DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mgahawa wa Kinyanyasi “LE MARAHEB” unaendelea Kubadilisha wafanyakazi kila kukicha. Nafasi zote zipo! Hakuna mfanyakazi anaedumu
 

Attachments

  • 651B5E5E-2409-4E53-AAB4-862E5DBB3DB5.jpeg
    147.4 KB · Views: 7
Sikuhizi Wahudumu wanadhulumiwa Tipu zao na Tip anachukua Cashier ambae ni Ndugu yao.
 

Attachments

  • DFE6F1CA-CEBE-4E6B-BA03-2CECECF3B2DF.jpeg
    85.3 KB · Views: 6
Uliposema single mother nimejiskia vibaya, af ni kama namjua! Jina lake halianzi na herufi M kweli? Sio Muislam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…