Tunaomba msaada jamani tumekwama na basi Dodoma tangu Saa 8 Usiku

Tunaomba msaada jamani tumekwama na basi Dodoma tangu Saa 8 Usiku

Habari

Sisi abiria wa Bus la Turu Best namba T 110 DAA kutokea Mbeya tumekwama hapa tqngu saa 8:52 usiku ht hatujui ni eneo gani wanasema ni Dodoma mwanzoni ukiwa unatokea Iringa.

Hamna dereva wala konda walisema wanafuata kifaa cha kusikitisha had sasa hatujui tunasaidikaje. Hapa tulipo ni porini hakuna huduma yyt ya kijamii wengine wana watoto tanguu saa nane usiku tuko hapa na hatujiui tunasaidikaje. Tunaomba mamlaka itusaidie. Njaa na kiu zitatuua.


Pole Sana

Naomba Kama umepata msaada utoe feedback hapa na Kama bado sema bado.


Nafikiria kukupigia kukupa msaada zaidi usisite kuweka namba

Pole Sana
 
Sisi abiria wa Bus la Turu Best namba T 110 DAA kutokea Mbeya tumekwama hapa tqngu saa 8:52 usiku ht hatujui ni eneo gani wanasema ni Dodoma mwanzoni ukiwa unatokea Iringa.

Hamna dereva wala konda walisema wanafuata kifaa cha kusikitisha had sasa hatujui tunasaidikaje. Hapa tulipo ni porini hakuna huduma yyt ya kijamii wengine wana watoto tanguu saa nane usiku tuko hapa na hatujiui tunasaidikaje. Tunaomba mamlaka itusaidie. Njaa na kiu zitatuua.


Kuna jamaa wa LATRA Mtwara, nakupa namba yake inbox umcheck yeye anaweza akawa na namba za watu wa LATRA wa maeneo hayo
 
Dodoma mwanzoni ukitokea iringa ni mtera, mji unaofatia ni kisima unaofatia tena ni chipogoro baada ya hapo ni fufu halafu manzase mloda na mlowa halafu, mpunguzi na mkonze


Naomba uweke tena hapa mrejesho kama mmeshapata msaada wa POLISI au Latra. Jibu haraka hapa sasa hivi tukupe mawasiliano.


Maeneo uliyopo mtandao huwa sio rafiki sana kama mpo maeneo ya kisima au chipogoro.
Hizi ni namba za Latra makao makuu

0800110019

+255758807731
0734220006
 
DA ni gari ina zaidi ya miaka 6 Road, kwa bus limechoka sana! Panda gari nzuri ,,, kampuni nzuri za kueleweka, gari ikizingua chap inaletwa nyingine ! H
 
Ungetuma mapema huu ujumbe kuna wadau wangu wameshapita mitaa hiyo angalau wangewaletea chochote kitu hapo mlipo.
 
Poleni sanaa asee,
Gari lenyewe bima Yale imeisha kitu ambacho ni hatari kwa abiria kama gari ikipata janga lolote na hapo ilikua imekatiwa kama daladala..
 

Attachments

  • Screenshot_20250317_151957.jpg
    Screenshot_20250317_151957.jpg
    252 KB · Views: 19
Habari

Sisi abiria wa Bus la Turu Best namba T 110 DAA kutokea Mbeya tumekwama hapa nadhani ni maeneo ya Fufu karibu na Chamwino tangu Saaa 8:52 usiku, wenyeji wa hapa wametaja kuwa eneo hilo linaitwa hilo jina nililolitaja hapo ni Dodoma mwanzoni ukiwa unatokea Iringa.

Hamna dereva wala konda walisema wanafuata kifaa cha kusikitisha hadi sasa hatujui tunasaidikaje. Hapa tulipo ni porini hakuna huduma yoyote ya kijamii wengine wana watoto tanguu saa nane usiku tuko hapa na hatujiui tunasaidikaje. Tunaomba mamlaka itusaidie. Njaa na kiu zitatuua.

Kuna mmoja wetu kidogo azimie kwa njaa akapata msaada wa mikate kutoka kwa abiria, kibaya zaidi tunawapigia simu wahusika wa basi wanasema wanashughulikia lakini mpaka sasa bado kimya.

Mbona basi lenyewe linaonekana ni nyangarakasha namba T999ZZZ na T110DAA! Lina namba mbili! Hilo naona mmesusiwa na dereva na konda wake.
 
Hapo ni kuliwasha na kuondoka nalo( kidding)
 
Basi la mchina kama siyo namba E usipande kwa usalama wako, na sasa hivi tunaangalia kuanzia EH hapo uhakika
 
Back
Top Bottom