Turu ni kampuni ya kuda mrefu ajabu haibadiliki ukiangalia hata gari zake unaona ni local mno.Poleni sana, siku nyingine pandeni gari kampuni za kueleweka kwasababu wanakuwaga na gari za akiba kwenye matukio kama aina hiyo.
Cha mwisho siku nyingine ukiona gari namba A,B,C na D HUSIPANDE mkuu. 😀
Tatizo hela unakuta bus ilo nauli siyo kubwaPoleni sana, siku nyingine pandeni gari kampuni za kueleweka kwasababu wanakuwaga na gari za akiba kwenye matukio kama aina hiyo.
Cha mwisho siku nyingine ukiona gari namba A,B,C na D HUSIPANDE mkuu. 😀
Ni kweli ila shida zake ndio kama hizo.Tatizo hela unakuta bus ilo nauli siyo kubwa
Mbeya ~SingidaPoleni sana
Mmetoka mbeya mnaelekea wapi?
Hebu jaribu kupiga ofisini kwao kwa # 0764 241 314
Habari
Sisi abiria wa Bus la Turu Best namba T 110 DAA kutokea Mbeya tumekwama hapa tqngu saa 8:52 usiku ht hatujui ni eneo gani wanasema ni Dodoma mwanzoni ukiwa unatokea Iringa.
Hamna dereva wala konda walisema wanafuata kifaa cha kusikitisha had sasa hatujui tunasaidikaje. Hapa tulipo ni porini hakuna huduma yyt ya kijamii wengine wana watoto tanguu saa nane usiku tuko hapa na hatujiui tunasaidikaje. Tunaomba mamlaka itusaidie. Njaa na kiu zitatuua.