Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Niweke maji kwenye chupa inayouzwa elfu 3 jamani? Halafu iweje? Vyuma havijakaza kwa wote mkuu pambana na hali yako kama hata kununua Heineken unaona big deal.
Hiyo chupa umeokota jalalani.huku kwetu hatuna vyuma,tuna plastic tyuuu.
 
Ahenaho lulu twabhi shihamo, endelea kumimina tu hiyo simainofu taratibu, iko mzuka sana, kuna ile simainofu iko kama soda, kachupa kembamba karefu, unamiksia na simainofu yenyewe sasa ya kwenye chupa kama valuu, tamu kinoma yani, unajikuta uko tungi bila kujua!

hahaha mie natumiaga hii yenye ladha ya soda !ila kaliiii !hapa nipo ya 4 nahis vinyota viduchuuuu ! wee ile smirnof mie naiheshim siiwez ! nipo tungi nzuri tu kwakwel ya kuniwezehsa kulala
 
View attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
[emoji3] eti wafia dini[emoji3]
 
Pamoja na kwamba umeweka maji kwenye hiyo chupa,bado chupa imekuzidi mng'ao.mguu kama paja la beberu na mkono kama mkia wa kondoa.kwa kweli umevutiaaa[emoji122][emoji122][emoji122]
Hahahahahaha
Ukute we kabayaaa kama kiwango cha lami
 
Hiyo ya soda utamu wake ulinishindaga. Nilikunywaga 2012 since then sijainywa tena.
 
View attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
Such a nice drink mkuu. Naipenda sana ni Kali lakin INA ladha iliyotulia sana.
 
Wazuri hawawasemagi wenzao. Wabaya na wenye stress saa hizi za kushindwa kununua hata konyagi ya 3500 ndo mineno inawatoka.
Huwez kuwa na sura ama umbo la kuvutia ukanywa grants kisha ukamix na heineken.lazima utakuwa na stress za kutosha.tukiwaambia msikubali kuwa michepuko hamtak.ona sasa uko na stress ya jamaa na leo jamaa anajiandaa na new year.yuko na familia yake.kalagha bhaoooo
 
Back
Top Bottom