FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Mimi siyo mganga wala mchawi ila naona kabisa Unbeaten blunder inaweza kuisha leo mchezo wa Yanga na vijana wa Kinondoni haitakuwa rahisi sababu;
Timu ya KMC ina wachezaji wenye uwezo wa kufanya lolote, wana vipaji, siyo waoga, wana nguvu, wanamiliki mpira
Nimewaangalia mchezo na Simba, hakika walitoa perfect challenge. Pia mchezo na Azam walionyesha kuwa siyo timu ya kubeza
Yanga leo naona akipoteza, George Makang'a fanya kitu leo utuinue.