Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,728
- 4,817
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NgojA tupige hela zaoHapa hakuna kumzuia mtu kisa corona, hujasikia kuna mechi ya mamelody, na warabu wanakuja kucheza hapa?waarabu wameogopa virusi vipya vya south!!wameomba mechi ichezwe TZ?Na wamekubaliwa?!!hapa hata kupima ni geresha tu,
Kwani mkono kwenda kinywani haujaandikiwa ?Kama uliandikiwa na kupangiwa utapata Corona hata ufanyejee
Bora mkono unakwenda kinywani na unaqunyer ni jambo jema na la kumshukuru Mungu.
Mna vituko nyinyi😆😆😆Kwani mkono kwenda kinywani haujaandikiwa ?
Kwanini usilale tu chakula kiingie by diffusion after all (usipokula) umeandikiwa ila kama umeandikiwa utakula (hata usile) si utakula tu ?
Au?
Wewe ni mpumbavuKama uliandikiwa na kupangiwa utapata Corona hata ufanyejee
Bora mkono unakwenda kinywani na unaqunyer ni jambo jema na la kumshukuru Mungu.
Corona ipo kila mahali, hata Tz ipo, wakija au wasije, hawaongezi wala kupunguza chochote katika idadi ya wagonjwa, walete mapesa hayo.Imani inaweza kutoa matokeo chanya lakini papo hapo imani inaweza kuvunja matokeo uliyoyapata.
Jana waislamu leo wasabato na baadaye ni mchanganyiko wa makanisa kuiombea nchi dhidi ya janga la corona, unadhani Mungu anaweza kuponya taifa ingali lipo wazi?
Hapa tunacheza na imani, imani iliyonenwa kwenye misahafu haiwezi kutokea wakati huu ambapo mtu anafanya maasi alafu anamtaja Mungu, hii haiwezekani hasirani.
Makanisani waumini wamekuwa bendera fuata upepo, wanamsikiliza sheikh, mchungaji hama askofu akitoa kauli ya uzima/kuchukua hatua stahiki za kujikinga na corona kesho wanamsikia baba mwenye nyumba anasema achana na hizo kauli za kiongozi wako wa dini.
Hali inazidi kuwa mbaya; moja ya marumbano haya hayawezi kuleta majibu chanya zaidi ya kuvunja imani waliyonayo wanao ongozwa.
Hili taifa kwa sasa linajizolea sifa za kujulikana huko na kule kwa taarifa mbaya za kutochukua hatua dhidi ya covid, ukumbuke hatua stahiki zinatokana na kiongozi mkuu kutoa tamko na si mwanachi mmoja mmoja kujichukulia hatua, HAPANA.
Kwa maombi na kufunga hakutaondoa covid hata siku moja ingali taifa lipo wazi kila anayetaka kuja na aje, wengine si watalii, wala watafiti ila wanatumwa kuja kufanya uhuni mkubwa sana unaoweza kupelekea madhara ambayo tutayajutia huko mbele.
Bado serikali inapaswa kuwa makini na wageni wanao ingia nchini, kwa kisingizio cha kuja kutalii ilihali wakifika airport wanapimwa joto na kuruhusiwa kuzama ndani bila bugudha.
Namalizia tena, tunamuomba Mungu huku tukiwa uchi, unategemea nani atazuia macho yake yasikuone?
Alamsiki.
Nikupe mfano Francis, kuna mafuriko eneo mnaloishi, jirani zako wamekaa juu ya paa kusubiri msaada, wewe umekomaa ndani unasikia sauti ikitaka utoke nje kuepuka madhara unajibu "mvua ipo tu hata isiponyesha muda ukifika itanyesha"Corona ipo kila mahali, hata Tz ipo, wakija au wasije, hawaongezi wala kupunguza chochote katika idadi ya wagonjwa, walete mapesa hayo.
Wakifanya kama tunavyofanya sisi chanjo watamuuzia nani? Au hujui hii ni biashara unasaidia kuwatangazia watu?Nikupe mfano Francis, kuna mafuriko eneo mnaloishi, jirani zako wamekaa juu ya paa kusubiri msaada, wewe umekomaa ndani unasikia sauti ikitaka utoke nje kuepuka madhara unajibu "mvua ipo tu hata isiponyesha muda ukifika itanyesha"
Hao wanaokuja huko kwao wameweka tahadhari kubwa sana na lengo ni kujaribu kupunguza vifo na madhara kwa raia wao au wao hawajui huu ugonjwa upo na utaendelea kuwepo?
So leo unataka kutunisha misuli kwa mabeberu kuwa huwezi kununua chanjo zao kisa created virus, siyo?.Wakifanya kama tunavyofanya sisi chanjo watamuuzia nani? Au hujui hii ni biashara unasaidia kuwatangazia watu?
Chanjo hutolewaga bure, haziuzwagi.Wakifanya kama tunavyofanya sisi chanjo watamuuzia nani? Au hujui hii ni biashara unasaidia kuwatangazia watu?
Chanjo ya Corona itakupa bure serikali yako, ila yenyewe hununua, na hata ukipewa msaada, huyo anaekusaidia nae kanunuaChanjo hutolewaga bure, haziuzwagi.
Picnic ArushaImani inaweza kutoa matokeo chanya lakini papo hapo imani inaweza kuvunja matokeo uliyoyapata.
Jana waislamu leo wasabato na baadaye ni mchanganyiko wa makanisa kuiombea nchi dhidi ya janga la corona, unadhani Mungu anaweza kuponya taifa ingali lipo wazi?
Hapa tunacheza na imani, imani iliyonenwa kwenye misahafu haiwezi kutokea wakati huu ambapo mtu anafanya maasi alafu anamtaja Mungu, hii haiwezekani hasirani.
Makanisani waumini wamekuwa bendera fuata upepo, wanamsikiliza sheikh, mchungaji hama askofu akitoa kauli ya uzima/kuchukua hatua stahiki za kujikinga na corona kesho wanamsikia baba mwenye nyumba anasema achana na hizo kauli za kiongozi wako wa dini.
Hali inazidi kuwa mbaya; moja ya marumbano haya hayawezi kuleta majibu chanya zaidi ya kuvunja imani waliyonayo wanao ongozwa.
Hili taifa kwa sasa linajizolea sifa za kujulikana huko na kule kwa taarifa mbaya za kutochukua hatua dhidi ya covid, ukumbuke hatua stahiki zinatokana na kiongozi mkuu kutoa tamko na si mwanachi mmoja mmoja kujichukulia hatua, HAPANA.
Kwa maombi na kufunga hakutaondoa covid hata siku moja ingali taifa lipo wazi kila anayetaka kuja na aje, wengine si watalii, wala watafiti ila wanatumwa kuja kufanya uhuni mkubwa sana unaoweza kupelekea madhara ambayo tutayajutia huko mbele.
Bado serikali inapaswa kuwa makini na wageni wanao ingia nchini, kwa kisingizio cha kuja kutalii ilihali wakifika airport wanapimwa joto na kuruhusiwa kuzama ndani bila bugudha.
Namalizia tena, tunamuomba Mungu huku tukiwa uchi, unategemea nani atazuia macho yake yasikuone?
Alamsiki.
Oh watalii sio mabeberuImani inaweza kutoa matokeo chanya lakini papo hapo imani inaweza kuvunja matokeo uliyoyapata.

Sasa kwanini watu wengi wanaoenda india kutibiwa na hospital za juu wanapona magonjwa fulani ambayo bongo yanaonekana kushindikana na mtu anaeza poteza uhai asipopata msaada wa haraka?Wewe peke ako ndo umeongea la maana.
Watu wanajisahau kuwa kila kifo hakiji bure bali ni kwa mpango wa Mungu.
Na ikumbukwe kwamba kuna malaika maalumu wa idara ya kutoa roho,.
Roho haitoki yenyewe yenyewe tu.
Iliandikwa,.Sasa kwanini watu wengi wanaoenda india kutibiwa na hospital za juu wanapona magonjwa fulani ambayo bongo yanaonekana kushindikana na mtu anaeza poteza uhai asipopata msaada wa haraka?
Ko unaamini ccorona ni pigo la kiimani wakati Syansi nd imetengeneza? Usilinganishe mapigo ya nyoka kwenye bible na haya ya kidunia. Ukifuatilia historia ya dunia ukiacha dini utagundua kulkuwa kuna maisha mengine yanaendelea. Mtu amchome kisu mwenzie uanze kumsingizia Mungu utani huo jamani. Yani Mungu akataze kuua then ampangie mtu aje kuuawa kweli?Iliandikwa,.
Ukiona mtu kaenda india na kapona basi ujue iliandikwa apone.
Kwani waindi hawafi?
Kuna mengi hatuyatambui kwenye huu ulimwengu,.Ko unaamini ccorona ni pigo la kiimani wakati Syansi nd imetengeneza? Usilinganishe mapigo ya nyoka kwenye bible na haya ya kidunia. Ukifuatilia historia ya dunia ukiacha dini utagundua kulkuwa kuna maisha mengine yanaendelea. Mtu amchome kisu mwenzie uanze kumsingizia Mungu utani huo jamani. Yani Mungu akataze kuua then ampangie mtu aje kuuawa kweli?