Tunaoamini leo KMC watatufurahisha tukutane hapa

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Mimi siyo mganga wala mchawi ila naona kabisa Unbeaten blunder inaweza kuisha leo mchezo wa Yanga na vijana wa Kinondoni haitakuwa rahisi sababu;

Timu ya KMC ina wachezaji wenye uwezo wa kufanya lolote, wana vipaji, siyo waoga, wana nguvu, wanamiliki mpira

Nimewaangalia mchezo na Simba, hakika walitoa perfect challenge. Pia mchezo na Azam walionyesha kuwa siyo timu ya kubeza

Yanga leo naona akipoteza, George Makang'a fanya kitu leo utuinue.
 
KMC ni wakawaida sana, sare dhidi ya Simba yalikuwa makosa madogo kutoka kwa bwana mdogo Israh, ushindi dhidi ya Azam sote tunaona vile Azam ni mbovu.
 
Wewe subiri tu umfunge yanga round ya marudiano, huo mzigo ulishindwa kuutua juzi usitegemee kubebewa na mwingine. Mm ni simba damu
Mimi ni Azam moto wa KMC naujua
 
KMC ni wakawaida sana, sare dhidi ya Simba yalikua makosa madogo kutoka kwa bwana mdogo Israh, ushindi dhidi ya Azam sote tunaona vile Azam ni mbovu.
Azam ubovu wake ni upi?

Muulize yanga anajua ubora wa Azam au kama hautaki tusubirie kesho basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…