Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Huyu rais mwenyewe hajui anataka kwenda wapi.Jamani mnajuwa tunaweza kufunga macho nakuwa watu tunapenda kutukuza viongozi nakudharau uhalisia wa uku chini kwa kuwa na agenda binafsi ambayo mwisho wake waweza kuwa mbaya kwa chama na taifa kuliko kifo cha hayati Joseph Pombe Magufuli.
Watanzania huku chini wenyewe kwa wenyewe kwenye vikundi pasipo chakachua report ya siri ya usala wa Taifa kuhusu siasa yani Mh Rais watu hawapo na yeye yani watanzania wachache sana wana amini anapo tupeleka ndiko.
Nahili linasababishwa na hali ya maisha imekuwa ngumu kutokana na kupanda kwa bei ya vitu na hili lina wagusa maraia wa chini kuliko raia wa juu hii imesababishwa na ubadilikaji wa ghafla wa physical and monetary policy ilio kuwa kipindi cha hayati JPM.
Ukiangalia kwa haraka hizi sera za sasa utaona zina wa saidia matajiri kuwa matajiri na masikini kuwa masikini.
Nitaendelea
Leo nasoma wananunua midege mingine kwa hela nyingi, hapo hapo rais anasema biashara ya usafiri wa anga ni ngumu.
Sasa kama anajua biashara ya usafiri wa anga ni ngumu na shirikq linapata hasara sana, kwa nini anaongeza kununua ndege?
Tanzania to spend Sh468 billion ($200 million) on five new ATCL planes
Tanzania will spend Sh468 billion to buy new purchase of new aircraft for Air Tanzania Company Limited (ATCL) in the coming financial year.