kirikuu.com
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 461
- 526
Hiyo chupa umeokota jalalani.huku kwetu hatuna vyuma,tuna plastic tyuuu.Niweke maji kwenye chupa inayouzwa elfu 3 jamani? Halafu iweje? Vyuma havijakaza kwa wote mkuu pambana na hali yako kama hata kununua Heineken unaona big deal.
Ahenaho lulu twabhi shihamo, endelea kumimina tu hiyo simainofu taratibu, iko mzuka sana, kuna ile simainofu iko kama soda, kachupa kembamba karefu, unamiksia na simainofu yenyewe sasa ya kwenye chupa kama valuu, tamu kinoma yani, unajikuta uko tungi bila kujua!
Uje na hela ya kununua Heineken kabisa usije na maneno matupu mkuuMkuu nakuja PM kama hutojali tufungue mwaka. Akili yote imeruka kwa hilo guu.
Nishakuelewa.Hiyo chupa umeokota jalalani.huku kwetu hatuna vyuma,tuna plastic tyuuu.
[emoji3] eti wafia dini[emoji3]View attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
HahahahahahaPamoja na kwamba umeweka maji kwenye hiyo chupa,bado chupa imekuzidi mng'ao.mguu kama paja la beberu na mkono kama mkia wa kondoa.kwa kweli umevutiaaa[emoji122][emoji122][emoji122]
HahahahahahaPamoja na kwamba umeweka maji kwenye hiyo chupa,bado chupa imekuzidi mng'ao.mguu kama paja la beberu na mkono kama mkia wa kondoa.kwa kweli umevutiaaa[emoji122][emoji122][emoji122]
Hiyo ya soda utamu wake ulinishindaga. Nilikunywaga 2012 since then sijainywa tena.hahaha mie natumiaga hii yenye ladha ya soda !ila kaliiii !hapa nipo ya 4 nahis vinyota viduchuuuu ! wee ile smirnof mie naiheshim siiwez ! nipo tungi nzuri tu kwakwel ya kuniwezehsa kulala
Mademu wenyewe wabovu wabovuuuu
Hakika mpaka nakufa nimeshawadharau
Bila shaka mkuu hakika unaviwango.[emoji7] [emoji7]Uje na hela ya kununua Heineken kabisa usije na maneno matupu mkuu
Lami bado ina mng'ao,kama masizi ya chungu/sufuria ya kupikia makongoro.Hahahahahaha
Ukute we kabayaaa kama kiwango cha lami
Wazuri hawawasemagi wenzao. Wabaya na wenye stress saa hizi za kushindwa kununua hata konyagi ya 3500 ndo mineno inawatoka.Hahahahahaha
Ukute we kabayaaa kama kiwango cha lami
Eti eeehBila shaka mkuu hakika unaviwango.[emoji7] [emoji7]
Hiyo ya soda utamu wake ulinishindaga. Nilikunywaga 2012 since then sijainywa tena.
Heri yako mama.ahhaa ! basi mie naipendaaa ila kali sana ! very tastey
Such a nice drink mkuu. Naipenda sana ni Kali lakin INA ladha iliyotulia sana.View attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
Heri yako mama.
Huwez kuwa na sura ama umbo la kuvutia ukanywa grants kisha ukamix na heineken.lazima utakuwa na stress za kutosha.tukiwaambia msikubali kuwa michepuko hamtak.ona sasa uko na stress ya jamaa na leo jamaa anajiandaa na new year.yuko na familia yake.kalagha bhaooooWazuri hawawasemagi wenzao. Wabaya na wenye stress saa hizi za kushindwa kununua hata konyagi ya 3500 ndo mineno inawatoka.