Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

 
Yeye naulisa Wewe,na wewe nauli minyewe,kwani hapana najua ile kitu naelesea minyewe?
Sasa Mimi nataka toa diclalesen yangu kwa uwasi na ukweli;kile KURA ya Mimi tayari nakwisa "VOTE" kwa Misee JPM
Hata mutoto yangu yote ile about hundred nakwisa "vote" kwa JPM.Na Mama ya mtoto yote namalisa kwa "VOTE" ya minyewe MAGUFULI.

Na Wewe hapana nasahau naiwekea Kura kwa Misee menyewe tu kama vile mi mwenyewe nafanya.JPM haina mutu mwingine kuletea maneno ya "No"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo...asiwe na wasiwasi hata kidogo, swala atashinda kwa asilimia ngapi tu...
 
Kama mmetekeleza ilani yenu kama mnavyosema, mbona mnaogopa ushindani sawa?
Wapinzani kawafunga mikono na miguu
Vyombo vya Ulinzi na Usalama mmevifavya ni matawi ya CCM
Tume ya Uchaguzi haiko huru
Mahakama inatia mashaka
Kama mtarekebisha haya, makaazi ya kudumu ya Magufuli November 2020 yatakuwa Chato
 
Karibu sana musee ya mujini unakula mbusi ee?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiunge wa watu dhaifu uwe dhaifu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli nilikusudia kumpa ngosha kura yangu 2020 kwakuwa nilivutiwa sana na kasi yake ktk miradi ya maendeleo BUT nitamnyima kura yangu kwasabb ya kutaka kuua mfumo mzuri wa vyama vingi nchini ulioanzishwa mwaka 1993...mfumo muhimu sana unaoruhusu ukosoaji kwa yeyote aliyeko madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusio kuwa na mpango wa Kupiga Kura tuna comment wapi??

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakuambia kutakuwa na uchaguzi. Yale yaliyofanyika kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa yatafanyika Tanzania nzima kwenye uchaguzi mkuu.. CCM ilianza kufanya majaribio kwenye uchaguzi mdogo wa Ubunge Korogwe 2018 ikafanikiwa, then ika apply kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ikafanikiwa. Mh rais mwenyewe alishasema by 2020 hakutakuwa na chama cha upinzani. Mbowe mwenyewe alishasema vipaumbele vyao si udiwani, ubunge au urais, bali ni uhuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…