Tunaomba Kanisa Katoliki na KKKT watusaidie kukemea uvunjaji wa Katiba unaofanywa na Spika wa Bunge na Naibu wake

Mnahangaika sana mitandaoni na kujificha kwa Ndugai itisheni baraza kuu lenu la CHADEMA liamue
Kwa nini hamtaki kuitisha kikao cha baraza kuu mnaruka ruka mitandaoni kila dakika Ndugai

chadema acheni kujificha kwa Ndugai itisheni kikao CHa baraza kuu la CHADEMA limalize hilo swala

Kwa nini msukumie eti kwa maaskofu .Kitu cha kumalizwa na baraza kuu lenu mnasukumia maaskofu?

Kuna kitu kimejificha kwa nini mnakwepa kuitisha kikao cha baraza kuu?
 
Nchi haiongozwi na dini
bunge halifunguliwi bila sala na dua

Watu wanaapishwa huku wameshika qur'an, biblia au Katiba siyo ilani za uchaguzi za vyama

Wimbo wa Taifa umemtaja Mungu

Sasa uisrma kuwa dini haihusiki kabisa, unakuwa hauko sahihi
 
Hakika umenena vema Mungu akupe upeo zaidi ya huyo kilaza
 
Ubarikiwe Sheikh.
Huyu Bwana Ndugai anajikuta untouchable, Ni kajinga na kapumbavu fulani kalikorithi upuuzi wa mwendazake
 
Kama hatutaki makanisa yafanye siasa basi na hili pia sio sawa

Utakuwa unafiki mkubwa kesho makanisa yakimponda Samia tukasirike halafu leo wakimponda Ndungai tufurahi..

Makanisa yakae mbali kabisa na siasa
Umeandika kitu gani hakieleweki, unamaanisha Ndugai aendelee kufanya chochote asikemewe kwasababu kufanya hivyo utatafsiri ni "kanisa kufanya siasa"

Unakuwa muoga wa kutetea haki kwa kuogopa kulaumiwa hata kama kufanya hivyo utawasemea wanaokandamizwa, badala yake unakaa kimya kwa kuogopa "kanisa kufanya siasa"

Unataka kum-exclude Ndugai afanye chochote atakacho ili na Samia akikosea asikosolewe? hapana wote wawili wakikosea lazima wakosolewe bila kujali nafasi zao.

Na sijui tangu lini kukemea maovu kukawa ni "kanisa kufanya siasa", hao wanasiasa nao ni watu wenye dini zao, sio wanyama, lazima waenende na mafundisho ya dini zao, wakipotoka lazima wakumbushwe.
 
In my opinion sioni shida ilimradi linagusa maslahi mapema ya wananchi !
You maybe right, but kama ndo hivo ,but beware of religiosity in politics,they maybe wise but ukiwafanya wachukue pande kila siku over political issues,they also become targets , and tutatengeneza turmoil kwnye nchi hii..
 
Waambieni wananchi wa kuongea na mbeya mjini wawakemee sababu ndo waajiri wao na si maskofu.
 
Kwa vike umwkosa kazi ya kufanya nao unataka waacha kufanya kazi zao wafanye ujinga huu- mwambieni Kitima na Ruawichi
 
Ndo maana nimekuwa more specific "I have talked about global community interest" Though nakubaliana na wewe in the other way around !
You maybe right, but kama ndo hivo ,but beware of religiosity in politics,they maybe wise but ukiwafanya wachukue pande kila siku over political issues,they also become targets , and tutatengeneza turmoil kwnye nchi hii..
 
Si mnaye Askofu Mwamakula, Mwanakondoo Ameshinda, ama yeye hatoshi?
 
Askofu Shoo hawezi kuniangusha Kijana wake mtiifu! Hapindishagi maneno kama Malasusa! Askofu Mwamakula nae yuko straight kama mkuki hanaga kona! Askofu Munga na Askofu yule Mhaya wamenyoooka kama tape measure. Hao wengine wanateleza kama kambale
 
Tumechoka na ujinga wenu kama mnaona wanavunja katina si muende mahakamani itafsilie hiyo sheria?
Sasa mnawambia kanisa kazi yao ni kutafsili sheria?
Kuna shida mahala kwenye bongo yako,
 
Kuna tatizo kubwa sn haswa kwa watu kama Ndugai hata kanisa liseme nini haitasaidi, muhimu wananchi tuamke tuseme basi inatosha
 
Kabla ya kuwataka maaskofu wawakee kina Ndugai mnapaswa kwanza kuiambia dunia kuwa mnatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020,mnalitambua bunge na mnawatambua wote walioshika nafasi baada ya uchaguzi ule.

Kama hamtambui hayo yote na hamuwatambui Kina Mdee sasa iweje mnataka kuwatoa katika eneo msilolitambua?
 
Kamanda: hambadiliki? This is old hat, we've seen it all before. NI Kanisa Katoliki linataka kutumuwa kama laundry kutakatisha Maaskofu wa KKKT wa CHADEMA, kama walivyojaribu kwenye Tume ya Warioba wakakwaa kisiki cha mpengo. Hawa ni KKKT wameandika wao, wala si tundulissu au mama kiwanga. Joyce Bulaya na Joyce2 ni wasabato utawashitaki Roma?
 
Maana ya 'secular state' unaijua?
Usitulishe maneno, sisi Wananchi hatujakutuma utusemee, ongea kivyako. Hao Maaskofu na Mashehe ya kwao yanawashinda sembuse haya ya upande wa pili? Hivi hujui kwamba hizi sadaka tunazotoa Makanisani na Misikitini mbali na matumizi mengie pia hutumika kutunza watoto wa Vimada wa hao Maaskofu na Mashehe? Nenda Mahakamani kama unaona Spika anakiuka Katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…