Tunaoiombea Guinea ushindi. Taifa Stars ikishinda umoja na mshikamano vinaondoka

Tunaoiombea Guinea ushindi. Taifa Stars ikishinda umoja na mshikamano vinaondoka

Guinea kushinda wala sio swali la kuuliza ,wale jamaa wametuzidi mbali na isitoshe hawaji kukamilisha ratiba,gemu wanaitaka,.hapa hakuna rushwa wala goli la mkono,stars anaaga rasmi kesho .
Dk 90 zitaamua
 
Ili tubaki kama Taifa naombea Guinea ishinde. Itakuwa jambo jema sana. Taifa Stars huwa inakuwa ya wote inaposhindwa tu. Ikishinda kuna wartu wanaifanya kuwa ni yao.
Sawa kabisa. Naunga mkono hoja kwa 100% hakuna kipindi taifa stars ilifanya vizur kama zama za maximo ila soJwahi ona bingo la jk uwanjani.
Shida ilianzia pale rais wa TFF Alipokuwa mtu wa TISS na mwana ccm!
Kuanzia hapo ni mabango mabango tu kila mechi.
Kesho tufungwe 3 bila jamaa waende
 
Back
Top Bottom