Dominant hand kwako ni wa kulia.
Unaonekana msafi (kucha fupi na rangi)
Unaonekana ni artificial pia, pengine kichwani una nywele za mtu mwingine au katani.
Vidole vyako soft mno, haufanyi kazi za nyumbani. Shughuli zako za kila siku ni kukaa ofisini na kompyuta au kazi ambazo hazikupi kashikashi. Au haufanyi kazi kabisa
Mwili wa wastani.
Rangi maji ya kunde (paja limekooza weupe)
Asante kwa kutuhamasisha kulewa.
Lazma lazma, yafaa nini kwetu sikukuu bila picha ya daraja, hange sikukuu?? Ndoho geteMambo ni fireeeeeeee
Soud nampenda bure aisee
Yaa uvirushe tujumuike kiroho,,halaf kesho usisahau twende darajani tukapige picha
Naweza mkuu,on my way there,mtoto ka ww nikikuacha hivi hivi ni dhambiHeheheh mwambie anaweza gharama za hapo Malaika ,,room ya kawaida dollar 120,kama anaweza aje fasta
nakula kiasiHa ha ha, ukishiba sana utarudisha chenji ujue.
Umenikumbusha viporo vyangu, ngoja nirudi home fasta.
Nasubiri ukate moto tu nije kuokota loose ballView attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
kumbe ucku wa le tupo ktk jiji moja la mawe!!We baadae tukutane Cask ama Gold crest
Heheheh mwambie anaweza gharama za hapo Malaika ,,room ya kawaida dollar 120,kama anaweza aje fasta
Asante kwa taarifa mkuu,ngoja nivunje kibubu
nakula kiasi
tunakula vyombo kwnza huku tukisindikizwa na live band, then tunazama crest chini au galaxy.Vila kwa wazee bana
Kulala je ?