesa ya serikali kwa sasa ni group ndogo sana yenye access kwenye hichi chungu bad enough hawa jamaa ni wale wale wa zamani na utawasikia kwa majina na hata ile safari ya royal tour ambayo uwenda watu wana anza kuisahau, utasikia walio fadhili matajiri but tuombe list ya hao matajiri uwone kama sio wale wale wala cake na sisi waokota makombo. Na ndio maana kumekuwa na kelele za hapa na pale kwa sababu pamoja na royal tour kuwa na nia njema kwa ukuwaji wa uchumi nyuma ina watu ambao sisi Raia ambao ndio tunamuweka Rais madarakani hatuwajuwi na hatujuwi pesa hiyo wanaipataje na tusifumbe macho hichi pia nikitisho kwa usalama wa uchumi wetu maaana huwezi kusimama na kuwadai kodi watu wamechangia shughuli ya Rais maana yake wamejisogeza kwenye meza kuu na zile other security measures zinakuwa paralyzed yes Huwezi sema Kamishina akipeleka list ya wa kwepa kodi kwa Rais alafu Rais atafanya jambo lolote kwa walio wandani wake tusio wajuwa ambao wamechangia safari yake. Kiufupi hata hiyo tume ya maadili imekuwa paralyzed. Kama hamjuwi huko Marekani na mataifa yapo serious na kiti cha Rais huwezi peleka zawadi au Rais akapokea zawadi yako au changizo ni mwiko na ukifanya mchezo unaondolewa kwa katiba zao.
Well kwangu mimi sidhani Kwa taifa kama TZ utapotezea watu wa chini na kufukuzana nao mtaani. Big no mtu alie na njaa siku zote hujiandaa kwa lolote na kamwe hakuna sheria au mahakama au bunduki inaweza kumzuwia. Angalieni pale kisutu, angalieni kongo, angalie soko la mchinga mmechoma na kuchoma ila jamaa wapo.. mnafukuzana nao ila kila siku wanajipanga jiulizeni na mjuwe tabaka la chini nilakuogopa kuliko marajiri.
Hayati JPM alikuwa smart
Nitaendelea