Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
AmenNi neema kubwa sana kuelewa hili somo, Wakristo kwenye hili wanaona malue lue
this knowledge will lift up your spiritual lank from one level to another
rekebisha lugha uliyotumia. "LANK"Ni neema kubwa sana kuelewa hili somo, Wakristo kwenye hili wanaona malue lue
this knowledge will lift up your spiritual lank from one level to another
Dhambi yangu kubwa ni uasherati, sijui naiachaje.Tunaokolewa kwa imani katika Yesu Kristo na sio kwa kufuata SHERIA.
Tunahesabiwa haki kwa imani ndani ya Yesu Kristo na si kwa matendo ya sheria. Wokovu ni kwa neema kupitia imani ya Yesu Kristo, si kwa jitihada za kufuata sheria.
YESU ANASEMA MKINIPENDA MTAZISHIKA AMRI ZANGU.
KUSHIKA AMRI KIKAMILIFU KUNAKUJA BAADA YA KUMPENDA YESU
KAZI YA SHERIA
1. Sheria huonyesha dhambi, ila haiondoi dhambi
2. Mtu mwenye dhambi hawezi kusamehewa kwa kuanza kufuata sheria bali ataepuka dhambi mpya huku akiwa na zile dhambi za mwanzo.
Yesu ndiye njia ya kweli na uzima. Na moja ya uzima ndio pamoja na uzima katika mwili yaani kuangamiza tamaa zote za mwili ambazo ni uzinzi, uuaji, uasherati, ibaada za sanamu, uongo, wizi, ujambazi, ulevi, fitina, ubinafsi, uchawi, mawazo mabaya, tamaa mbaya, uchafu, ufisadi, ugomvi, wivu, hasira, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo.
Basi ukisha kuwa na imani katika Yesu Kristo anakupatia kiongozi yaani Roho Mtakatifu atakaye kuongoza katika upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi kwasababu upo ndani ya Kristo Yesu yaani tumeusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake mbaya.
Mpende Yesu awe rafiki yako hiyo dhambi utaachaDhambi yangu kubwa ni uasherati, sijui naiachaje.
Sijakuelewa hapo kwa hiyo ukiwa na imani tu hata kama unatenda matendo maovu ni sawa tu au?
Yesu alisema mkinipenda mtazishika amri zangu. I don't know how to Love.Mpende Yesu awe rafiki yako hiyo dhambi utaacha
Ukiona mtu anafundisha mafundisho ambayo yana pingana na maandiko mengine ujue ni muongo huyo.Yesu alisema mkinipenda mtazishika amri zangu. I don't know how to Love.
Moyoni mwangu nampenda Yesu, kwasababu yeye ni mkombozi wangu, lakini nashindwa Kuacha uasherati.
Imani na sheria haviokoi bali akili na kujitambua mwanangu. Msipende na kuzoea kukariri maneno ya wengine bila kufikiria wala kuhoji mtaliwa mkijiona wakati huo nyuma hamkuwa hivyo.Tunaokolewa kwa imani katika Yesu Kristo na sio kwa kufuata SHERIA.
Tunahesabiwa haki kwa imani ndani ya Yesu Kristo na si kwa matendo ya sheria. Wokovu ni kwa neema kupitia imani ya Yesu Kristo, si kwa jitihada za kufuata sheria.
YESU ANASEMA MKINIPENDA MTAZISHIKA AMRI ZANGU.
KUSHIKA AMRI KIKAMILIFU KUNAKUJA BAADA YA KUMPENDA YESU
KAZI YA SHERIA
1. Sheria huonyesha dhambi, ila haiondoi dhambi
2. Mtu mwenye dhambi hawezi kusamehewa kwa kuanza kufuata sheria bali ataepuka dhambi mpya huku akiwa na zile dhambi za mwanzo.
Yesu ndiye njia ya kweli na uzima. Na moja ya uzima ndio pamoja na uzima katika mwili yaani kuangamiza tamaa zote za mwili ambazo ni uzinzi, uuaji, uasherati, ibaada za sanamu, uongo, wizi, ujambazi, ulevi, fitina, ubinafsi, uchawi, mawazo mabaya, tamaa mbaya, uchafu, ufisadi, ugomvi, wivu, hasira, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo.
Basi ukisha kuwa na imani katika Yesu Kristo anakupatia kiongozi yaani Roho Mtakatifu atakaye kuongoza katika upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi kwasababu upo ndani ya Kristo Yesu yaani tumeusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake mbaya.
Ukiona mtu anafundisha mafundisho yanayo pingana na maandiko mengine ujue ni muongo huyo unaposoma maandiko jaribu kusoma kwenye maelezo tofauti tofauti ili ujue yanamaanisha nini sio unasoma kidogo alafu unakuwa na tafsiri batili ambayo inapingana na mafundisho mengine.La hasha! Ukiwa na imani ya kweli kwa Yesu Kristo haiwezi kukuruhusu uendelee tu na matendo maovu.
Wokovu ni kwa imani, maana yake ni kwamba hatuokolewi kwa kufuata sheria au kujilazimisha kwa nguvu zetu.
Lakini imani ya kweli huzaa mabadiliko, mtu akimwamini Yesu kwa dhati, maisha yake hubadilika; anaanza kuacha yale maovu taratibu kwa msaada wa Mungu.
Imani ya kweli = wokovu + maisha mapya yanayoacha dhambi.
Ukiona mtu anafundisha mafundisho yanayo pingana na maandiko mengine ujue ni muongo huyo unaposoma maandiko jaribu kusoma kwenye maelezo tofauti tofauti ili ujue yanamaanisha nini sio unasoma kidogo alafu unakuwa na tafsiri batili ambayo inapingana na mafundisho mengine.
Tuttumie tu akili za kawaida haikuitaji hata uwe na elimu ya darasa la saba ili uweze kuelewa.
Sheria ni muongozo wa mamlaka flani, mungu anayo mamlaka na ni mfalme, hata Tanzania inayo mamlaka na inaraisi lakini mamlaka lazima iwe na sheria. kwahiyo mamlaka ya mungu inasheria au utaratibu flani wa kufuata, mfano usiuwe, usizini, n.k
Nje ya hapo kwasababu hizi sheria hazikuongozi kwenye uovu hazikuongozi kwenye kukana imani yako hakuna sababu za msingi za kuzijadiri au kuzikataa hakuna andiko linalo taka uzikatae kwani sheria hizo zimekuambia usizini kwani shida ikwapi hapo hebu tumia ubongo wako vizuri sheria hii inatatizo ?
Mafundisho hayo ya kuzikataa amri za mungu yanapingana na maandiko, je maandiko yasemaje kuhusu amri hizo ?
Marko 10:17-21
17 Hata alipokuwa akitoka kwenda njiani, mtu mmoja akaja mbio, akampigia magoti, akamwuliza, Mwalimu mwema, nifanye nini nipate kuurithi uzima wa milele?
18 Yesu akamwambia, Kwa nini kuniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, ndiye Mungu.
19 Wazijua amri, Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudie uongo, Usidanganye, Waheshimu baba yako na mama yako.
20 Akamwambia, Mwalimu, haya yote nimeyashika tangu utoto wangu.
21 Yesu akamkazia macho, akampenda, akamwambia, Umepungukiwa na neno moja. Enenda, ukauze ulivyo navyo vyote, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate.
JIBU:
Inamaana huwezi kwenda mbinguni bila kuzishika amri za mungu, sasa jiulize kwanini mwalimu wako muongo muongo anakufundisha uzikatae wakati hazina ubaya wowote, hataki huende mbinguni anajua siku ukizishika utaenda mbinguni.
Imani na sheria haviokoi bali akili na kujitambua mwanangu. Msipende na kuzoea kukariri maneno ya wengine bila kufikiria wala kuhoji mtaliwa mkijiona wakati huo nyuma hamkuwa hivyo.
Mtu huyo alizishika amri za mungu kwanza kabla ya kumfuata yesu, inamaana kuzishika amri za mungu ni hatua ya kwanza kabla hujamfuata yesu, dogo au nikupe na unabii wa wasiku za mwisho ili tuone kama mtu unaweza kwenda mbinguni bila kuzishika amri za mungu ?Sasa mbona umethibitisha mwenyewe kwamba hiyo sheria isingeweza kumsaidia huyo mtu kuingia Mbinguni mpaka Yesu aliposema umepungukiwa na kitu kimoja uza kila ulicho nacho kisha njoo unifuate (kumfuata Yesu maana yake ni kumwamini).
Hapo unapo amua kubadilika lazima kuna lifestyle unabadirisha lazima kuna utaratibu unabadirishaNi kweli akili na kujitambua ni muhimu sana kwa maisha ya kila siku, lakini haviwezi kufuta makosa ya zamani. Vinaweza kukuonyesha kosa na kukufanya utamani kubadilika, lakini havina nguvu ya kukusamehe au kukufanya mpya kabisa.
Mfano: fikiria mtu amehukumiwa kwa kosa kubwa mahakamani. Anaweza kujitambua na kukiri kosa lake, anaweza kuamua kuishi maisha mapya, lakini bado hukumu iko pale pale. Akili na kujitambua havibadilishi hukumu aliyopata. Lakini kama Rais au mfalme akitoa msamaha, hukumu yote inafutwa na mtu anaachiwa huru.
Vivyo hivyo, katika maisha ya kiroho, akili na kujitambua ni mwanzo tu wa kuona kosa, lakini msamaha wa kweli hupatikana kwa imani ya kweli kwa Yesu Kristo. Yeye ndiye mwenye mamlaka ya kufuta makosa yote na kumpa mtu maisha mapya.
Yesu alisema mkinipenda mtazishika amri zangu. I don't know how to Love.
Moyoni mwangu nampenda Yesu, kwasababu yeye ni mkombozi wangu, lakini nashindwa Kuacha uasherati.