Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Inafahamika na wengi kwamba, baada ya ile kauli ya kula Kwa urefu wa kamba! Ndiyo haswaa imewakosha majangili wa ccm na wewe ukiwamo,Kuwa Rais haihitaji kupendwa ila kinachotakiwa ni ku deliver..
Nyerere aliwahi waambia wajinga kama wewe kwamba kama unampenda mtu nenda kanywe nae chai sebuleni kwako..
Na mimi nakwambia wewe kama unapendwa nenda katege buttocks kwa unaempenda ..
Mwisho mbona humtaji anaependwa?
Mnamponza mwenzenu, hammumwambii ukweli kwamba, 2025 tutakuwa na chuguo la watu wengi