mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Hili naamini liko ndani ya uwezo na maamuzi yenu.
Kwa ridhaa yenu tunaomba kiundwe chombo cha kusikiliza madai na madeni ya wazabuni wote wanaoidai serikali nchi nzima , madeni yanayo anzia miezi 3 na kuendelea kulingana na sheria ya manunuzi ya nchi yetu.
Kisha Taasisi inayosumbua wazabuni au mtu awajabishwe na taasisi itangazwe kwa umma wa Tanzania pia.
Wazabuni wanateseka sana japo wachache sio waaminifu lakini walio waaminifu na haki wanateswa sana na baadhi ya watendaji wa taasisi za serikali. Tunawaomba mlitizame hili kwa jicho la kipekee.
Dhuruma si nzuri and Karma is real nchi inaweza pita pagumu kwa chozi la mtu 1 mwenye haki.