Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Nililewa jana leo napuliza tu taratiiiibu nikiukaribisha mwaka.

Haahaaaaa!! NIMEKUDHARAUUUU!!!
Wanawake wa jf nitaendelea kuwadharau mpaka kufa,,wa kwangu tu ndio malaika
Kwanza mnawaua watu kwa makusudi nitawaumbua,,
Nimewadharau kabisa
 
Na ninawaonya mnanifata pm kunitongoza halag hapa majifanya fanyaa nitwaumbuaa mimi ndio Dina



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wasamehe tu...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
then unataka mwanamume bikira akuowe duh!! tutafika tu taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…