Tunaoishi single (Ghetto Geez) Tukutane hapa

Tunaoishi single (Ghetto Geez) Tukutane hapa

Mchana msosi tsh 2,000
Kigiza kikiingia supu ya pweza na vijipweza na ngisi tsh 2,000
Usiku matunda tsh 1,000
Maji ya kunywa tsh 600. (1.6lita x2)
Vocha tsh 1,000 only Mbs
Nauli iende irudi 1,200
Jumla 7,800.
 
Back
Top Bottom