Habari
Sisi abiria wa Bus la Turu Best namba T 110 DAA kutokea Mbeya tumekwama hapa nadhani ni maeneo ya Fufu karibu na Chamwino tangu Saaa 8:52 usiku, wenyeji wa hapa wametaja kuwa eneo hilo linaitwa hilo jina nililolitaja hapo ni Dodoma mwanzoni ukiwa unatokea Iringa.
Hamna dereva wala konda walisema wanafuata kifaa cha kusikitisha hadi sasa hatujui tunasaidikaje. Hapa tulipo ni porini hakuna huduma yoyote ya kijamii wengine wana watoto tanguu saa nane usiku tuko hapa na hatujiui tunasaidikaje. Tunaomba mamlaka itusaidie. Njaa na kiu zitatuua.
Kuna mmoja wetu kidogo azimie kwa njaa akapata msaada wa mikate kutoka kwa abiria, kibaya zaidi tunawapigia simu wahusika wa basi wanasema wanashughulikia lakini mpaka sasa bado kimya.