Tunaoiombea Guinea ushindi. Taifa Stars ikishinda umoja na mshikamano vinaondoka

Tunaoiombea Guinea ushindi. Taifa Stars ikishinda umoja na mshikamano vinaondoka

Ili tubaki kama Taifa naombea Guinea ishinde. Itakuwa jambo jema sana. Taifa Stars huwa inakuwa ya wote inaposhindwa tu. Ikishinda kuna wartu wanaifanya kuwa ni yao.
Guinea kushinda wala sio swali la kuuliza ,wale jamaa wametuzidi mbali na isitoshe hawaji kukamilisha ratiba,gemu wanaitaka,.hapa hakuna rushwa wala goli la mkono,stars anaaga rasmi kesho .
 
mbona juzi ilishinda na tunaendelea na mshikamano, hao majizi wanaojificha Kwa mama aibu yao wataipata tu.
 
20241029_174751.jpg
 
Ili tubaki kama Taifa naombea Guinea ishinde. Itakuwa jambo jema sana. Taifa Stars huwa inakuwa ya wote inaposhindwa tu. Ikishinda kuna wartu wanaifanya kuwa ni yao.
🫱🏽‍🫲🏾🫱🏽‍🫲🏾🫱🏽‍🫲🏾🫱🏽‍🫲🏾
 
Tupo kwenye majonzi kama taifa kwa ajari ya kariakoo hatuwezi tena kupata majonzi kwa taifa stars so furaha itakuja coz hata mungu huwa ana balance Equation
 
Back
Top Bottom