Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,212
kama mna wakili hapo ni vizuri.Nimependa Ulivomfunza adabuš
CMA tunae Wakili ila Jinai tulijitetea wenyewe, natafuta fomu yetu ya CMA nikifanikiwa kupata nitakutumia PM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama mna wakili hapo ni vizuri.Nimependa Ulivomfunza adabuš
CMA tunae Wakili ila Jinai tulijitetea wenyewe, natafuta fomu yetu ya CMA nikifanikiwa kupata nitakutumia PM.
Uliposema single mother nimejiskia vibaya, af ni kama namjua! Jina lake halianzi na herufi M kweli? Sio Muislam?Siku ya Hukumu yule Bosi hakutokea ila sisi washtakiwa wote 12 Tulitokea, MUNGU ni Mwema Tulishinda Kesi na kuachiwa Huru!
Yule Bosi Kakata Rufaa July 23. Kesi Ikapangwa August 24 ila Kwa Bahati Mbaya hatukusikia kesi yetu Kuitwa hivo Imesogezwa mpaka September Mwishoni.
Kule CMA matumaini ya Kulipwa hela zetu hakuna wanatusumbua sana na wanaapa Hatutopata hata 100. Wanasema Kheri wahonge kuliko kutupa Sisi Haki zetu.
Na pia Wafanyakazi Wapya Pale Mgahawani baada ya Sisi kuondoka wanatishiwa kwamba kuna wenzenu hapa walijidai kwenda Kutufungulia kesi Mahakamani, Kesi imeisha na Hela zao wamekosa!! Na anasema kila Tukishinda Atakata Rufaa mpaka Tuchoke wenyewe Tusamehe hela zetu ila Yeye Hatulipi Ngāo!
Wakuu tunaomba Msaada wenu Hapa miongoni mwetu kuna watu wa Vitengo tofauti kulikua na Supervisor,Cashier,Waiter/Waitress, & Cleaners. Wengine Mpaka Leo Hatuna kazi, maisha Magumu tuna watoto, mmoja Single Mother ukiskia story yake machozi yatakutoka, huku tunasumbuliwa Mahakamani, Polisi Walitutenda Kutufungulia Jalada la Kesi wakati Ukweli wanaujua Hatuna Hatia, Watu wengi sana wamedhulumiwa na Hawa Bosi zetu kabla Yetu Sisi na wengine wamelipwa Mishahara Pungufu wakamuachia Mungu
Mishahara yenu vipi mlilipwa?Sikuhizi Wahudumu wanadhulumiwa Tipu zao na Tip anachukua Cashier ambae ni Ndugu yao.View attachment 2473766
Ni Yeye.Uliposema single mother nimejiskia vibaya, af ni kama namjua! Jina lake halianzi na herufi M kweli? Sio Muislam?
Bado Mkuu. Kila ikifika tarehe ya kesi kule CMA muhusika hatokei inasogezwa mbeleMishahara yenu vipi mlilipwa?
Bado Mkuu. Kila ikifika tarehe ya kesi kule CMA inasogezwa mbeleMishahara yenu vipi mlilipwa?
Kama ni yeye kweli basi fanya nipate mawasiliano yake PM, I can do something to help. By the way hata kama sio yeye, can't help much but I can do something!Ni Yeye.
Poleni sanaBado Mkuu. Kila ikifika tarehe ya kesi kule CMA inasogezwa mbele