Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Nimechoka na hii ajira balaaa.

Nipo Head Quarters, Basi, Watumishi wa vijijini na Katani na hata wengine wa Head Quarters....
1. Wanaona na faidi
2. Wengine nikiwatembelea na gari la serikali kwa route za kazi za field, vile naendeshwa na dereva basi wanaona nafaidi.
3. Kuna watumishi wale nilioajiriwa nao pamoja (tuli-report mwaka mmoja), wakiniona nipo juu yao wao hunipa hongera tuuu
Yaani kifupi watumishi wengi niliokuwa nao junior level Leo wakiniona hapa head quarters na ofisi + computer wanaona nimefanikiwaa ila DIP DOWN MY HEART HII AJIRA IMENICHOSHA SANAAA.
YAANI SIIPENDI TENA.

NIMECHOKA HASAAA NA HUU UTUMISHI WA UMMA.

YAANI NIMECHOKAAAAAAAAA

#YNWA

Mkuu oa upunguze mawazo
 
Nakuelewa kufanya kazi kunachosha aisee
Ila maisha magumu msiache mtalia maana na biashara nazo ngumu balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Exactlly mkuu, unaungana na mimi kua kama ungekua na mwanaume anaeprovide ipasavyo (ambalo ndio jukumu lake) USINGESUMBUKA NA KAZI. Passion yako ingebaki kulea watoto.

Kwanini hauko na mwanaume au uliyenae haprovide "vya kutosha" ni kwakua haoni umuhimu wa kuprovide kwa limwanamke ngangaqi asie mnyenyekevu mwenye kiburi na mjuaji

na kwanini wewe sio mnyenyekevu well simple, ni kwakua unakajiajira kanakutia kiburi na ujuaji.
Sawasawa mkuu
 
Nishamjibu mengine nabaki nayo mwenyewe maana niliyoyapitia ni maumivu yangu.Yote kheri vile aonavyo
Ili upone unachopitia, ni lazima uainishe tatizo, short of that huenda unaongezea stress juu ya nyingi ulizonazo.
 
Back
Top Bottom