Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

Jamani mnajuwa tunaweza kufunga macho nakuwa watu tunapenda kutukuza viongozi nakudharau uhalisia wa uku chini kwa kuwa na agenda binafsi ambayo mwisho wake waweza kuwa mbaya kwa chama na taifa kuliko kifo cha hayati Joseph Pombe Magufuli.

Watanzania huku chini wenyewe kwa wenyewe kwenye vikundi pasipo chakachua report ya siri ya usala wa Taifa kuhusu siasa yani Mh Rais watu hawapo na yeye yani watanzania wachache sana wana amini anapo tupeleka ndiko.

Nahili linasababishwa na hali ya maisha imekuwa ngumu kutokana na kupanda kwa bei ya vitu na hili lina wagusa maraia wa chini kuliko raia wa juu hii imesababishwa na ubadilikaji wa ghafla wa physical and monetary policy ilio kuwa kipindi cha hayati JPM.

Ukiangalia kwa haraka hizi sera za sasa utaona zina wa saidia matajiri kuwa matajiri na masikini kuwa masikini.
Nitaendelea
Huyu rais mwenyewe hajui anataka kwenda wapi.

Leo nasoma wananunua midege mingine kwa hela nyingi, hapo hapo rais anasema biashara ya usafiri wa anga ni ngumu.

Sasa kama anajua biashara ya usafiri wa anga ni ngumu na shirikq linapata hasara sana, kwa nini anaongeza kununua ndege?

Mama yupo moyoni mwangu
Na akigombea 2025 kura yangu anayo...
 
Mkuu usiingize Siasa kwenye uchumi, monetary policy ipi imebadilika ghafla? Kipindi Cha 2020-21 JPM ndio alitoa mkopo wa Trillion 1 kwa mabenki yaani Trillion nzima iliingizwa kwenye mzunguko..... Funny enough ndio alishusha bank rate, reserve requirement na masharti ya agency banking, M Pesa Ili kuongeza mzunguko wa pesa. So linapokuja suala la monetary policy Wala hazikubadilika mwaka 2021-22!!

Kingine Mfumuko wa bei ni kutokana na vita ya Ukraine kiufupi mfumuko ni dunia nzima lakini vile vile kukosekana ubunifu serikalini wao wanajua tozo tu na makodi wanashindwa kubuni vyanzo vipya.

Ilipaswa wakate matumizi yasiyo ya lazima ikiwezekana kususpend Miradi isiyo na priority Ili hiyo pesa iwekwe kwenye kusubsidize Bei za vyakula Ili gharama ya maisha ishuke.

All in all wakulaumu sio Samia tu ni CCM nzima kuanzia bunge linalopitisha matozo na baraza la mawaziri linalofanya kazi kwa mazoea tu. Kuna wakati unatamani hata baraza la mawaziri ukodishe nchi za wenzetu wafanye consultancy ya miezi 6 pengine tunaweza ona matokeo chanya!!
Mzee unajitahidi sana kujieleza [emoji23]
 
Mkuu
Duru na ramli za humu jamvini
Zinaonyesha eti hafiki!
Eti namba Moja anapofariki madarakani!
Namba mbili anarithi lakini anakuwa chini ya uangalizi wa mabaka mabaka KWA miaka miwili
Kama anatosha anaendelea

Kama hatoshi unapewa hata wewe ujaribu Bahati yako
Ni kwa mujibu wa katiba Hii hii eti!
TUSUBIRI
Ilitokea Marekani itatokea na huku!by jamaaa yetu wa mafumbo magumu!!!
Kama ndivyo, mbona ameshafeli kitambo, wanasubiri nini kimpokea ili kuokoa jahazi?
Je, wanasubiri mpaka jahazi lizame?
 
Gharama za maisha mbona kitu cha kawaida tu. Fanya kwzinuweze kuzimudu acha kulalamika.

Acha kuwa mjinga we chalii! Yani unasema garama za kupanda kwa maisha ni kawaida wakati hata kula yako yenyewe huwelewi unakula nini?

Unachukulia nalalamika mimi naongea uwalisia wa maisha huku mtaani sijataja mtu hapa.... usitake kuleta ufahari kwenye mambo makubwa yakuumiza wananchi wengi!!! Wewe una nini chakukufanya ujione umerizika?
 
Kwa mkono wa chuma atakuwa ila kama ccm wakisema waangalie otherside ya chama SSH hatuendelea baada ya 2025. Labda kama ccm wamechoka na wanataka wagawane kuni na moto hapo sawa.
CCM ilishakufa tangu 2010 .
Ni nguvu ya wezi na wanyonyaji walioshika Dola ndio wanatumia nguvu kubwa mana Wanahofia mabadiliko.
Matajiri na wenye madaraka siku zote Wanahofia changes.

Hivi CCM ikimtoa SSH itapata wapi mgombea ambaye anaweza kushinda bila dhulma na kutumia Bunduki.

Kidogo Kacm majaliwa ndio angalau.
Wengine wote ni wezi na Wanyanganyi. Mwacheni Mamá Yetu atuongoze asipangiwe kwani hata yeye Akiamua kutumia Dola kubaki kwenye Dola hakuna Wa kumtoa madarakani.
 
Wewe unajuwa nini zaidi ya kuwa fanatic wa marehemu Mwendazake? Unaongelea mioyo ya watanzania, uliingia lini ukaisoma?

Kama umepigika maisha baada ya Mwendazake nenda tu ukazikwe naye Chato

Siendi kuzikwa naye ila muda ndio kipimo. Wala usiumie mwana kwa 2000
 
Mkuu usiingize Siasa kwenye uchumi, monetary policy ipi imebadilika ghafla? Kipindi Cha 2020-21 JPM ndio alitoa mkopo wa Trillion 1 kwa mabenki yaani Trillion nzima iliingizwa kwenye mzunguko..... Funny enough ndio alishusha bank rate, reserve requirement na masharti ya agency banking, M Pesa Ili kuongeza mzunguko wa pesa. So linapokuja suala la monetary policy Wala hazikubadilika mwaka 2021-22!!

Kingine Mfumuko wa bei ni kutokana na vita ya Ukraine kiufupi mfumuko ni dunia nzima lakini vile vile kukosekana ubunifu serikalini wao wanajua tozo tu na makodi wanashindwa kubuni vyanzo vipya.

Ilipaswa wakate matumizi yasiyo ya lazima ikiwezekana kususpend Miradi isiyo na priority Ili hiyo pesa iwekwe kwenye kusubsidize Bei za vyakula Ili gharama ya maisha ishuke.

All in all wakulaumu sio Samia tu ni CCM nzima kuanzia bunge linalopitisha matozo na baraza la mawaziri linalofanya kazi kwa mazoea tu. Kuna wakati unatamani hata baraza la mawaziri ukodishe nchi za wenzetu wafanye consultancy ya miezi 6 pengine tunaweza ona matokeo chanya!!
Unaongea upande mmoja wa coins ukasahau upande wa pili on issue of monetary policy mme faile big time my dear. Huwezi ukashusha ghafla rates kwa kudhania uta pampu pesa kwenye uchumi pasipo kuzingatia uwiano wa kiuchumi base on sector wisely. Umeshusha rates while watu walisha choka na pp ipo down kwa kada fulani pasipo kuzingania ukuwaji wa uchumi and now ye see the result inflation imekuwa kwa kiwango cha kutisha jambo JPM aliona na akalizuwia. Yes kuna makosa walifanya ila kama watu wasinge ongoza kwa visasi na kutaka kumuonyesha hakufanya jema basi tusinge fika hapa.
Njoo kwenye physical policy mmepandisha mishahara na kupush pesa kwa matajiri while mkikamua masikini kwenye mitandao na kile kinatokea kila mtu anaona sio cha kawaida vitu vimepanda at very high cost while kipato cha mtu binafsi nikidogo.

Hili swala vita ya Ukraine ndio swala linapandisha gharama samahani naomba kusema sii kweli yes nanitasema why nilazima tukumbuke sisi kama taifa nilazima kama kweli tuna tegemea Ukraine au Russian federation tuonyeshwe. Nitawapa mfano. Russian federation wana gas na mafuta na sio taifa la kwanza kwa uzalishaji wa mafuta kama mlikuwa hamjuwi. Pili hakuna uhusiano wowote unaonyesha taifa letu linanunua bidha kutoka Russian federation jambo la tatu Ukraine ni mzalishaji mkubwa wa ngano duniani ila pia naomba tukumbuke sisi Tz pia tunazalisha ngano kwa wingi na pia kwa data nilizonazo sisi tunanunua ngano toka SA na hili nijambo hata serikali imekuwa ikiwa adviced haya makampuni ya bia yanunue ngano yetu which means tuna ngano ya ziada. Na kww muktadha huwo tungependa kujuwa wapi serikali yetu imekuwa affected na hii vita.
 
. Yes kuna makosa walifanya ila kama watu wasinge ongoza kwa visasi na kutaka kumuonyesha hakufanya jema basi tusinge fika hapa.
Njoo kwenye physical policy mmepandisha mishahara na kupush pesa kwa matajiri 2qchache
Umekwishakubali kuwa kuna makosa walifanya, ishia hapohapo. Kazi ya kurekebisha makosa ni ya wengine siyo nyinyi tena akina Sukuma Gang!!

Albert Einstein alisema " We can't solve problems using the same philosophy that created them".

Kwa hukutaka Samia asipandishe mishahara kama yule shetani wenu wa Chato? You are writing utter nonsense
 
Yaan mi nikishaona mtu akisema mfumuko wa bei ni kutokana na vita ya ukraine naacha kumsikiliza naona kama hana akili sawa sawa!!..
Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 za africa ambapo mafuta n ghari zaid na ziko nchi 54
hyo vita inapiganiwa tz?
Yani sio hivyo tu kuna nchi nyingi za ulaya zipo karibu kabsa na Ukraine ila hazina huo mfumuko wa bei ila sasa Tanzania tupo kilometers za kutosha mbalii ila mfumuko ndio unatukuta. Hii haileti maana kabisaa
 
Siku tutasikia mfumko wa bei kisa marekani wamefika mars.
 
Hizo nchi zinategemea ku import Kila kitu?? Kwenye biashara kuna kitu kinaitwa speculation watu wanaondoa fedha kwenye masoko ya mitaji wakihofia vita itakua kubwa, watu wanaficha bidhaa wakihofia shortage ka tu ilivokua kipindi Cha Covid 19 so issue sio vita ila issue ni panic kwenye soko la dunia ndio lina drive Bei juu.

Mfano Tanzania hatukua na lockdown ila mbona uchumi uliathirika na Covid 19? Sababu hiyo hiyo, na ukizingatia nchi yetu inategemea imports mpaka za toothpick Ina maana Bei zikipanda kwenye soko la dunia basi lazima tuathirike.
 
Siku tutasikia mfumko wa bei kisa marekani wamefika mars.
Yes uchumi wa dunia unategemeana hasa sisi ambao hatuzalishi wenyewe Ina maana Bei ikibadilika na huku inatuathiri. Dhahabu ilipoporomoka huko duniani hata Tz mapato yakashuka yamekuja kupanda 2018 hapo.

Wasiopata shida ni wale wenye uwezo wa kuzalisha ndani (Value Creation) ila tunategemea imports tumekwishaa unless tuwe na foreign currency reserve kubwa sana kuweza kusustain miezi kadhaa..
 
Well kwangu mimi sidhani Kwa taifa kama TZ utapotezea watu wa chini na kufukuzana nao mtaani. Big no mtu alie na njaa siku zote hujiandaa kwa lolote na kamwe hakuna sheria au mahakama au bunduki inaweza kumzuwia.
Huwafahamu Watz wewe.
 
Tatizo la JPM ni ukatili wake tu. Yaaaaaani Lissu kwa mdomo wake tu akaona anaongea sana, hafai kuwepo.

Watu kwenye viroba, that was devilish
 
Back
Top Bottom