Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

M
Dominant hand kwako ni wa kulia.

Unaonekana msafi (kucha fupi na rangi)

Unaonekana ni artificial pia, pengine kichwani una nywele za mtu mwingine au katani.

Vidole vyako soft mno, haufanyi kazi za nyumbani. Shughuli zako za kila siku ni kukaa ofisini na kompyuta au kazi ambazo hazikupi kashikashi. Au haufanyi kazi kabisa

Mwili wa wastani.

Rangi maji ya kunde (paja limekooza weupe)

Asante kwa kutuhamasisha kulewa.

Toto la A town hili.
 
Asate
05b76300baf97ce6e28e1d44db135b41.jpg
Zina ladha mbaya hiziiii hahahah
 
View attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
Nasubiri ukate moto tu nije kuokota loose ball
 
Heheheh mwambie anaweza gharama za hapo Malaika ,,room ya kawaida dollar 120,kama anaweza aje fasta

Hapo kuuza sura tu, chupa inawekwa kwenye pochi, mkikaa mnaagiza double shots na soda, unashangaa muda wa kuondoka watu wamelewa.
 
Back
Top Bottom