Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikurekebishe kidooogo, sio hao waalimu tu, mwanamke yeyote hata awe CEO ila akikosa kupendwa na kuhudumiwa lazima achoke maisha.
Mwanamke kiasili hapati furaha na amani kutokana na cheo, fedha etc. Mwjnamke apaswa kupendwa, kulindwa na kuhudumiwa. Mtoa mada anateswa na upweke ambao ni zao la feminism na maharakati ya 50/50 yanayoharibu hulka na adabu zenu
Wako wanawake wengi maosifini wenye vyeo vya maana ila wanatembea kama mazombie tu, hawana furaha yoyote kama mtoa mada.
Awoman's satisfaction is being loved and admired while a man's satisfaction is being successful, needed and providing sasa wanamaketwa kileo mmelishwa sumu mnadhani mavyeo yatawaga furaha mnakuja kugundua vinginevyo kama mtoa mada.
Pole sana mkuu.Najua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo[emoji849]).
Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na
1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano)
2.Kuongea na watu kwenye simu kuhusu mapenz (hapa ndo nimechoka kabisaa,yaan sitaki)
3.Kufikiri yaan kichwan kimechoka kuwaza hili na lile at least namna ya kupata hela na kulea watoto napata faraja kuwazia Ivo vitu lakini siyo kumfikiria Fulani sijui,kufikiria sijui nn
4.Nimechoka na kaz yangu(ualimu) kuwahi asubuhi kwenda kuitumikia kaz inayonididimiza kiuchumi,I wish hiyo 11 alfajiri ninapoamka kuoga nioge Kwa biashara yangu nitakayotesekea mpaka usiku lakini inanipatia mafanikio.
5.Nimechoka kuishi pia,mechoka sana kiukweli ni vile nina watoto naogopa nikizima watateseka.
Ee Mwenyez Mungu nisaidie,pekeyangu siwez pasipo msaada wako.[emoji120]
Kama tupo wengi katika hili tufarijiane bas
Hii ina ukweli kabisa nna aunt yangu she was successful alikuwa ana career nzuri, watoto, nyumba etc vitu ambavyo mtu utasema mafanikioNikurekebishe kidooogo, sio hao waalimu tu, mwanamke yeyote hata awe CEO ila akikosa kupendwa na kuhudumiwa lazima achoke maisha.
Mwanamke kiasili hapati furaha na amani kutokana na cheo, fedha etc. Mwjnamke apaswa kupendwa, kulindwa na kuhudumiwa. Mtoa mada anateswa na upweke ambao ni zao la feminism na maharakati ya 50/50 yanayoharibu hulka na adabu zenu
Wako wanawake wengi maosifini wenye vyeo vya maana ila wanatembea kama mazombie tu, hawana furaha yoyote kama mtoa mada.
Awoman's satisfaction is being loved and admired while a man's satisfaction is being successful, needed and providing sasa wanamaketwa kileo mmelishwa sumu mnadhani mavyeo yatawaga furaha mnakuja kugundua vinginevyo kama mtoa mada.
AiseeHii ina ukweli kabisa nna aunt yangu she was successful alikuwa ana career nzuri, watoto, nyumba etc vitu ambavyo mtu utasema mafanikio
Lakin alikuwa mpweke kuna siku alipontambulisha kwa uncle baadae akaniambia sasa hivi ana amani, maana kipindi yuko peke ake alikuwa anapata shida hata kazin walikuwa wanamdharau wanamchukulia poa
Ubamwi😳Bila kusahau pointi ya bwana Cannabis ukiiangalia kijuujuu unaweza ukaipita lakini tazama HIZI FACT;
Mtu akila mmea anaongeza uwezo wa kufurahia zaidi chochote ambacho watu wa kawaida wanakiona cha kawaida. Mfano rangi, sauti ya muziki na just kuishi tu maaan
Tena ana uwezo wa kufurahia hadi vitu..... imagine anafurahia 'muziki' wa saa ya mshale kufanya tick,tock,tick,tock😂😂. Wale wahuni wanacheza intro ya taarifa ya habari na habari yenyewe unawachukuliaje?
Sema tu kujua kitaalamu mtu amepungukiwa bhangi kiasi gani ili aongeze kiasi gani ndo hatufanyi ila ingesaidia I guess. Sishauri hizi za mtaani huenda wakachakachua au ikapitiliza
Nahisi ticha etu to yeye ana UBAMWI[Upungufu wa Bhangi Mwilini] hadi ameacha kufurahia vitu vilivyopaswa kumfurahisha kama kazi na mapenzi labda.
Bila kusahau pointi za The unpaid Seller maana haya mambo haifai kupingana na asili saana.....nikichukulia pia mtoa mada ana 'hobbie' na jeshi dots zinajikonekt ndo maana jamaa kakazia point yake. Nayasema haya ili mwanamke mwingine akisoma apate funzo na elimu pia. ✌
Nini ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fanya kweli miujiza basi mdada[emoji847]Kutaman kuniona,ngoja tuonane
Nachoka Kila siku mkuu
Sijawahi ipenda kaz yangu,napenda biashara ila muda unabana....unaowaajiri nao wanajimilikisha🙌Pole saana,,,nini hasa unahisi unahitaji...??? maan kama umepata madusco na bado unachoka..
Na ukisema umechoka una maanisha HUNA FU/RAHA au una maana nyingine..??
Hili ndio linakusumbua....!!!??. Huipendi kazi yenyewe au kipato unachopata kutokana na hio kazi,,,, unahisi mtaani utapata zaidi..??? au una amini mtaani utakuwa na freedom(Comfort zone)..?Sijawahi ipenda kaz yangu,napenda biashara ila muda unabana....unaowaajiri nao wanajimilikisha
Nataka kutafuta pesa Kwa nguvu zangu,nijihimu Kwa biashara yangu siyo unajihimu na kujitesa Kwa mshahara wa manamba na kuendeshwa kwingi 😏Hili ndio linakusumbua....!!!??. Huipendi kazi yenyewe au kipato unachopata kutokana na hio kazi,,,, unahisi mtaani utapata zaidi..??? au una amini mtaani utakuwa na freedom(Comfort zone)..?