Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Kipi kilikushinda tokea mwanzo kutafuta kwa Nguvu zako....??? Nini unacho sasa hapo awali hukuwa nacho kilichofanya uombe Ajira...??Nataka kutafuta pesa Kwa nguvu zangu,nijihimu Kwa biashara yangu siyo unajihimu na kujitesa Kwa mshahara wa manamba na kuendeshwa kwingi
Nani alikwambia mtaani huendeshwi...??? Unaujua msoto wa kutafuta na kufanya follow up kwa Clients kila siku...?? Unajua kuzulumiwa...?? unajua ku-deal na watu mbalimbali...??? Unaijua Stress ya kutouza bidhaa siku nzima...??Unaijua stress ya kulipa kodi ya frem na biashara haiendi..?? Unawajua TRA na vitabu vyao vya RETURN na System zao mbovu zinazokubali hadi deadline ipite....
Je, upo tayari kulipa gharama za maamuzi unayotaka kufanya.....???? au ni Stori tu za Staff zinakufanya upate Mzuka uanze kushoboka na kabichi za mpito.....
Kama Upo tayari usichelewe,,,, Acha kazi na ukafanye hayo unayohisi yatakufaa,,,,usidharau IDEA zako,,,huwenda Riziki yako ipo huko unapotaka kwenda.
KATIKATI YA JANA NA KESHO HAPO NDIO KUNA MUDA WA KUFANYA MAAMUZI so kazi ni kwako,,,, Unaweza kufuata unachotaka au Ukangojea urithi...