kirikuu.com
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 461
- 526
Hiyo chupa umeokota jalalani.huku kwetu hatuna vyuma,tuna plastic tyuuu.Niweke maji kwenye chupa inayouzwa elfu 3 jamani? Halafu iweje? Vyuma havijakaza kwa wote mkuu pambana na hali yako kama hata kununua Heineken unaona big deal.