Hayo ni matawi ya ccm yaliyojifichaNaona tumekuwa na mazuzu kila kukicha yani leo watu wanaamka asubuhi kuita media wakidai ni chama cha wachoma mkaa kimekubari uwezo wa raisi.
Sijui chama cha mapimbi na n.k
Hivi vyama vina uwezo gani yani leo dar kukawa na chama kikubwa cha pikipiki na bajaji
Tanzania hata aje Mungu mwenyewe akae pale Ikulu atawale ni lazima kutakuwa na walalamishi.
Wakati wa mwalimu kulikuwa na walalamishi, akaingia mzee Mwingi wakawepo walalamishi, akaja Mkapa walalamishi wakaendelea kuwepo, uongozi wa Jakaya kukawa na walalamishi tena walitukana na matusi, utawala wa Magufuli kukawa na walalamishi, akaingia mama Samia ndiyo walalamishi kibaaaao.
Tufanye kazi kwa bidii tupambanie familia zetu.
Ni tabia ya baadhi ya binadamu wachache wanaojilaghai kwamba Dunia ni paradiso.Hapo kwenye walalamishi Kibao hudhani pana offside ya wazi ambayo wengi zaidi wameona?